Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila wakati ni kumtaja marehebu tu hamchoki?Wanamponda na wanamsifia na kumfananisha na huyu mnapata nin?.Yapo mambo mengi ya kujadili.Taifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
- Miga ni multilateral investment guarantee agencyUnaifahamu Miga wewe??
Je, unawafahamu wanasheria uchwala na watu wa mazingira waliotaka kukwamisha ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji? N.k
Na bila shaka unawafahamu waliokuwa wakifaidi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa!!
Sawa sawa umesikika msalimie musibaTaifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Hatarudi hata ubinukeNirudie hapa Kwa msisitizo!
Ni wapumbavu, mafisadi, vyeti feki, mashoga, na waliolelewa kimamama ndio wenye chuki na kiongozi halisi na mwenye wivu na mwenye nia ya dhati wa kuiletea nchi maendeleo ya kweli, si mwingine, ni Hayati JPM!!
Naelewa, wote wenye kuni Quote na kutukana, ndio hao walengwa ninaowasema hapa!!
Hawa sukuma gang ni kuwapotezea tuHiyo kangala itakuwa kuwa imekulewesha.
Taja msaliti aliyebanwa na magufuli hata mmoja. Utuambie alisalitije taifa.
Kwa mifano uliyotoa unakiri magufuli aliua 'wasaliti'. Je wasaliti hao ni Ben Saanane? Ni Alphonse Mawazo? Ni wale maiti zao ziliokotwa kwenye viroba? Ni wale waliopotea? Au ni wale walionusurika kina Tundu Lissu?
Hujiulizi kwa nini baada ya shetani kurudi kwao jehanam hatujasikia Tena watu kupotea, kutekwa, kuuwawa au kupigwa risasi?
Unadhani uzi huu unaweza kumsafisha mtu anayenuka damu ya binadamu?!
Watu wanachapa Kazi hawana mda na marehemu..Taifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Acha kubwabwaja wewe unamfahamu Deo Mwanyika??Unaifahamu Miga wewe??
Je, unawafahamu wanasheria uchwala na watu wa mazingira waliotaka kukwamisha ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji? N.k
Na bila shaka unawafahamu waliokuwa wakifaidi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa!!
Nani anatakiwa aamue nini ni usaliti na nani ni msaliti, Rais wa nchi?! May God Almighty have mercy on your soul.Taifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Trillion 1.5 iliyeyukia wapi ile mpaka mkamla mzee wa watu kichwaNirudie hapa Kwa msisitizo!
Ni wapumbavu, mafisadi, vyeti feki, mashoga, na waliolelewa kimamama ndio wenye chuki na kiongozi halisi na mwenye wivu na mwenye nia ya dhati wa kuiletea nchi maendeleo ya kweli, si mwingine, ni Hayati JPM!!
Naelewa, wote wenye kuni Quote na kutukana, ndio hao walengwa ninaowasema hapa!!
Hoja za kijinga kabisa hizi,- Miga ni multilateral investment guarantee agency
-Hawakuwa Wanasheria Uchawara Walikuwa ni Wanasheria wabobezi kina Dr. Advocate.Nshala(PhD), na hoja zao ( za kupinga) kwenye huo mradi wa Kamba zilikuwa za Msingi
-Waliokuwa Wananufaika na Wafanyakazi hewa ni Wangapi hapa Nchini si kikundi kidogo cha Watumishi wa serikali na CCM
- Jiulize swali kwa nini Serikali ya Awamu ya Tano ilihamishia Fungu la ACTL Kwenda Tanzania Government Flight Agency Ikulu ili kuzuia CAG asikague mahesabu ya ATCL
Mwamba umeuaIla wanaomponda hawajazi seva siyo??
Wewe ndio walee wenye chuki naye??
Je, ni kundi la wale watajwa hapo juu!! Mbona si wewe bhana,
Waache mashoga na wala rushwa, wauza ngada na mafisadi, wenye vyeti feki wawe upande wa wapumbavu tunaowasema hapa!
Hoja za kijinga kabisa hizi,
Hata hivyo, umesema kweli, ni kikundi kidogo tuu kilichokuwa kikinufaika na mgongo wa wafanyakazi hewa, na ndio hao wachache wanaoendelea kumponda Jembe!
Hayati Magufuli alifanya kazi yake ya Urais wa Tanzania kwa kadiri alivyoweza.Unaifahamu Miga wewe??
Je, unawafahamu wanasheria uchwala na watu wa mazingira waliotaka kukwamisha ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji? N.k
Na bila shaka unawafahamu waliokuwa wakifaidi Kwa mgongo wa wafanyakazi hewa!!
Mchafu huwa hachafuki kwa sababu ni mchafu tayariTaifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Nahuo ndio ukweli.2025 wagombea lazima watumie mwamvuli wake
Huwezi kumsafisha kama alikuwa na maovu acha yazungumzwe wewe ongelea mazuri hujazuiwaNdio hoja mliyobakiza. Sukuma gang. Acha ushamba.
Huwezi kunilisha maneno mjinga wewe!!Hayati Magufuli alifanya kazi yake ya Urais wa Tanzania kwa kadiri alivyoweza.
Kuna mazuri ya kupongezwa na kuigwa, pia mabaya au mapungufu ya kurekebishwa kama ilivyo kwa binadamu.
Mashindano ya kijinga ya kushabikia mauaji ni kumdhalilisha zaidi.
Unataka kuthibitisha kuwa aliwaua watu kwa ajili ya MIGA, wanasheria wa mazingira na waliokuwa wakifaidi kupitia wafanyakazi hewa?
Hii ni akili ya namna gani?