- hakuna vpn ya free internet amini nachokwambia, VPN kazi yake ni kuficha utambulizi wako mtandaoni, VPN maana yake virtual private network maaana yake unatengenezewa pings private kwenye connection yako, mfano ukiandika facebook.com, hii request inabadilishwa inakua address ya vpn, mfano akam vpn yako inaitwa jamii forum, then ukiandika facebook.com, hio request inakua forged inakua jamiiforum.com?returnpacket=facebook.com
- kwahio voda yeye ataona tu request inasema jamiiforum.com! jamiiforum atachukua hio request ataprocess kwenye computer zake atarudisha tena mfano jamiiforum.com?returnpacket=flani liked your picture!
- ukiangalia kwa kutumia mitandao ya simu utaona tu client anaongea na jamii forum one to one kumbe kuna exchange kubwa ya data!
- Connection ya internet ni ngumu sana na complex lazima uwe na hardware za kufanya connection mfano minara, satelite hizo vpn wanaokwambia wana free internet hakuna kitu kama icho na haiwezi kutokea hakuna connection ya vpn na free internet but privacy tu! na hata ukiwa na vpn u will still be charged kwenye bundle lako kawaida