Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Wakati mwingine najiuliza maswali magumu sana sana!! Mama ana tatizo Gani lakini? Mbona anataka Sasa tuvirejee vitabu vitakatifu kuona jinsi hivi viumbe vilileta majanga duniani.

Pengine kupitia huyu mama tukaingia kwenye kumbukumbu ambazo hazitafutika katika historia ya Dunia!!

Tatizo ni Nini lakini?
Mama ana shida gani kwani? Nchi iko salama mikononi mwa Samia
 
Una hakika inaendeshwa kwa hasara? kwa taarifa yako uwanja ule unaendeshwa kwa faida. Nendeni mkauze mali za Zanzibar waachieni watanganyika mali zao. Ziara za Uarabuni kila kukicha ili kunadi mali za watanzania bara.

Mmezidi mno kuwachukia waarabu na kuupiga vita uislamu ndio maana tupo nyuma kimaendeleo, halafu kaa ukijua hii nchi waislamu ni wengi zaidi ya wakristo!!!!
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
Iwe mwarabu iwe mzungu! sisi CHADEMA tunasema hatutaki uwekezaji hapa, sisi wenyewe tunaweza, wakawekeze sehemu nyingine huko! na viongozi wetu wa dini hasa TEC ikiPadre Kitima watusaidie kupaza sauti
 
Padri ndio nani? Huwa mnajikuta sana enyi wayahudi weusi
 
Nina taarifa za Ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka OMAN ya kuchukua Shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri MBARAWA kuwa shughuli za KADCO zi merejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa Kila rasilimali za Nchi hii kupewa Waaarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe OMAN. Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua.
Unajua kwamba uwanja unaoongoza kwa ubora duniani yaani uwanja wa kimataifa wa uingereza heathrow airport amepewa muarabu auendeshe sasa kuna ajabu gani kiwanja kama kia ambacho kimekaa kwa famila chache miaka yote huku serikali haipati chochote wala haujaboreshwa miaka yote hiyo kupewa mbia mwingine aendeshe?
 
So pathetic man, this is about rasilimali za nchi is not about race and religion hapa

Resources za nchi ziko at risk halaf unaleta udini? Be serious
KWani mambo ya ppp yameanza leo mkuu? Mashirika yote ya serikali yanaendeshwa kwa ubia na sekta binafsi ndio sera yetu ya sasa na sio tanzania tu , hata heathrow airport ya uingereza saudi investment fund ndio major shareholder sasa hapo kipi cha ajabu?
 
Back
Top Bottom