Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

Magufuli mbona aliweza kukiwa na jua kali,hawa mvua nyingi mpaka maafa lakini umeme hola,
Wakati mwingine wazungu wakiongea kauli ngumu na mbaya juu ya africa tunaona kama ni wabaguzi na wenye roho mbaya ila tunashindwa kujiongoza kweli,
 
...ukinunua sola, au ukafunga motor mbili zinazotegemeana, utapata infinity electric charge(umeme usio na kikomo). Utasahau mambo ya TANESCO, nakwambia watakusanya nguzo wauze mbao
Hebu toa maelekezo niachane na umeme wa CCM.
 
Tupo Kwenye majaribio
20231228_202544.jpg
 
Back
Top Bottom