Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Kwa mtazamo wangu yes. Ulaya maisha ni expensive sana. Halafu kupata visa za huko unadhani ni rahisi, we hata kama una sijui milioni 100 kwenye account uone kama utapata visa kirahisi. Sana sana ukibahatika kupata utapewa ya mwezi mmoja tu.
Unachekesha mkuu visa vinapatikana Kwa mtindo mbalimbali sio lazma huo unaotaka ww WA kuwa na milion 100, mtu anaechukua hatua ngumu anakua kashapanga michoro yote hatukurupuki
 
Wewe sema maisha yako ni magumu bongo ila usijilinganishe na wengine. Unasubiri nini sasa, kaombe visa uende huko.
Maisha yangu ni magumu Kwel lakn bongo hakuna maisha mazuri pia labda uwe mwizi wa Mali za umma sio kwakazi za halmashaur
 
Unachekesha mkuu visa vinapatikana Kwa mtindo mbalimbali sio lazma huo unaotaka ww WA kuwa na milion 100, mtu anaechukua hatua ngumu anakua kashapanga michoro yote hatukurupuki
Visa za hivyo labda sio Ulaya nanayoijuia. UAE ni rahisi hata online unapata siku hiyo hiyo. Nenda Canada, au nchi za Ulaya au USA uone kimbembe chake.
 
Visa za hivyo labda sio Ulaya nanayoijuia. UAE ni rahisi hata online unapata siku hiyo hiyo. Nenda Canada, au nchi za Ulaya au USA uone kimbembe chake.
Hayo unayosema tunayajua na tushajua tunavukaje hauna jipya humu hatujadili kuhusu visa
 
Dogo unaandika pumba Sana
 
Wapo vijana kibao tu hapa bongo walisoma scholar India wakarudi hapa. Mmoja ni mmiliki wa Sahara venture ambae kasoma na mwanangu mmoja hiv nae anajitafuta mpaka leo. Wapo kibao humu bongo mzee usione kitu cha ajab
 
Hakuna sehemu nimesema wamesoma masters.

Mimi mjinga ila maisha yangu ni bora mara mia ya wewe unaelilia scholarship mitandaoni.

Wewe ndio wale wajinga wanaodhani kuishi ughaibuni ndio kutoboa.

So far kama ni rahisi kutoboa huko Ughaibuni mbona hujaenda wewe?
 
Maisha Yako mm yananihusu nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…