Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

2.Kupungua Idadi ya views youtube kwa asilimia kubwa na watu kukosa mapato.Hata wasanii wamepigwa za uso miezi hii na haijawahi kutokea kuwa na idadi ndogo namna hiyo kwa fanbase yao
YouTube saivi ni shiiida, maana inakula bando kwa kasi ya 5G🙄
Seems watawala wanaichukulia internet Kwa ujumla kama anasa!
 
YouTube saivi ni shiiida, maana inakula bando kwa kasi ya 5G🙄
Seems watawala wanaichukulia internet Kwa ujumla kama anasa!
Halafu nilichogundua YouTube sasa video zao zinaquality ya juu sana sasa watu wengine hawapunguzi quality na kusababisha bando lisepe kwa urahisi .

Mimi zamani nilidhani YouTube ni anasa na umbea tu .Baadae nikagundua kuna madini mengi mno na maarifa ya kutosha haswa ukijua channel zake na nyingi za ulaya na asia nikishuka kwenye comments watu wanavyochambua na kujadili kwa facts mpaka raha ila sasa.

Kwa sasa vipindi kibao vimenipita kwa sababu ya kubana matumizi ya bando.
 
Ni kosa kisheria ,lakini sasa FreeVpn na maujanja ya kupata bando bure imekuwa maarufu sana bongo mimi nilikuta grupu lina members kama buku Kazi kupeana madini tu mpaka nikabaki nacheka jinsi watu wanavyohangaika humo.
Mkuu naomba link ya ilo group., hali mbaya kwa kweli
 
Acheni kulialia hamieni TTCL
Nina lines nyingi ila naelekea huko maana

Enzi za NIGHT PACK hadi tumesahau tunatamani warudishe ilikuwa kitonga unawasha unalala unakutana na mizigo asubuhi

Voda MBs zinaenda vizuri pole pole ila gharama
Tigo MBs zinaisha haraka mno hawafai
Airtel Sio kama zamani ni chwaaaap MBs zimeenda
Halotel Hawa ndiyo wapuuzi kabisa walipokuja walikuja na speed kali Kwa sasa utopolo mtupu na kulazimisha watu wajiunge na huduma zao kwa kublock lines zipokee simu na SMS bila kutoa .Lines zao za chuo uchafu hazina maana.
 
Back
Top Bottom