Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?


Wewe ndo huna akili ku deal na maamuzi ya watu, India ni mahali pa kwenda kweli?
 
Kwa nini usimtumie huu ujumbe muhusika unakuja kutupigia kelele humu?

Kama unaona kuwa house girl kunalipa na wewe kawe beki 3 Oman
​
Lecturer wa chuo hamkuti mshahara storekeeper wa UAE au Saudi Arabia, ulaya na marekan, Sasa master's ya India akipata Kaz ulaya au uarabuni,Canada ua US si anakua na mishahara ya walimu 10 Kwa mwezi
 
Kwahy huyu beki tatu wa Kenya huko Oman na mbeba box huko USA ndio wamesoma India?

Namuunga mkono huyo mwalimu.
Nmelinganisha level za mishahara unayolipwa uko nje na huku kwetu.

Huyo jamaa akimaliza master's anaweza kwenda ulaya Amerika au uarabuni kirahis zaidi na akafanya kazi za kawaida huku akitafuta kazi za master's hata degree na akapata pesa nzuri kuliko kukaa hapa bongo.

Wenzetu Kenya wametupita vingi Sana as wabongo kwenye kujitoa muhanga risk taking
 
Kumbe Beki tatu Oman Ana maendeleo kuliko sisi tuliojazana hapa halmashauri.

Kumbe tunapoteza muda tu hapa, ngoja niwasanue hawa masista duu hapa Masijala.
 
Tatizo limeanza ulipoona uamuzi wa mwenzio kuwa wa kijinga bila kuelewa muktadha.

Huku mtaani tuna vijana wengi wamesoma India, China, Ukraine na nchi nyingine kama hizo... na hawana ajira.

India siyo Ulaya, hakuna urahisi wowote utakaoupata wa kuingia Ulaya.

Wahindi wenyewe kupata visa ya Ulaya kazi, ije kuwa wewe Mtanzania!
 
"TUMEROGWA"!?

Utakuwa umerogwa wewe na huyo mwenzio,usitujumuishe wote!
Kama upo nje ya bongo kweli utakua Hujarogwa lakn kama upo hapa na umeajiriwa halmashauri ni walewale

Hakuna mbongo anaenda nje uarabuni, ulaya au Amerika anaetamani kurudi uku wengine wanatelekeza hadi familia,

Huku ni utumwani sio mahali pa kufanya kaz

Bora ulale darasani London kuliko kuishi bongo
 
India? Unadhani we wa kwanza kwenda India full funded scholarship?
 
Kwenye hiyo whatsapp group ulituma ujumbe kama huu?
 
Je n watu wangapi wamesoma nje na wamepata kazi za uhakika hapa nchini au huko mbele?
Vp kama akisoma huko India na bado akarudi kukaa bench hapa hapa nchini au kuishia kuajiriwa halmashauri kwa sababu ana elimu nzuri?
 
Hao ni walewale tu huwezi ukasoma India halaf malengo Yako yaje kuwa kuajiriwa Tanzania hayo ni matumizi mabaya ya akili

Ukiashamua kuondoka bongo basi amua Moja Kwa Moja na uwe na mchoro mzima wa mambo ya mbele

Kwamm siwezi rudi bongo nikitoka India eti kuishi labda kutembea tu Kuna kuona wanyama

Mtu unapata Milion 2 ya matumiz Kila mwezi Kwa miezi 18 utashindwa kusevu hata milion 12 upate Hela ya kwenda kuishi popote utakapo maliza master's?
 
Hao ni walewale tu huwezi ukasoma India halaf malengo Yako yaje kuwa kuajiriwa Tanzania hayo ni matumizi mabaya ya akili
Hii kitu huwa nawambia marafiki zangu hawanielewagi. Mtu unatumia zaidi ya milioni 100 kusoma degree au Masters Urusi harafu unarudi Tz kupata mshahara wa milioni 1.5.
 
Je n watu wangapi wamesoma nje na wamepata kazi za uhakika hapa nchini au huko mbele?
Vp kama akisoma huko India na bado akarudi kukaa bench hapa hapa nchini au kuishia kuajiriwa halmashauri kwa sababu ana elimu nzuri?
Kwann urud bongo kwanza wakati hapo Dubai, Qatar, UAE na Saudi Arabia wanaingia hata wasio na vyeti vya Form four kufanya kazi na wanalipwa kuliko walimu wa bongo

Huo ndo ujinga wa watanzania unapenda sifa za kijinga mtaani, ooh yule kutoka ulaya kusoma ili mtambe mitaani lakn hamuwezi kubaki ukouko nje kujitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…