Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Ni kwamba Serikali haijui inajipotezea mapato kiasi gani na pia kulingana na duania ya sasa ilipo internet ni huduma ya muhimu zaidi katika shughuli za binadamu. Ingekuwa ni kwa uwezo wangu ningefanya internet ikawa bure au sawa na bure maana ina faida nyingi na kubwa sana kama watu wataweza kuitumia vyema.
 
Nina rafiki yupo Qatar huko internet free tu.
 
Ni kosa kisheria ,lakini sasa FreeVpn na maujanja ya kupata bando bure imekuwa maarufu sana bongo mimi nilikuta grupu lina members kama buku Kazi kupeana madini tu mpaka nikabaki nacheka jinsi watu wanavyohangaika humo.

Hiyo ndio njia iliyobakia.
 
No way Kama wananchi hatuwezi wavulumisha kwenye viyoyozi, ila mamlaka zozote ambazo hazieshim/ huzalau wananchi wake jua there days are numbered, nchi inazidi kwenda pabaya sana
 
Yani nimetoka kujiunga halotel MB 750 kwa 1000, mwanzo ilikuwa 1GB wakapunguza ikawa MB 900 na leo nakuta 750.
Gharama zinazidi kupata,mimi baada ya kutathimimi line zote tatu kwa buku jero Mb zinazopatikana kwenye kifurushi cha wiki nimeona voda pekee yako ndio wamefikia Mb 800 kwa buku jero wangine wote wapo chini ya hapo.
 


Hebu leta hayo maujanja watu tunaumia mno na hali za maisha.
 
Gharama zinazidi kupata,mimi
baada ya kutathimimi line zote tatu kwa buku jero Mb
zinazopatikana kwenye
kifurushi cha wiki nimeona
voda pekee yako ndio
wamefikia Mb 800 kwa buku
jero wangine wote wapo chini
ya hapo.
Eh! Nilikosea ni 1500 hiyo 750 na si buku, ni hatari bora na mimi nianze kufikiria free vpn.
 
Ni kosa kisheria ,lakini sasa FreeVpn na maujanja ya kupata bando bure imekuwa maarufu sana bongo mimi nilikuta grupu lina members kama buku Kazi kupeana madini tu mpaka nikabaki nacheka jinsi watu wanavyohangaika humo.
Na ssi tupewe mipango Kaz jins ya kufanya niweze kupat free vpn niachane na bando la nape na samia
 
Kuwa mzalendo na nchi yako hata kama wanatupiga vitu vizito kichwani πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†


You have to do something good for your country in turn the country may be able to do something better for you, in our country such thing does not happen so what do we do??, bei ya kila kitu imepanda kinyemela.
 
Tunapigwa nyumbani na ugenini kote hakuna usalama ,mimi kifurushi changu cha wiki kimeisha leo ile nataka kujiunga nimekutana na mabadiliko makubwa kwenye menu nikasema ngoja nicheki line nyingine nimekuta hali ile ile 😒😒
Hayataisha mpaka siku ambayo kiongozi wa nchi atakapoondolewa kwa maandamano
 
Kuna bogus mmoja yuko pale, akiulizwa atakwambia lete ushahidi. Sijui wajibu wake ni nini huyo jamaa.
Nilicheka sana hiyo siku ,vifurushi vimepanda na iko wazi halafu waziri anataka ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…