saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo.
Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Mashirika.
Tutumie jukwaa hili kuwataja viongozi ambao tunaamini hawamsaidii Rais na wanamleta shida kubwa kwa wananchi.
1. Ashatu Kijaji (Waziri wa Viwanda na Uwekezaji) kusimamia mfumko wa bei na bidhaa bandia kuingia sokoni na kuleta madhara makubwa kwa wananchi.
2. Angelina Mabula (Waziri wa Ardhi) ameshindwa kusimamia mpango wa matumizi bora ya ardhi wakulima na wafugaji wanauana kila leo.
3. Jenista Mhagama (Waziri wa Utumishi) ameshindwa kusimamia agizo la Rais la kuwalipa Bilioni 47 watumishi walifutwa kazi kwa kuwa na vyeti Feki
wengine tuendeleee.....