Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Usitukane wakunga
hatta nikisema kimyakimya haimsaidii wala nini ukweli upo palepale na sijamtukana ndo yaleyale akifa kigogo kafwa kwa presha na sukari akifa kapuku aliugua muda mrefu ssijui tb sijui nini unamdanganya nani haswa



tubadilikeni loh
 
alisema amekula chakula chenye sumu ila hataki kuongea sana kwakua watu wataona anatafuta kick,alisema ilikuwa shinyanga nadhani ila akasema saivi anapiga hela kupitia miradi yake ya kuku,nilimwona akihojiwa TV ONE mkuu.
 
nakumbuka Enzi hizo anaitwa mr milionea na makahaba pale kwa macheni bar magomeni ..pole sana brother
 
Jamaa alivuma sana enzi hizo kama ambavyo Diamond anavyovuma sasa, na marafiki walikuwa wengi. Wanamuziki na waigizaji wajifunze kuwekeza kwa ajili ya baadae.


Jamaa alikuwa anapiga moto kama hakuna kesho. Usiku mmoja tulikuwa Jolly Club tunasikiliza muziki akaingia wale malaya wa pale wakaanza kumsifia fagilia wawaa wawaa. Yule mjomba alikuwa anawapiga kinywaji machangudoa wote. Walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona.
 
Kila zama na kitabu chake. Kuna mdau mmoja aliwahi kuandika hapa kwamba account ya jamaa haikuwa na pesa chini ya mil 200, sasa kama ni kweli zilienda wapi?
 
Inakera mno kwakweli... Umeongea kweli Ndio maana ndugu wa Chemundugwao RIP siku ya msiba wake ndugu zake waliwatimua hawa wanafiki
Na kwa wale wanaomkejeli huyu ndugu hapa jamvini KUMBUKENI hili HUJAFA HUJAUMBIKA! Mr Nice asikejeliwe anaumwa na hakuomba huu ugonjwa... It can happen to anyone anytime anywhere
 
Dah mimi jamaa mwingine anayeniumiza kwa kupotea kwenye industry ya muziki kwajili ya vileo ni Chidbenz, kilichobaki nikuwaombea aisehh
 
Dah mimi jamaa mwingine anayeniumiza kwa kupotea kwenye industry ya muziki kwajili ya vileo ni Chidbenz, kilichobaki nikuwaombea aisehh
Daah chid Benz ilikuwa kila collabo anao pewa inakuwa hit
 


Yule msanii mkubwa from Lumumba angeanza kumsaidia
 
Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
Mbona hata marehemu ngwair,walimtumia katika kampeni zao 2005,lakini alipofariki hawakuonesha msisito eti kisa kifo chake kimesababishwa na madawa ya kuevya,wakati wao ndo wanajua vizuri mzunguko wake.
 
Muungwana ugonjwa hauombwi ni kweli kabisa lakini una weza ukajitakia kuwa nao kama unavyo agiza msosi ulio chagua kwenye menu ila kumhurumia binadamu mwenzio ndio kilimwengu bwana mdogo alitumia wakati wake vibaya hilo halina uficho yaliyo baki ni kumtakia heri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…