pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Sasa kama mnampenda kwanini hamnywi sumu mfe mkakae nae!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AyaTaifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Hiyo kangala itakuwa kuwa imekulewesha.Taifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
2025 wagombea LAZIMA wapimwe akili.2025 wagombea lazima watumie mwamvuli wake
Ila wanaomponda hawajazi seva siyo??Mnajaza seva bure kwa upuuzi wa marehemu.
Unaifahamu Miga wewe??Hiyo kangala itakuwa kuwa imekulewesha.
Taja msaliti aliyebanwa na magufuli hata mmoja. Utuambie alisalitije taifa.
Kwa mifano uliyotoa unakiri magufuli aliua 'wasaliti'. Je wasaliti hao ni Ben Saanane? Ni Alphonse Mawazo? Ni wale maiti zao ziliokotwa kwenye viroba? Ni wale waliopotea? Au ni wale walionusurika kina Tundu Lissu?
Hujiulizi kwa nini baada ya shetani kurudi kwao jehanam hatujasikia Tena watu kupotea, kutekwa, kuuwawa au kupigwa risasi?
Unadhani uzi huu unaweza kumsafisha mtu anayenuka damu ya binadamu?!
Kesha chafuka tangu 2015 saa hizi keshaoza.Taifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Wacha ngonjera zako. Magufuli ndiye mwenye rekodi kubwa ya ufisadi. Ni maendeleo gani alikuletea zaidi ya kukijengea airport yake kijijini kwake Chato.Taifa la Usa ambalo ndio linajinasibu kuwa kinara wa demokrasia hapa duniani ndio linaongoza kuua watu wengi ambao kwao ni wasaliti.
Huko Israel ukiwa msaliti wa taifa hilo kwa namna yoyote lazima uuliwe. Huko china na Urusi ndio hubakizwi.
Magufuli alikuwa sawa kudili na wasaliti wa taifa hili kwa namna yoyote ile. Na ndio maana hachafuki kwa hili hata kidogo.
Wasaliti wa taifa hili ni wengi sana. Mafisadi, wapuuzi na wapumbavu ambao wao huwadharau watanzania na kuwaona kama wajinga ndio wasaliti wakubwa wa taifa hili. Ndio maana wananchi wanakumbuka alivyowabana na kuwaletea maendeleo wananchi kuliko kucheka na wasaliti.
Wewe ni miongoni mwa hao hao!!Wacha ngonjera zako. Magufuli ndiye mwenye rekodi kubwa ya ufisadi. Ni maendeleo gani alikuletea zaidi ya kukijengea airport yake kijijini kwake Chato.
Hii nchi inachelewa maendeleo kwa kuwa Ina wajinga wengi kama vwewe Muuza Kangala.
Punguza jazba chalii,kesha kufa na hatarudi mnaompenda na wanaomchukia hambadilishi chochote kwa uzuri na unabaya wakeNirudie hapa Kwa msisitizo!
Ni wapumbavu, mafisadi, vyeti feki, mashoga, na waliolelewa kimamama ndio wenye chuki na kiongozi halisi na mwenye wivu na mwenye nia ya dhati wa kuiletea nchi maendeleo ya kweli, si mwingine, ni Hayati JPM!!
Naelewa, wote wenye kuni Quote na kutukana, ndio hao walengwa ninaowasema hapa!!
Ila hujawaona wapumbaf malofa wanaojaza server humu kwa nyuzi zao kumnanga na kumzushia mwedazake?Mnajaza seva bure kwa upuuzi wa marehemu.
Nalipa kodi za mapato yangu, siui binadamu wenzangu na sidhulumuWewe ni miongoni mwa hao hao!!
Hata hivyo, wewe unamchango upi ktk taifa hili mkuu!!
Nauliza, kufanyike jambo gani ili achukiwe na wote??