Kama lengo ilikuwa kuisafisha serikali mbona wabunge na mawaziri wengine tuliambiwa walizuiwa hii si ndio ingekuwa Kiki hasa ya kuisafisha achilia mbali makundi ya watanzania wengi waliokusanyika kufanya maombi wakazuiwa?
Wale jamaa walikuwa hawajaki jumuia ya taifa wa kimataifa. Mama alienda kwa moyo wake tu na angeweza kutokwenda pia. Those people those days walikuwa hawajali chochote...nimekwambia Ssh alikuwa Kenya kuhudhuria uapishwaji wa Raisi Uhuru Kenyatta.
..jumuiya ya kimataifa ilikuwa ikiangalia kama ujumbe wa serikali ya Tz utakwenda kumsabahi kiongozi wa bunge la Tz anayeugulia hospitali.
..Ssh na ujumbe wake walikuwa hawana namna ya kuondoka Nairobi bila kumjulia hali Lissu. Kitendo hicho kingejenga picha mbaya kwake Ssh na kwa serikali ya Tz.
Wale jamaa walikuwa hawajaki jumuia ya taifa wa kimataifa. Mama alienda kwa moyo wake tu na angeweza kutokwenda pia. Those people those days walikuwa hawajali chochote.
HIYO DEMOKRASIA IMETUSAIDIAJE KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA?
Wew sio wa Pwani kaangalie viongozi wa kichaga walipopewa madaraka walianza kupeleka kila kitu kwao..Hawawezi kushika madaraka ng'o.
Suala la muungano lipo tofauti, kumbuka hata Magu aliwasamehe deni la umeme Zanzibar, kwa muungano ni ishu tofauti kabisa..mbona Mama Ssh naye anakusanya vya Tanganyika na kuwagawia Zanzibar?
..Tanganyika nzima kuna mgao wa umeme lakini Zanzibar hakuna na umeme ni huu huu unaotoka Tanganyika.
Suala la muungano lipo tofauti, kumbuka hata Magu aliwasamehe deni la umeme Zanzibar, kwa muungano ni ishu tofauti kabisa
Huo ni mfumo wa zamani kwani yeye ndo kaleta muungano...mbona Mama Ssh naye anakusanya vya Tanganyika na kuwagawia Zanzibar?
..Tanganyika nzima kuna mgao wa umeme lakini Zanzibar hakuna na umeme ni huu huu unaotoka Tanganyika.
Huo ni mfumo wa zamani kwani yeye ndo kaleta muungano.
Ndo kashaanza taratibu kuruhusu mikutano ya vyama..kwasababu Ssh ndio Rais basi anawajibika kurekebisha mifumo yote mibovu bila kujali mifumo hiyo ni ya zamani au la.
Ndo kashaanza taratibu kuruhusu mikutano ya vyama