Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Dah! Mb 750 nimejiunga jana usiku sija download zaidi ya kuchungulia instar dk 5 tu tena kwa tahadhari zote ila asubuhi naambiwa nimetumia 75% ya kifurushi changu.
Airtel hao...mi nimeachana nao, Bora voda
 
Mama anaupiga mwingi
 
Hili jamaa ni lipumbavu jamani.... Khaaaaaaaaaaaaa
Anatoa majibu simple kabisa ,hapa akitoa tena majibu yake ya hovyo baada ya vifurushi kupanda mwezi wa sita mwaka huu
 
Hawajachukua hatua yeyote mpaka sasa na haya yalikuwa majibu yao baada ya vifurushi kupanda mwaka huu kabla ya sasa .
 
Hii walivyopandisha February
Ikaja tena May na Jully

 
2) Japokua vifurushi vimepanda ndio ila ukilinganisha na nchi zingine bado ni miongoni kwa nchi ambazo vifurushi vyake viko chini sana ukilinganisha na nchi zingine
Vipi umelinganisha na mishahara ya TZ na hizo nchi nyegine?.
 
Vipi umelinganisha na mishahara ya TZ na hizo nchi nyegine?.

mshahara hautakiwi kutosha hakuna sehem wanalipwa mshahara unaotosha! si ulikua unaona sera za nyerere hazifai mkakubali capitalism sasa malalamiko ya nn?
 
Zantel zimepanda x 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…