Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Sijui mnachomaanisha ila me ni mwajiriwa tayar Miaka minne wizara ya maji na mwez ujao naenda zangu Indonesia napanda lindege sio shida zangu Acha nikale monthly allowance na kusoma zangu...SIWASIKILIZI HATA KIDOGO WAZEE WA FITINA WABANAJI
 
Kaz za halmashauri fanyen nyinyi mkuu mm ushauri wangu ndo huo na ningekua mm nisingeomba ushauri swez fia unyanini
Sawa Wacha sisi manyani tufanye kazi Halmashauri , ww kasome master iyo Master Wacha kazi ila ukirudi utatafuta hiyo kazi ya master utumishi / private sector.
 
Sawa Wacha sisi manyani tufanye kazi Halmashauri , ww kasome master iyo Master Wacha kazi ila ukirudi utatafuta hiyo kazi ya master utumishi / private sector.
Siwez kurud bongo hata iweje kama napanga kusoma nje ya Africa vyuo Bora halaf nawaza kuja kuajiriwa bongo ntakuja Sina tofauti na wagonjwa wa milembe.

Africa inayolipa ni siasa tu sio ajira
 
Siwez kurud bongo hata iweje kama napanga kusoma nje ya Africa vyuo Bora halaf nawaza kuja kuajiriwa bongo ntakuja Sina tofauti na wagonjwa wa milembe.

Africa inayolipa ni siasa tu sio ajira
Sasa unaandika kuomba ushauri wa Nini kama ushafanya maamuzi Yako?
 
Unafikiri gharama ya maisha ya ughaibuni ni kama hapo Buza kwa Mpalange?

Pili; unapoenda kusoma visa yako inakoma punde unapohitimu. Uki-overstay ni kosa la jinai.

Tatu; kupata ajira si rahisi kama unavyofikiria. Hata wao wana matatizo mkubwa ya ajira na hali duni ya maisha.

Usione wanatoa misaada Tanzania ukafikiri wana hela. Wanatafuta ushawishi ili wa-secure interests zao.

Hiyo "plan" yako ni ipi?
 
Unafikiri gharama ya maisha ya ughaibuni ni kama hapo Buza kwa Mpalange?
Gharama za maisha hazfanan na vipato hazfanan, kwann beki 3 wa Oman au mbeba box USA anaweza kujenga nyumba 3 Tanzania nzuri ndani ya miaka 5 lakn mwalimu hawezi kujenga hata moja bila kukopa?

Ukijibu hapa ntabak halmashauri
 
Hakuna wafanyakazi halmashauri waliojenga nyumba tatu nzuri ndani ya miaka mitano?
 
Weweee India hatuendi buana usilazimishe
Sisi ndo tulivyo hata wachezaj mpira wengi wa Tanzania wanaakili hizhiz za wafanyakazi wa serikalin wanashindwa akili hata na wahuni wa tandale wanaozamia Africa kusini
 
Kwa akili yako unafikiri akienda India anatoboa
Maskini wa India ni Maskini kweli kuliko wa bongo.Usifananishe India na Ulaya au Marekani
 
Mkuu umesoma Uzi au unakuja kutukana

Hata kungekua na slum nchi yote hatuna Cha kujifananisha na India sisi Tanzania, half nimesema akimaliza ni rahisi kwake kwenda ulaya, Amerika au uarabuni sjasema abak india
Huko India kwenyewe kuna wahindi kibao wanahaha watatokaje hiyo nchi yao waende Ulaya wanashindwa, sembuse huyo mbongo
 
Hakuna wafanyakazi halmashauri waliojenga nyumba tatu nzuri ndani ya miaka mitano?
Hakuna na kama yupo ujue anatoka familia ya yenye pesa au mwizi hakuna Kaz halal ya halmashauri itamfanya mtumishi ajenge nyumba hata moja Kwa mshahara, wengi wanajenga Kwa mikopo na wizi
 
SCHOLARSHIP YA MASATERS India ni taka taka hata Mimi siendi zamani ukiskia mtu ana Degree , Masters, PhD unasema huyu ameula lakini sasahivi unahitaji cheti Cha form iv tu na JKT Kisha TANAPA chap unashikq pesa chafu mpaka wewe na masters Yako unakuwa unakaa mbali kuwa mjanja ww Saka pesa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…