Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

Leo hii mama mnamtambua Ni Rais aliyetokana na uchaguzi wa 2020 mnaosema ccm iliiba kura,? Na kumbe mnamtambua Ni Rais na mnahitaji msaada wake?
Umeanzisha thread mwenyewe kisha unaivuruga mwenyewe, kumtambua au kutomtambua hakuzuii kuhitaji msaada wake Rais anayelipwa kama Rais kodi zetu.
Siasa ndiyo inayotumika hapo, vinginevyo asipotambuliwa kiuasi nchi huwa inaingia kwenye taharuki
 
Reactions: BAK
Mawazo yako ni ya kidektata, kifashisti na utwana. Ni mawazo ya kujikomba pia na yanitia kinyaa.
 
Reactions: BAK
Tunu za Taifa zinahitaji kulindwa kwa nguvu zote.Wakosoaji baadhi Yao hawajawahi kuwa na busara .Rais mstaaf awamu ya Nne alishawahi kukosolewa bungen na mmbunge mmoja hivi wa upinzan kwa Kusema "Sijawahi kuona Rais wa Hovyo Kiasi hiki" Mwisho wa kunukuu. Je hiyo ni busara kumsema baba yako hivyo?Kwa kuwa Rais mstaaf alikuwa mpole walienda mbali zaid kwa kumdhalilisha kupitia Katuni (the utamu) Si unakumbuka? Awamu ya Tano hatukusikia wala kuona tunu za Taifa zikichezewa kwan waliotempa nazo walijikuta mikonon mwa polisi.Waswahili wanasema ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Kuwa straight, wanaomtukana Rais ni Sukuma gang.
 
Ubarikiwe
 
Mwalimu Mwakasege anasema msimu na majira mapya yanakuja na maumivu. Kuna watu wanaumia na msimu mpya, wanauliza maswali ambayo miezi 6 iliyopita hawakuwahi kufikiria.
 
Ww kazi yako kulia lia tu kama mtoto mdogo...
 
Yule hakuwa rais alikuwa zimwi
 
Watu walikuwa wanadoboa keki ya taifa kwa vidole, wanamegeana, mama Rais, kaja kaliondoa sinia lao, mezani, vipande walivyonavyo mkononi kawanyang'anya.

Ni kuwapuuzia tu.

Ingependeza tukijikita kwenye, mambo ya kuboresha utaifa na kitaifa, ila sera za kuligawa taifa bado zimetamalaki. Sad!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Lakini pia Mama hataki watetezi wa hivi. Hata kwa Baba walianza hivi hivi baadae pakazaliwa Mataga
 
Hapo mwisho, wanatoa mimba sio wanawake? Hakuna wanawake waliowahi kuua watot wao?
Matusi au lugha za kejeli sio sahihi, ila sijala kiapo chochote kumtii binadamu mwenzangu. Zaidi, wala sijafundishwa kuwa muoga.
Ila hata yeye hasitumie 'maneno ya kwenye khanga', maanake isijekuwa source ya kejeli ni yeye mwenyewe.
 
Leo hii mama mnamtambua Ni Rais aliyetokana na uchaguzi wa 2020 mnaosema ccm iliiba kura,? Na kumbe mnamtambua Ni Rais na mnahitaji msaada wake?
Wewe ni walewale tu 'kusifu na kuabudu' part II.

Wembe uliomchana Magu ndio huo huo utakaotumika kwa SSH endapo ataenda kinyume na sheria za uongozi.

Tuite beleshi...BELESHI.
Tuache mambo ya unafiki.
 
Kama hayati tu anatukanwa itakuwa aliyepo hai!?πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Ataongea porojo tu nasi tutashangilia hakuna matokeo yoyote kikubwa atawaplease watu anaowaona tishio kwa utawala wake maana Hana uwezo wa kuhandle makasiriko yao.
we unashauri afanye nini?!? kwa maana ndio rais sasa huna cha kufanya zaidi ya kushauri maana hata ukiwa na hasira gani,utukane mpaka lyamba she is the president!!! shauri tu afanye nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…