Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
-
- #141
Ww sema uzi ukishaelewa mada ndo ukommenti wapi nimesema akatafute maisha India?Kwa akili yako unafikiri akienda India anatoboa
Maskini wa India ni Maskini kweli kuliko wa bongo.Usifananishe India na Ulaya au Marekani
Takataka uko unyanini muda wote mnawaza wizi wa Mali za umma ndo maana wenye akili hawez rudi uku akipata elimuSCHOLARSHIP YA MASATERS India ni taka taka hata Mimi siendi zamani ukiskia mtu ana Degree , Masters, PhD unasema huyu ameula lakini sasahivi unahitaji cheti Cha form iv tu na JKT Kisha TANAPA chap unashikq pesa chafu mpaka wewe na masters Yako unakuwa unakaa mbali kuwa mjanja ww Saka pesa kwanza
Umeangalia na gharama za maisha huko unakosema? Mimi Ulaya kuishi hapana, maisha ni ghali sana na usipoangalia hela yote unatumia kwa matumizi ya kawaida tu.Lecturer wa chuo hamkuti mshahara storekeeper wa UAE au Saudi Arabia, ulaya na marekan, Sasa master's ya India akipata Kaz ulaya au uarabuni,Canada ua US si anakua na mishahara ya walimu 10 Kwa mwezi
Mkuu huna bado exposure uliza wanaoishi uko kwanza ndo uongee hayo mm hii mindset yangu nimepata kwawatu walioishi na wanaoishi nje sio hapa bongo, maisha ni gharama kweny kupanga tu kwengne ni mseleleko tu ukiwa unajitambua na kazi za kawaida zipo nyingi upambanaji wako tu na wanalipwa vizuri Hela ya Kodi unaweza ipata ndani ya wiki na Hela ya matumizi ya mwezi ndani ya wikiUmeangalia na gharama za maisha huko unakosema? Mimi Ulaya kuishi hapana, maisha ni ghali sana na usipoangalia hela yote unatumia kwa matumizi ya kawaida tu.
Sio India hata Ulaya, tena siku hizi ndio hali inazidi kuwa mbaya. Mimi naendaga Ulaya kila mwaka mara 2, kwa maisha ya kule bora niendelee kubaki bongo. Wenyewe wakija huku siku wanaondoka wanalia,Unafikiri reality iliyopo ground ni nyepesi?
Wahindi wenyewe wanapambana kupakimbia India.
Halafu ukienda kwa viza ya masomo, usifikiri ni rahisi kufanya kazi na kupata kazi.
Muhindi hadi aje akupe ajira wewe foreigner kwenye nchi yake, wakati kuna lundo la wahindi wenzake hawana ajira. Ni ngumu sana.
India haina tofauti na Afrika.
Ulaya ukiwa na elimu na hela ya kujikimu na umepata kazi unaingiza bila tatzo na TANZANIA sio nchi tishio Kwa ulaya kiusalamaSasa hivi nchi nyingi za ulaya wanaweka sheria kali za wahamiaji. Itakuwa ngumu kupata visa au vibali vya kufanya kazi huko. Hawataki wahamiaji kabisa.
SharukhaniKwani akisoma India itamfanya awe nani?
Sina exposure? Nilishaishi huko na ninaenda kila mwaka at least mara 2. Nina experience sio kuambiwa. Na wabongo wengi walioko huko wanaweza wasikuambie ukweli wa mambo huko.Mkuu huna bado exposure uliza wanaoishi uko kwanza ndo uongee hayo mm hii mindset yangu nimepata kwawatu walioishi na wanaoishi nje sio hapa bongo, maisha ni gharama kweny kupanga tu kwengne ni mseleleko tu ukiwa unajitambua na kazi za kawaida zipo nyingi upambanaji wako tu na wanalipwa vizuri Hela ya Kodi unaweza ipata ndani ya wiki na Hela ya matumizi ya mwezi ndani ya wiki
Hizo wiki 2 zinazobaki unaweza nunua viwanja Tanzania Kwa mwezi viwili hivo wanavouza milion 2 ambayo ni Dollar 1000 tu
Ulaya ya wapi hyo ambayo maisha magumu kuliko bongo?Sio India hata Ulaya, tena siku hizi ndio hali inazidi kuwa mbaya. Mimi naendaga Ulaya kila mwaka mara 2, kwa maisha ya kule bora niendelee kubaki bongo. Wenyewe wakija huku siku wanaondoka wanalia,
Unaweza kututhibitishia hao mabeki tatu na wabeba maboksi siyo wezi huko waliko?Hakuna na kama yupo ujue anatoka familia ya yenye pesa au mwizi hakuna Kaz halal ya halmashauri itamfanya mtumishi ajenge nyumba hata moja Kwa mshahara, wengi wanajenga Kwa mikopo na wizi
Ulaya ipi? Mimi nifanya ubalozini na nimefanya zaidi ya 2, sio rahisi kupata visa za kwenda huko. Sasa hivi hawataki wahamiaji.Ulaya ukiwa na elimu na hela ya kujikimu na umepata kazi unaingiza bila tatzo na TANZANIA sio nchi tishio Kwa ulaya kiusalama
Kazi kwelikweli. Naenda huko kila mwaka , najua ninachokisema.Ulaya ya wapi hyo ambayo maisha magumu kuliko bongo?
Nyinyi ndo washaur wake kumbeee!!!
Watu wasema tu bila kuwa na ushahidi. Nawafahamu watu wanaofanya kazi Muscat sijui, maisha yao ya kawaida sana miaka nenda rudi.Unaweza kututhibitishia hao mabeki tatu na wabeba maboksi siyo wezi huko waliko?
Kwahyo bongo maisha mazuri kuliko ulayaSina exposure? Nilishaishi huko na ninaenda kila mwaka at least mara 2. Nina experience sio kuambiwa. Na wabongo wengi walioko huko wanaweza wasikuambie ukweli wa mambo huko.
Ww Kila sehemu umeenda na Kila sehemu maisha magumu na Kila sehemu unawatu unaowajua na wanahali kuliko ngumu au za kawaida kuliko huku bongo😄😄😄Watu wasema tu bila kuwa na ushahidi. Nawafahamu watu wanaofanya kazi Muscat sijui, maisha yao ya kawaida sana miaka nenda rudi.
Huna ujualo bongo hakuna na hakutawahi kuwa na maisha mazuri kuliko nchi yeyote ya ulaya Bora kuish Ukraine ya Sasa kuliko TANZANIAKazi kwelikweli. Naenda huko kila mwaka , najua ninachokisema.
Kwa mtazamo wangu yes. Ulaya maisha ni expensive sana. Halafu kupata visa za huko unadhani ni rahisi, we hata kama una sijui milioni 100 kwenye account uone kama utapata visa kirahisi. Sana sana ukibahatika kupata utapewa ya mwezi mmoja tu.Kwahyo bongo maisha mazuri kuliko ulaya
Wanaiba nn na Kila kitu kipo kwenye utaratibu mzuri au unazan uko ujanja ujanja na wizi umeshamil na umehalalishwa kama ukuUnaweza kututhibitishia hao mabeki tatu na wabeba maboksi siyo wezi huko waliko?
Ww Kila sehemu umeenda na Kila sehemu maisha magumu na Kila sehemu unawatu unaowajua na wanahali kuliko ngumu au za kawaida kuliko huku bongo😄😄😄
Hii bongo basi ni hatari kuliko hata
Wewe sema maisha yako ni magumu bongo ila usijilinganishe na wengine. Unasubiri nini sasa, kaombe visa uende huko.Huna ujualo bongo hakuna na hakutawahi kuwa na maisha mazuri kuliko nchi yeyote ya ulaya Bora kuish Ukraine ya Sasa kuliko TANZANIA