Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Ninapokuwa mimi na pesa,tuna kula kunywa na kusaaaza
Mungu wangu nijalie adui awe rafiki yanguuu
Maisha safari ndefu yataka mkono wa mtu mkunjufuu,kupata na kukosa alieumba ni muumbaaaa
Usinikasirikieeeh eeheeh,wewe ni rafiki yangu eeh eeh,kama nimekukosea nisameheeeh[emoji344] [emoji344] [emoji330] [emoji445] [emoji443] [emoji447] [emoji448] [emoji449] [emoji450] [emoji133]
Nimeikumbuka sana hii nyimbo yake alipata kuyaimba haya.
 
Maskinii kweli laana ya dudubaya bado inamtembea sio kwa kibano kile dah!!
 
Kama hali ya mtu imedhoofu hekima ya kibinaadam ni kumtakia afya njema, ila mfanyavyo wengine ni hekima za mnyama.

Nadhani hata sie tunapokuwa kwenye wakati kama huo tungehitaji faraja na sio kebehi.

RTD walikuwa na kipindi cha Wagonjwa, na wimbo wa kufungua na kufunga kipindi ulikuwa na maneno "ajuae Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole"

......HAKUNA LISILOWEZEKANA CHINI YA JUA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…