Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

Kila wakati ni kumtaja marehebu tu hamchoki?Wanamponda na wanamsifia na kumfananisha na huyu mnapata nin?.Yapo mambo mengi ya kujadili.
 
Unaifahamu Miga wewe??

Je, unawafahamu wanasheria uchwala na watu wa mazingira waliotaka kukwamisha ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji? N.k

Na bila shaka unawafahamu waliokuwa wakifaidi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa!!
- Miga ni multilateral investment guarantee agency
-Hawakuwa Wanasheria Uchawara Walikuwa ni Wanasheria wabobezi kina Dr. Advocate.Nshala(PhD), na hoja zao ( za kupinga) kwenye huo mradi wa Kamba zilikuwa za Msingi
-Waliokuwa Wananufaika na Wafanyakazi hewa ni Wangapi hapa Nchini si kikundi kidogo cha Watumishi wa serikali na CCM
- Jiulize swali kwa nini Serikali ya Awamu ya Tano ilihamishia Fungu la ACTL Kwenda Tanzania Government Flight Agency Ikulu ili kuzuia CAG asikague mahesabu ya ATCL
 
Sawa sawa umesikika msalimie musiba
 
Hatarudi hata ubinuke
 
Hawa sukuma gang ni kuwapotezea tu
 
Watu wanachapa Kazi hawana mda na marehemu..

Ila reference ikitakiwa hasa mbaya atatajwa tuu.
 
Unaifahamu Miga wewe??

Je, unawafahamu wanasheria uchwala na watu wa mazingira waliotaka kukwamisha ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji? N.k

Na bila shaka unawafahamu waliokuwa wakifaidi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa!!
Acha kubwabwaja wewe unamfahamu Deo Mwanyika??
 
Nani anatakiwa aamue nini ni usaliti na nani ni msaliti, Rais wa nchi?! May God Almighty have mercy on your soul.
 
Trillion 1.5 iliyeyukia wapi ile mpaka mkamla mzee wa watu kichwa
 
Hoja za kijinga kabisa hizi,

Hata hivyo, umesema kweli, ni kikundi kidogo tuu kilichokuwa kikinufaika na mgongo wa wafanyakazi hewa, na ndio hao wachache wanaoendelea kumponda Jembe!
 
Hoja za kijinga kabisa hizi,

Hata hivyo, umesema kweli, ni kikundi kidogo tuu kilichokuwa kikinufaika na mgongo wa wafanyakazi hewa, na ndio hao wachache wanaoendelea kumponda Jembe!
  • Kama ni hoja za kijinga mbona umeshindwa kuzijibu
  • Kwa hiyo hicho kikundi ndiyo wamejaa huku jf?
  • Kwa Nini CAG Hakumaliza muda wake?
 
Unaifahamu Miga wewe??

Je, unawafahamu wanasheria uchwala na watu wa mazingira waliotaka kukwamisha ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji? N.k

Na bila shaka unawafahamu waliokuwa wakifaidi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa!!
Hayati Magufuli alifanya kazi yake ya Urais wa Tanzania kwa kadiri alivyoweza.
Kuna mazuri ya kupongezwa na kuigwa, pia mabaya au mapungufu ya kurekebishwa kama ilivyo kwa binadamu.
Mashindano ya kijinga ya kushabikia mauaji ni kumdhalilisha zaidi.
Unataka kuthibitisha kuwa aliwaua watu kwa ajili ya MIGA, wanasheria wa mazingira na waliokuwa wakifaidi kupitia wafanyakazi hewa?
Hii ni akili ya namna gani?
 
Mchafu huwa hachafuki kwa sababu ni mchafu tayari
 
Huwezi kunilisha maneno mjinga wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…