Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
😀😀 hajulikani lkn yuposo... atakuw nan kama so yeye...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 hajulikani lkn yuposo... atakuw nan kama so yeye...
Tumepigwa!16 February, 2024.
au n ww nnhajulikani lkn yupo
Ngoja Mvua inyeshe tuone panapovuja 🤣 🤣Tumepigwa!
Toa somo ama dadavua kidogo...ukinunua sola, au ukafunga motor mbili zinazotegemeana, utapata infinity electric charge(umeme usio na kikomo). Utasahau mambo ya TANESCO, nakwambia watakusanya nguzo wauze mbao
Huu ni mwezi wa mwisho kwenye hiyo sitaToka Rais aseme mgao wa umeme utakwisha ndani ya miezi 6 Leo ni mwezi wa ngapi???
Mkuu Hawa watu hawaaminiki!!!!!!!
La Sola linaeleweka, hili la motor mbili unafanya fanyaje mkuu, naomba uzoefu wako please....ukinunua sola, au ukafunga motor mbili zinazotegemeana, utapata infinity electric charge(umeme usio na kikomo). Utasahau mambo ya TANESCO, nakwambia watakusanya nguzo wauze mao
Kwa hiyo unavyotoka ndani mwako na kukutana na wenzako barabarani hayo tayari ni maandamano?Kero hizo zitaisha mpaka pale watanzania wenyewe sio upinzani wala watawala namaanisha watanzania wenyewe hususa WATANGANYIKA WENYEWE watoke majumbani waingie barabarani na kupinga haya mabaya yanayoendelea bila woga. Asante.
Kuweni wawazi basi sio Kila siku kutudanganyasuala la umeme ni dhahiri kuna tatizo,na serikali wanachukua hatua zinazostahili,halitatuliwi kwa kelele
Unataka wakusemee kila kitu wakati huo wewe umekaa kwako.Hoja tu ya nchi kua na katiba mpya ambayo ni bora inajibu kero zote unazoziona hawajazisemea.panua hiyo akili utaona nchi ilipokwama ni wapi badala ya kulaumu wasio husika wakati huo wakijitokeza kusema unawananga.Umejichanganya mkuu! Wapinzani wanapigania;
- Uraia pacha wa watoto wao
- Ruzuku, inaingia mifukoni mwao
- Nafasi za mamlaka/madaraka
Uwe muungwana tu kusema, aliwahi kuwepo mtu aliyewahi kukerwa na hizo kero na akaonesha nia ya dhati kuzitatua, SIO WAPINZANI.
Unajua kuwa sukari imepanda, kisa mvua? Wapinzani wamefanya nini?
Unajua kuwa umeme ni shida, unaambiwa matengenezo, mara mvua hakuna, unakubaliana nayo hayo? Wapinzani wamefanya nini?
Unajua kuwa mamlaka za maji zimefeli vibaya, wapinzani wako kimya!
Unayo taarifa, nauli zimepanda, wao kimya?
Unajua kuwa hatuna dawa, hatuna chakula cha akiba? Bashe anakanya twende, wao wanafanya nini?
Ni mengi mno ya hovyo nchi hii, CCM wanatengeneza matatizo kwaajili ya maslahi yao...wapinzani wanapambania maslahi yao.
Niambie, maandamano ya kwanza kabisa waliyokusudia kufanya, dhima yake ilikuwa nini?
Hali haijawa mbaya sana, maji yakifika shingoni akili itakuja yenyewe. Tuendelee kusubiri.Kwa hiyo unavyotoka ndani mwako na kukutana na wenzako barabarani hayo tayari ni maandamano?
Hauwezi kufanya mambo hayo bila agenda, organizer au mastermind bhana.
Wanaoweza kushawishi ni wasomi, makanisa/madhebu ya dini pamoja na wanasiasa.
Lakini Sasa wote hao washalambishwa asali hakuna wa kuorganize kitu kama hicho.
Ume-panick bingwa, kuwa Chadema sio kosa wala hupaswi kuji-defense kiasi hiki!Unataka wakusemee kila kitu wakati huo wewe umekaa kwako.Hoja tu ya nchi kua na katiba mpya ambayo ni bora inajibu kero zote unazoziona hawajazisemea.panua hiyo akili utaona nchi ilipokwama ni wapi badala ya kulaumu wasio husika wakati huo wakijitokeza kusema unawananga.
Gharama ni kiasi gani?...ukinunua sola, au ukafunga motor mbili zinazotegemeana, utapata infinity electric charge(umeme usio na kikomo). Utasahau mambo ya TANESCO, nakwambia watakusanya nguzo wauze mbao
Utashi, kukereketwa, kuumizwa, kujali Ingekuwa haupatikani nyumbani kwake na kwa mawaziri wote, wabunge, RC,DC, wangerekebisha.Mzee magu alifanya Nini kuhakikisha Kuna kuwa na umeme wa uhakika ambacho huyu mama hawezi kukifanya?? Tujiulize kwa pamoja
Lengo lao wanataka watuzoeshe kama walivyotuzoesha matatizo mengine! Hawa ni wakuwakemea kama mapepo yanavyokemewa.Hivi shida ni nini jamani?kuna kitu kinaendelea upande wa umeme,kuna mchezo mchafu,maana ,kwaninj kipindi cha kiangazi mgao,kipindi cha mvua mgao,sababu wanazotoa ni sababu za kishetani,haziingi akilini,wanataka wafanye hii ndo iwe style,msipoongea na kuwakumbusha hali itakuwa hivi maisha yoote,watuambie sababu zenye mashiko ili tuwaamini