Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

You are very wrong about this lady!, hebu msikilize hapa

You are very wrong about this lady, hebu msikilize

P

Mkuu, Ile kampuni yetu ipo? Nilikuwa napenda sana vipindi vyake, na uwasilishaji wako.

Niliumia sana pale Mzee wetu alipoiga laana ya njaa iingiapo na itokapo. Ama kweli adui hatoki mbali, yaani poti anampa maisha mtu baki anaacha wa kunyumba?
 
Mawaziri wa Mkoa wa kagera hamna kitu, anzia Bashungwa, Byabato, no vile tu tunahitaji kura za Mkoa huo, hasa Bukoba mjini. Vinginevyo, hamna kitu
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo.

Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Mashirika.

Tutumie jukwaa hili kuwataja viongozi ambao tunaamini hawamsaidii Rais na wanamleta shida kubwa kwa wananchi.

1. Ashatu Kijaji (Waziri wa Viwanda na Uwekezaji) kusimamia mfumko wa bei na bidhaa bandia kuingia sokoni na kuleta madhara makubwa kwa wananchi.

2. Angelina Mabula (Waziri wa Ardhi) ameshindwa kusimamia mpango wa matumizi bora ya ardhi wakulima na wafugaji wanauana kila leo.

3. Jenista Mhagama (Waziri wa Utumishi) ameshindwa kusimamia agizo la Rais la kuwalipa Bilioni 47 watumishi walifutwa kazi kwa kuwa na vyeti Feki

wengine tuendeleee.....
Yeye mwenyewe hafai, kiatu cha u Rais kimempwaya.
 
Mwigulu kashindwa kusimamia matumizi ya ovyo ya fedha wazirani kwake mpaka tunamuona waziri mkuu anashughulia wizi huo wa mamilioni wanayolipana kwa hili tunamuomba rais aifumue wizara yote na aiweke chini ya waziri mkuu kwa sababu huyu jamaa yuko makini kweli kufatilia matumizi ya ovyo ya fedha zetu.
Huyu huyu ndiye mwenye kujenga uwanja wa mpira pale Singida ataka kushindana na Azam ajieleze wapi Katoa pesa hiyo akiwa mwajiriwa wa Serikali na Wala sio mfanyiBiashara!!
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo.

Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Mashirika.

Tutumie jukwaa hili kuwataja viongozi ambao tunaamini hawamsaidii Rais na wanamleta shida kubwa kwa wananchi.

1. Ashatu Kijaji (Waziri wa Viwanda na Uwekezaji) kusimamia mfumko wa bei na bidhaa bandia kuingia sokoni na kuleta madhara makubwa kwa wananchi.

2. Angelina Mabula (Waziri wa Ardhi) ameshindwa kusimamia mpango wa matumizi bora ya ardhi wakulima na wafugaji wanauana kila leo.

3. Jenista Mhagama (Waziri wa Utumishi) ameshindwa kusimamia agizo la Rais la kuwalipa Bilioni 47 watumishi walifutwa kazi kwa kuwa na vyeti Feki

wengine tuendeleee.....
Wasiofaa kwako/kwetu wanafaa kwake
 
Huyu huyu ndiye mwenye kujenga uwanja wa mpira pale Singida ataka kushindana na Azam ajieleze wapi Katoa pesa hiyo akiwa mwajiriwa wa Serikali na Wala sio mfanyiBiashara!!
Ule uwanja wa Namfua (LITI) unajengwa na Mwekezaji wa kigeni kupitia CSR.
 
Chanzo cha yote ni mfumo mbaya wa mifumo ya utawala, kuanzia yeye Rais na wasaidizi wake wanavyopatikana.

Kama yeye Rais anapenda katiba ipatikane haraka na kama ule usanii wa kuunda vikamati, haikuwa matakwa yake, basi AMFUKUZE HARAKA WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA. Kama kuchelewesha kupata katiba mpya ni matakwa yake, basi yeye na Serikali yake hawana uhalali wa kuendelea kuwaongoza Waranzania.
 
M. Mchengerwa arudi Wizara ya Utumishi anafaa sana pale kwa kuzifahamu na kuzitekeleza sheria za utumishi wa umma.

Waziri na taaluma kuwe na relationship, tuache siasa kwenye kazi.
Is there relation btn professional and being minister. My small search I have concluded that there no significance difference, because a minister is political figure those with professional are working under him. His or her major role is to supervise the team. Ktk utumishi wangu nimeona hata makatibu wakuu wakiwa na taaluma ya wizara Hali inakuwa mbaya sana anaona anajua yote hivyo hashauriki. Take that note
 
Siku zote wakulaumiwa ni viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia waliochini yao. Mfano ubadhilifu uliokuwa unatangazwa na PM Kwa siku za hivi karibuni ilitakiwa wasimamizi wawewalikwisha fanya KAZI hiyo badala ya kumsubiri PM ambaye hawezi kuzunguka nchi mzima na kupitia kila taasisi zenye uozo.
Mfano mdogo Raia wa kigeni kuishi Nchini na kununua Ardhi kinyume cha sheria ni Jambo la hovyo na hatari kuanzia Ngazi ya shina na kuendelea.
 
Is there relation btn professional and being minister. My small search I have concluded that there no significance difference, because a minister is political figure those with professional are working under him. His or her major role is to supervise the team. Ktk utumishi wangu nimeona hata makatibu wakuu wakiwa na taaluma ya wizara Hali inakuwa mbaya sana anaona anajua yote hivyo hashauriki. Take that note
There is, more especially kwa Tanzania yetu.

Nchi zilizoendelea ni sawa Waziri kuwa political figure, jamii ya hawa wenzetu ni civilized, wanaheshimu sheria, wanaepuka uvivu na wizi pia.

Waziri ambae hana a, b, c za kile anachosimamia ni rahisi sana "kupigwa" na hao walio chini yake wanaojiita professionals.

Sasa, ukikutana na Mh. Mchengerwa kama waziri katika Utumishi wa umma utamwambia nini kuhusu sheria? Utamwambia nini kwamba hujawalipa wale walioitwa watumishi hewa mpaka sasa? Utaishia kumuona mbishi lakini kumbe anafahamu sana anachokiongoza.
 
Naunga mkono hoja ya Emmanuel Misalaba kwa 100%
1. J. Makamba.
2. Madilu system.
3. Ridh Moko.
4. Nape
Hawa wote Mama fyeka kabisa, hawatakusaidia kwa lolote.
Hao wapo kwa kazi maalum hata wakivurunda, ulimuona babake january alivyokuwa akifura kwa waandishi wa habari??
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo.

Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Mashirika.

Tutumie jukwaa hili kuwataja viongozi ambao tunaamini hawamsaidii Rais na wanamleta shida kubwa kwa wananchi.

1. Ashatu Kijaji (Waziri wa Viwanda na Uwekezaji) kusimamia mfumko wa bei na bidhaa bandia kuingia sokoni na kuleta madhara makubwa kwa wananchi.

2. Angelina Mabula (Waziri wa Ardhi) ameshindwa kusimamia mpango wa matumizi bora ya ardhi wakulima na wafugaji wanauana kila leo.

3. Jenista Mhagama (Waziri wa Utumishi) ameshindwa kusimamia agizo la Rais la kuwalipa Bilioni 47 watumishi walifutwa kazi kwa kuwa na vyeti Feki

wengine tuendeleee.....
Sisi tunaweza kuona hawafai yeye akaona wanamfaa. Hilo ni lake mwenyewe!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja ya Emmanuel Misalaba kwa 100%
1. J. Makamba.
2. Madilu system.
3. Ridh Moko.
4. Nape
Hawa wote Mama fyeka kabisa, hawatakusaidia kwa lolote.
Hao WOTE hawakupewa wizara ili wasaidie.

Wamepewa Kama FADHILA ya ULAJI kwahiyo huwezi kuwadai UFANISI wa KAZI.
 
Back
Top Bottom