Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
Kama aliitwa kufanya biashara na akalipwa mbona mnalawa za kimaskini nyie?unajua mkataba wao au unataka umaruufu kunuka tu?
 
Hata huyo aliyekaa naye jirani atakuwa mchaga wa Rombo au kishumundu...inaelekea ndio anamletea Mr Nice mbege kwasasa.
 
DUUHH!! Mzee Wa Kuku Kapanda Baiskeli!!! Pole Saana Mdau!! Shida Ni Kila Au Maradhi Ya Kila Kiumbe!!!
 
Kama aliitwa kufanya biashara na akalipwa mbona mnalawa za kimaskini nyie?unajua mkataba wao au unataka umaruufu kunuka tu?
Umetumia Neno "KAMA "Kuonyesha Hauna Uhakika Na Unachokitetea, Coz Ungekuwa Na Huo Uhakika Ungesema Kuwa Alikuwa Analipwa Kwa Show Zote Alizokuwa Akifanya!!! Alafu Hata Kama Mtu Umelipa Kwa Kazi Yako Na Umefanikiwa!! Leo Amepata Shida Au Matatizo, Kumsaidia Ni Dhambi!!!?? Sasa Povu Na Lugha Chafu Ktk Masuala Ya Kibinadamu Haya!!!!
 
Kama hali ya mtu imedhoofu hekima ya kibinaadam ni kumtakia afya njema, ila mfanyavyo wengine ni hekima za mnyama.

Nadhani hata sie tunapokuwa kwenye wakati kama huo tungehitaji faraja na sio kebehi.

RTD walikuwa na kipindi cha Wagonjwa, na wimbo wa kufungua na kufunga kipindi ulikuwa na maneno "ajuae Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole"

......HAKUNA LISILOWEZEKANA CHINI YA JUA....


Fyatu lkn una busara na hekima,
🙂
 
ugonjwa ni siri ya mgonjwa na tabibu kama hajataka kuwekwa hadharani tusimlishe maneno
 
Duhhhh pole yake kwa kweli.

Kweli binadamu ni mavumbi tu.
Kama Kuna sehemu wana changa ajili yake
Naombeni link na mi nijitolee.

Asanteni.

Na wenye matusi acheni ujinga wenu nyie mnadhani Matatizo ni kwa mtu mmoja tu. ?
Acheni utoto maisha ni mzunguko . Mnaudhi mno.
 
mzunguko wa mastaa wa Bongo ni hatare...
sa sijui the Bongo movies na the Bongo flavour akianguka mmoja itakuwa vepe...
maana watoto hawana woga kabisa hawa
nashangaaa jini kabula alijua huyu jamaa kazaa na diana Aston Vila ila na yeye akaenda kuishi na nice.. na huyo jini ana msururu wa bongo muv wenzie[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Katika watu wenye akili ndogo nchi hii ni hao wanaowaita wasanii,aliugua Banza hapo hata kumpelekea ndizi ilikuwa issue,Dully alilalamika kuhusu wasanii kutompa ushirikiano kwenye huo msiba,ila wadau wakamjibu kuwa ww una hudhuliaga misiba ya wenzio?
 
mzunguko wa mastaa wa Bongo ni hatare...
sa sijui the Bongo movies na the Bongo flavour akianguka mmoja itakuwa vepe...
maana watoto hawana woga kabisa hawa
Mkuu yaani watu hawana woga kabisa. Ila nawapongeza kwa ujasiri wao huo maana inahitaji kujitoa ufahamu.
 
nashangaaa jini kabula alijua huyu jamaa kazaa na diana Aston Vila ila na yeye akaenda kuishi na nice.. na huyo jini ana msururu wa bongo muv wenzie[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Na mkeo je?! Unamjua anaembanjua?
 
Jamaa alivuma sana enzi hizo kama ambavyo Diamond anavyovuma sasa, na marafiki walikuwa wengi. Wanamuziki na waigizaji wajifunze kuwekeza kwa ajili ya baadae.
 
Back
Top Bottom