Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo.

Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar washazizoea), Pia ni Mwinyi ndie alie assist kuwe na mfumo wa vyama vingi kwa mara ya kwanza nchi hii, kiuchumi nako watu walizikimata pesa aisee.

Kikwete aliweka historia ya democracy tangu tupate uhuru ndio kipindi ambacho demokrasia ya uhuru wa maoni na ushindani wa vyama vya siasa ilikuwa kubwa. Eote ni mashahidi hata kwenye suala la Katiba mpya Kikwete aliweza angalau kuruhusu kuwe na makongamano, kiuchumi vijana wengi walilamba ajira si ualimu si jeshini, pesa mtaani ilikuwepo.

Kaja Mama Samia nae tunaona nchi imerudi kwenye amani, tunaona jinsi mambo yanavyoanza kujirudi, Wapinzani wengi waliobambikiwa kesi wanaachiwa huru kwa spidi, mikutano ya hadhara pia iliyofungiwa kaanza kuifungulia, ni huyu huyu mama licha ya kuwa CCM aliweza kuweka siasa pembeni na kuwa na utu wa kwenda kumjulia hali Tundu Lissu aliefanyiwa unyama wa kutisha mno, kiuchumi nako pesa imeanza kuzunguka mitaani, zile hofu za task force zimepungua.
 
Hakuna kitu kama hicho. Ni ujinga kuwaza ukabila. Wapewe ata wachaga tupime. Maana mnawananga kila kukicha ila nina hakika wataiweza nchi na maendeleo tutayapata, tatizo hatujiamini watu wa pwani, hatupendi challenge na change tumezoea kubebana na 'sama leko' zetu.
 
Hatuangalii kabila, tunaangalia sifa za viongozi muhimu ambazo zinaleta amani na unafuu wa kidemokrasia.

1. Utu

2.kuweza kujichanganya na wananchi

3.ustaarabu
 
Hatuangalii kabila, tunaangalia sifa za viongozi muhimu ambazo zinaleta amani na unafuu wa kidemokrasia.

1. Utu

2.kuweza kujichanganya na wananchi

3.ustaarabu
Maendeleo umesahau
 
Hatuwezi sema wanakamilisha kila kitu lakini tuwe wawazi tu, panapokuwa na raisi wa kanda hizo nchi huwa kwenye amani na walau kunakuwa na demokrasia.

Hadi sasa tulipo bila shaka maraisi wa Pwani na Zanzibar ndio waliotuwekea nafuu kwenye amani na demokrasia.

Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv wakati huo Zanzibar washazizoea TV ila huku bara ni kitu cha ajabu, Pia ni Mwinyi ndie alie assist kuwe na vyama vingi, hili halikuwa jambo dogo hata kidogo.

Kikwete muda wake tangu tupate uhuru ndio kipindi ambacho demokrasia ya uhuru wa maoni na ushindani wa vyama vya siasa ilikuwa kubwa...wote mashahidi Kikwete kwa mbali aliweza angalau kuruhusu hata ajenda za katiba mpya.

Kaja Mama Samia nae tunaona nchi imerudi kwenye amani, tunaona jinsi mambo yanavyoanza kujirudi, Wapinzani wengi waliobambikiwa kesi wanatoka kwa spidi, mikutano ya hadhara pia imepewa kibali.
kwanini msijitenge ili mpate hao maraisi milele na milele mwisho muwe kama Iraq, Iran na ndg zenu
 
Sio kusema ni wakamalifu, LA HASHA !! Haimaanishi kwamba wakiwa madarakani maovu yote yanapotea ila nachijaribu kusema ni kwamba hawa huwa wana nafuu hasa katika amani na demokrasia.

Hadi sasa tulipo bila shaka maraisi wa Pwani na Zanzibar ndio waliotuwekea nafuu kwenye amani na demokrasia.

Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv wakati huo Zanzibar washazizoea TV ila huku bara ni kitu cha ajabu, Pia ni Mwinyi ndie alie assist kuwe na vyama vingi, hili halikuwa jambo dogo hata kidogo.

Kikwete muda wake tangu tupate uhuru ndio kipindi ambacho demokrasia ya uhuru wa maoni na ushindani wa vyama vya siasa ilikuwa kubwa...wote mashahidi Kikwete kwa mbali aliweza angalau kuruhusu hata ajenda za katiba mpya.

Kaja Mama Samia nae tunaona nchi imerudi kwenye amani, tunaona jinsi mambo yanavyoanza kujirudi, Wapinzani wengi waliobambikiwa kesi wanatoka kwa spidi, mikutano ya hadhara pia imepewa kibali.
Kibaraka katika Ubora wako
 
Hakuna kitu kama hicho. Ni ujinga kuwaza ukabila. Wapewe ata wachaga tupime. Maana mnawananga kila kukicha ila nina hakika wataiweza nchi na maendeleo tutayapata, tatizo hatujiamini watu wa pwani, hatupendi challenge na change tumezoea kubebana na 'sama leko' zetu.
Wew sio wa Pwani kaangalie viongozi wa kichaga walipopewa madaraka walianza kupeleka kila kitu kwao..Hawawezi kushika madaraka ng'o.
 
Sio kusema ni wakamalifu, LA HASHA !! Haimaanishi kwamba wakiwa madarakani maovu yote yanapotea ila nachojaribu kusema ni kwamba hawa huwa wana nafuu hasa katika aman, demokrasia na maendeleo

Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv wakati huo Zanzibar washazizoea TV ila huku bara ni kitu cha ajabu, Pia ni Mwinyi ndie alie assist kuwe na vyama vingi, hili halikuwa jambo dogo hata kidogo, Pia kiuchumi nako watu walizikimata pesa aisee.

Kikwete muda wake tangu tupate uhuru ndio kipindi ambacho demokrasia ya uhuru wa maoni na ushindani wa vyama vya siasa ilikuwa kubwa...wote mashahidi Kikwete kwa mbali aliweza angalau kuruhusu hata ajenda za katiba mpya, kiuchumi vijana wengi walilamba ajira si ualimu si jeshini yani watu walilamba kazi si kitoto, pesa mtaani ilikuwepo.

Kaja Mama Samia nae tunaona nchi imerudi kwenye amani, tunaona jinsi mambo yanavyoanza kujirudi, Wapinzani wengi waliobambikiwa kesi wanatoka kwa spidi, mikutano ya hadhara pia imepewa kibali, kiuchumi nako pesa imeanza kuzunguka mitaani, zile hofu za task force zimepungua.
Waisiharamu siyo wazalendo ni mafii ya bata
 
Wanauza sana wanyama wetu maana kwao hawana.
Ndio maana nimeshasema sio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Madudu yataendelea tu ila ukiweka mzani unaona hao wana nafuu
 
Ndio maana nimeshasema sio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Madudu yataendelea tu ila ukiweka mzani unaona hao wana nafuu
Hakuna nafuu yeyote wanatuletea hasara tu.
 
Back
Top Bottom