Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
km nakuona ulivohuzunika mwenyewe! yaani hapo ushakumbuka kidali pooh, au ile "fagilia bongo" afu video imenogeshwa na yule jamaa mwenye mifupa ya nylon, "wabogojo"Mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
km nakuona ulivohuzunika mwenyewe! yaani hapo ushakumbuka kidali pooh, au ile "fagilia bongo" afu video imenogeshwa na yule jamaa mwenye mifupa ya nylon, "wabogojo"Mmmh
Noma nini tenaduh hapo noma
ukiugua unakimbiwa na watu wako wa karibuNoma nini tena
Na Lilian internet piaumemaliza mjadala mkuu,asante kwa kutukumbusha kuwa demu wake alikuwa marehemu Diana Aston Villa,R.I.P to her
Hahaha tafadhali mpunga usiniingilie kwenye sitarehe zangu!wacha viroba la sivyo utakuwa km nice mkenda
Nimeona jose chameleon ndio anahamasisha watu wachange kwenye page yake ya Instagram can u imagine wasanii wenzake wa bongo wako busy na hela za magamb aView attachment 287472
sikuwa najua kama Lilian internet amefariki!Na Lilian internet pia R.I.P
mzima acheni uchurosikuwa najua kama Lilian internet amefariki!
Na mimi ndio maana nimeshangaa na ku mquote huyo jamaa ili nijue ukweli, nashukuru kwa taarifa.mzima acheni uchuro
...usidandie umbea usioujua!Lilian internet at work!