Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

suala la umeme ni dhahiri kuna tatizo,na serikali wanachukua hatua zinazostahili,halitatuliwi kwa kelele
 
Hivi shida ni nini jamani?kuna kitu kinaendelea upande wa umeme,kuna mchezo mchafu,maana ,kwaninj kipindi cha kiangazi mgao,kipindi cha mvua mgao,sababu wanazotoa ni sababu za kishetani,haziingi akilini,wanataka wafanye hii ndo iwe style,msipoongea na kuwakumbusha hali itakuwa hivi maisha yoote,watuambie sababu zenye mashiko ili tuwaamini
 
Kosa la watanzania ni kujifungia ndani na kusubiri eti ''mtetezi''. Maweee! Changamkeni ndugu, tujitetee wenyewe, nani alikuambia kwenye maisha unakaa na kusubiri watu wa kukutetea! Hii misemo ya ''tumekosa mtetezi'', ''hatuna mtu wa kutusemea'', ''wananchi wanyonge'', haitasaidia lolote. Amkeni, jiteteeni wenyewe. Shirikini kwenye harakati zote za kuibana serikali bila kujali itikadi wala dini. Ohooooooo!
 
Shida ni sisi wananchi. TUmekaa eti wanasubiri mtetezi. Tutasubiri sana................
 
...ukinunua sola, au ukafunga motor mbili zinazotegemeana, utapata infinity electric charge(umeme usio na kikomo). Utasahau mambo ya TANESCO, nakwambia watakusanya nguzo wauze mbao
Mkuu kama hautajali nakusihi.
Hebu tuwekee mchoro hata wa kwenye karatasi hatua kwa hatua tufanye majaribio huku mtaani. Umeme ni muhimu sana sana. Wahuni hawa TANESCO wamejitwalia nafasi ya kutupatisha taabu kwa sababu nchi kwa kutumia sheria zilizopo imezuia eneo la ubunifu kushamiri
 
Inasikitisha.
 
Pamoja mkuu
 
sina kalamu hapa nilipo ila karatas ninayo, unaweza kusearch google "make your own infinity energy at home" then utaona wameweka motor mbili
 

Huyu pia wamemkamata
 

Attachments

  • VID-20240206-WA0002.mp4
    5.2 MB
Mtanikumbuka
 
sina kalamu hapa nilipo ila karatas ninayo, unaweza kusearch google "make your own infinity energy at home" then utaona wameweka motor mbili
Mkuu shukrani.
hata hayo maelezo yanasaidia kufikia lengo la ufahamu.

thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…