Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Hili shairi la Kundi Faraja nalipenda mno sababu linazungumzia matatizo na halisi ya uongozi katika bara la Afrika
IMG_20220801_191049.jpg
 
Ni kwamba Serikali haijui inajipotezea mapato kiasi gani na pia kulingana na duania ya sasa ilipo internet ni huduma ya muhimu zaidi katika shughuli za binadamu. Ingekuwa ni kwa uwezo wangu ningefanya internet ikawa bure au sawa na bure maana ina faida nyingi na kubwa sana kama watu wataweza kuitumia vyema.
 
Ni kwamba Serikali haijui
inajipotezea mapato kiasi gani na pia kulingana na duania ya
sasa ilipo internet ni huduma
ya muhimu zaidi katika
shughuli za binadamu.
Ingekuwa ni kwa uwezo wangu
ningefanya internet ikawa bure
au sawa na bure maana ina
faida nyingi na kubwa sana
kama watu wataweza kuitumia
vyema.
Nina rafiki yupo Qatar huko internet free tu.
 
Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja..

Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka.

Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa kuongoza kwa unafuu wa gharama za internet kipindi Gb1 unapata kwa Tsh1,000/= lakini ghalfa zikaanza kupanda kwa awamu hatimaye leo awamu ya tatu kupanda tokea awe madarakani(kama sikosei) nimekuta Tsh3,000/= mtu unapata Gb 1.5 na mitandao yote vifurushi viko bei ghali kuliko vilivyokuwa ghali awali.

Athari nilizoziona kutokana tokea hali hii ilivyoanza miezi iliyopita na kuongezeka sasa;

1.Kuongezeka wimbi la watu wanaotumia njia haramu za kupata bando za bure mfano Free VPN.

Huko telegram nimechunguza nimekuta magroup maalumu kwa akji ya watu kupeana hayo maujanja ili kuendana na ukali wa hali hata mitaani na hapa Jf ukiwa na connection ya VpN ya free data watu kibao wanakufuata Pm na wengine wapo radhi kukuchangia chochote kitu hivyo inachangia mapato ya serikali kupotea kwa asilimia kubwa.

2.Kupungua Idadi ya views youtube kwa asilimia kubwa na watu kukosa mapato.Hata wasanii wamepigwa za uso miezi hii na haijawahi kutokea kuwa na idadi ndogo namna hiyo kwa fanbase yao

3.Kupunguza motisha ya watu kusaka maarifa mtandaoni .Mimi nilikuwa ninachanel zangu maalumu za kufuatilia makala maalumu na mada za kisanyansi,kihistoria nk huko YouTube lakini nina miezi YouTube naiogopa kwenye simu yangu na naipitia ili nibaki kuperuzi angalau Jf .

4.Ongezeeni wana Jf....

#UziTayari
No way Kama wananchi hatuwezi wavulumisha kwenye viyoyozi, ila mamlaka zozote ambazo hazieshim/ huzalau wananchi wake jua there days are numbered, nchi inazidi kwenda pabaya sana
 
Yani nimetoka kujiunga halotel MB 750 kwa 1000, mwanzo ilikuwa 1GB wakapunguza ikawa MB 900 na leo nakuta 750.
Gharama zinazidi kupata,mimi baada ya kutathimimi line zote tatu kwa buku jero Mb zinazopatikana kwenye kifurushi cha wiki nimeona voda pekee yako ndio wamefikia Mb 800 kwa buku jero wangine wote wapo chini ya hapo.
 
Ni kwa halotel tu zamani ilikuwa mitandao karibia yote na nimesajili halotel kwa sababu ya Freebasic ikiondolewa navunja laini kabisa maana kwa uzoefu wangu halotel wanachukua bando haraka sana na ipo namba 2 kwa mtindo huo usukani ukishikiliwa na Airtel.


Hebu leta hayo maujanja watu tunaumia mno na hali za maisha.
 
Gharama zinazidi kupata,mimi
baada ya kutathimimi line zote tatu kwa buku jero Mb
zinazopatikana kwenye
kifurushi cha wiki nimeona
voda pekee yako ndio
wamefikia Mb 800 kwa buku
jero wangine wote wapo chini
ya hapo.
Eh! Nilikosea ni 1500 hiyo 750 na si buku, ni hatari bora na mimi nianze kufikiria free vpn.
 
Ni kosa kisheria ,lakini sasa FreeVpn na maujanja ya kupata bando bure imekuwa maarufu sana bongo mimi nilikuta grupu lina members kama buku Kazi kupeana madini tu mpaka nikabaki nacheka jinsi watu wanavyohangaika humo.
Na ssi tupewe mipango Kaz jins ya kufanya niweze kupat free vpn niachane na bando la nape na samia
 
Kuwa mzalendo na nchi yako hata kama wanatupiga vitu vizito kichwani 😂😆😆


You have to do something good for your country in turn the country may be able to do something better for you, in our country such thing does not happen so what do we do??, bei ya kila kitu imepanda kinyemela.
 
Tunapigwa nyumbani na ugenini kote hakuna usalama ,mimi kifurushi changu cha wiki kimeisha leo ile nataka kujiunga nimekutana na mabadiliko makubwa kwenye menu nikasema ngoja nicheki line nyingine nimekuta hali ile ile 😢😢
Hayataisha mpaka siku ambayo kiongozi wa nchi atakapoondolewa kwa maandamano
 
Kuna bogus mmoja yuko pale, akiulizwa atakwambia lete ushahidi. Sijui wajibu wake ni nini huyo jamaa.
Nilicheka sana hiyo siku ,vifurushi vimepanda na iko wazi halafu waziri anataka ushahidi.
 
Back
Top Bottom