NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
mmmmmmmmmmmm...Na watu wote tusujudu kwa kusema AMINA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmmmmmmmm...Na watu wote tusujudu kwa kusema AMINA.
alishapigwa shot zamani sana,chain yake siyo ya kitotoMmhhh..! Ajapigwa shot kweli huyoooo?
Hataree...!alishapigwa shot zamani sana,chain yake siyo ya kitoto
hatta nikisema kimyakimya haimsaidii wala nini ukweli upo palepale na sijamtukana ndo yaleyale akifa kigogo kafwa kwa presha na sukari akifa kapuku aliugua muda mrefu ssijui tb sijui nini unamdanganya nani haswaUsitukane wakunga
alisema amekula chakula chenye sumu ila hataki kuongea sana kwakua watu wataona anatafuta kick,alisema ilikuwa shinyanga nadhani ila akasema saivi anapiga hela kupitia miradi yake ya kuku,nilimwona akihojiwa TV ONE mkuu.Watanzania tunakuwaje lakini?
Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua mahitaji ya ugonjwa wake angalau kusaidia kimnya.
Wanasubilia yakitokea ya kutokea utasikia redio station zote wanapiga nyimbo zake huku wakimwaga sifa kedekede kwake na maneno tuliyazoea ati pengo lake halitozibikaa Mara ohoo alikuwa mtu wa watu nk.
Magazeti nayo page zote za mbele zitapambwa na habari zake. Nasema kama mmekaa kimnya kipindi hiki mkae kimnya milele nisisikie. Mtauliza Mimi ni nani hill haliwahusu. Ila sio vema kuendelea na huu unafiki kwa mtualiyetoa vibao mmurua kama kuku kapanda baiskel bata kavaaa laizoni.
Nasema nanyi pia mliomtumia kipindi cha campaign 2005 Leo hii mmetupa hamna habari naye kabisaa. Wengine ni wasanii mko kimnya nasikia na nimeota wengine mmepewa mlungura wa million 50 hata kutoa kidogo kwa mwenzenu mko kimnyaa kabisaa.
Nimeona picha yake akiwa hospital hali yake si nzuri kwa maadili siwezi weka hapa ila anahitaji maombi yetu na kujitoa kwetu kusaidia sio yatokee ya kutoakea ndio tuanze unafiki Mara Ohoo alikuwa rafiki yangu pengo lake halitozibika, halitozibika bibi yako?
Shenzy
Jamaa alivuma sana enzi hizo kama ambavyo Diamond anavyovuma sasa, na marafiki walikuwa wengi. Wanamuziki na waigizaji wajifunze kuwekeza kwa ajili ya baadae.
Kila zama na kitabu chake. Kuna mdau mmoja aliwahi kuandika hapa kwamba account ya jamaa haikuwa na pesa chini ya mil 200, sasa kama ni kweli zilienda wapi?Jamaa alikuwa anapiga moto kama hakuna kesho. Usiku mmoja tulikuwa Jolly Club tunasikiliza muziki akaingia wale malaya wa pale wakaanza kumsifia fagilia wawaa wawaa. Yule mjomba alikuwa anawapiga kinywaji machangudoa wote. Walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona.
Inakera mno kwakweli... Umeongea kweli Ndio maana ndugu wa Chemundugwao RIP siku ya msiba wake ndugu zake waliwatimua hawa wanafikiWatanzania tunakuwaje lakini?
Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua mahitaji ya ugonjwa wake angalau kusaidia kimnya.
Wanasubilia yakitokea ya kutokea utasikia redio station zote wanapiga nyimbo zake huku wakimwaga sifa kedekede kwake na maneno tuliyazoea ati pengo lake halitozibikaa Mara ohoo alikuwa mtu wa watu nk.
Magazeti nayo page zote za mbele zitapambwa na habari zake. Nasema kama mmekaa kimnya kipindi hiki mkae kimnya milele nisisikie. Mtauliza Mimi ni nani hill haliwahusu. Ila sio vema kuendelea na huu unafiki kwa mtualiyetoa vibao mmurua kama kuku kapanda baiskel bata kavaaa laizoni.
Nasema nanyi pia mliomtumia kipindi cha campaign 2005 Leo hii mmetupa hamna habari naye kabisaa. Wengine ni wasanii mko kimnya nasikia na nimeota wengine mmepewa mlungura wa million 50 hata kutoa kidogo kwa mwenzenu mko kimnyaa kabisaa.
Nimeona picha yake akiwa hospital hali yake si nzuri kwa maadili siwezi weka hapa ila anahitaji maombi yetu na kujitoa kwetu kusaidia sio yatokee ya kutoakea ndio tuanze unafiki Mara Ohoo alikuwa rafiki yangu pengo lake halitozibika, halitozibika bibi yako?
Shenzy
NomaMsaada wa bure
View attachment 326290
Daah chid Benz ilikuwa kila collabo anao pewa inakuwa hitDah mimi jamaa mwingine anayeniumiza kwa kupotea kwenye industry ya muziki kwajili ya vileo ni Chidbenz, kilichobaki nikuwaombea aisehh
Watanzania tunakuwaje lakini?
Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua mahitaji ya ugonjwa wake angalau kusaidia kimnya.
Wanasubilia yakitokea ya kutokea utasikia redio station zote wanapiga nyimbo zake huku wakimwaga sifa kedekede kwake na maneno tuliyazoea ati pengo lake halitozibikaa Mara ohoo alikuwa mtu wa watu nk.
Magazeti nayo page zote za mbele zitapambwa na habari zake. Nasema kama mmekaa kimnya kipindi hiki mkae kimnya milele nisisikie. Mtauliza Mimi ni nani hill haliwahusu. Ila sio vema kuendelea na huu unafiki kwa mtualiyetoa vibao mmurua kama kuku kapanda baiskel bata kavaaa laizoni.
Nasema nanyi pia mliomtumia kipindi cha campaign 2005 Leo hii mmetupa hamna habari naye kabisaa. Wengine ni wasanii mko kimnya nasikia na nimeota wengine mmepewa mlungura wa million 50 hata kutoa kidogo kwa mwenzenu mko kimnyaa kabisaa.
Nimeona picha yake akiwa hospital hali yake si nzuri kwa maadili siwezi weka hapa ila anahitaji maombi yetu na kujitoa kwetu kusaidia sio yatokee ya kutoakea ndio tuanze unafiki Mara Ohoo alikuwa rafiki yangu pengo lake halitozibika, halitozibika bibi yako?
Shenzy
Na TID umemwona?Dah mimi jamaa mwingine anayeniumiza kwa kupotea kwenye industry ya muziki kwajili ya vileo ni Chidbenz, kilichobaki nikuwaombea aisehh
Tupia picha basi mkuuNa TID umemwona?
Yupi yule Mwenyekiti wa wasanii bwn. Msoga au Lemutuz?Yule msanii mkubwa from Lumumba angeanza kumsaidia
lilian internet nae alisha rip?Na Lilian internet pia
Mbona hata marehemu ngwair,walimtumia katika kampeni zao 2005,lakini alipofariki hawakuonesha msisito eti kisa kifo chake kimesababishwa na madawa ya kuevya,wakati wao ndo wanajua vizuri mzunguko wake.Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
Muungwana ugonjwa hauombwi ni kweli kabisa lakini una weza ukajitakia kuwa nao kama unavyo agiza msosi ulio chagua kwenye menu ila kumhurumia binadamu mwenzio ndio kilimwengu bwana mdogo alitumia wakati wake vibaya hilo halina uficho yaliyo baki ni kumtakia heri tu.Inakera mno kwakweli... Umeongea kweli Ndio maana ndugu wa Chemundugwao RIP siku ya msiba wake ndugu zake waliwatimua hawa wanafiki
Na kwa wale wanaomkejeli huyu ndugu hapa jamvini KUMBUKENI hili HUJAFA HUJAUMBIKA! Mr Nice asikejeliwe anaumwa na hakuomba huu ugonjwa... It can happen to anyone anytime anywhere