Kama aliitwa kufanya biashara na akalipwa mbona mnalawa za kimaskini nyie?unajua mkataba wao au unataka umaruufu kunuka tu?Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliitwa kufanya biashara na akalipwa mbona mnalawa za kimaskini nyie?unajua mkataba wao au unataka umaruufu kunuka tu?Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
Na watu wote tusujudu kwa kusema AMINA.kwa mwenye akili atajifunza mengi sana kupitia watu kama hawa.....
Hahaha....aisee we jamaa.Shavu dodo
Umetumia Neno "KAMA "Kuonyesha Hauna Uhakika Na Unachokitetea, Coz Ungekuwa Na Huo Uhakika Ungesema Kuwa Alikuwa Analipwa Kwa Show Zote Alizokuwa Akifanya!!! Alafu Hata Kama Mtu Umelipa Kwa Kazi Yako Na Umefanikiwa!! Leo Amepata Shida Au Matatizo, Kumsaidia Ni Dhambi!!!?? Sasa Povu Na Lugha Chafu Ktk Masuala Ya Kibinadamu Haya!!!!Kama aliitwa kufanya biashara na akalipwa mbona mnalawa za kimaskini nyie?unajua mkataba wao au unataka umaruufu kunuka tu?
Kama hali ya mtu imedhoofu hekima ya kibinaadam ni kumtakia afya njema, ila mfanyavyo wengine ni hekima za mnyama.
Nadhani hata sie tunapokuwa kwenye wakati kama huo tungehitaji faraja na sio kebehi.
RTD walikuwa na kipindi cha Wagonjwa, na wimbo wa kufungua na kufunga kipindi ulikuwa na maneno "ajuae Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole"
......HAKUNA LISILOWEZEKANA CHINI YA JUA....
Na gitaa la solo limekoleaRhumba kali sio mchezo
nashangaaa jini kabula alijua huyu jamaa kazaa na diana Aston Vila ila na yeye akaenda kuishi na nice.. na huyo jini ana msururu wa bongo muv wenzie[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji36]mzunguko wa mastaa wa Bongo ni hatare...
sa sijui the Bongo movies na the Bongo flavour akianguka mmoja itakuwa vepe...
maana watoto hawana woga kabisa hawa
Mkuu yaani watu hawana woga kabisa. Ila nawapongeza kwa ujasiri wao huo maana inahitaji kujitoa ufahamu.mzunguko wa mastaa wa Bongo ni hatare...
sa sijui the Bongo movies na the Bongo flavour akianguka mmoja itakuwa vepe...
maana watoto hawana woga kabisa hawa
Lipo hadi sasa hivi au kashalipiga bei?Nakumbuka jamaa kati ya 2002-2003 alienda Dubai kuwekewa jino la dhahab 15M tzs
Tatizo gani mkuu?Dears mbona tatizo lake linafahamika and u know it!
Na mkeo je?! Unamjua anaembanjua?nashangaaa jini kabula alijua huyu jamaa kazaa na diana Aston Vila ila na yeye akaenda kuishi na nice.. na huyo jini ana msururu wa bongo muv wenzie[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
mke gani ilhali mie ni mwanamke wacha mihemko weweNa mkeo je?! Unamjua anaembanjua?
Usitukane wakungamke gani ilhali mie ni mwanamke wacha mihemko wewe