Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Hao wengine ni watoto wa kuzaa mwenyeweOndoa,
1. January Makamba
2. Nape Moses Nauye.
3. Mwingulu Nchemba.
5. Amos Makala.
6. Dorothy Gwajima.
7. Riz moko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wengine ni watoto wa kuzaa mwenyeweOndoa,
1. January Makamba
2. Nape Moses Nauye.
3. Mwingulu Nchemba.
5. Amos Makala.
6. Dorothy Gwajima.
7. Riz moko.
Aanze na hiyo top 3 kwanza.Ondoa,
1. January Makamba
2. Nape Moses Nauye.
3. Mwingulu Nchemba.
5. Amos Makala.
6. Dorothy Gwajima.
7. Riz moko.
Hivi ni kweli? Kuna jamaa yangu yuko ccm makao makuu anakwambia huyu mama ni mchawi hana wa kumfananisha Tanzania hiiNamba 3 huwa hateuliwi kwa sababu ya utendaji , ana kazi maalum , hasa kutokana na uwezo wa mizizi ya ukanda anaotoka
Lisemwalo lipoHivi ni kweli? Kuna jamaa yangu yuko ccm makao makuu anakwambia huyu mama ni mchawi hana wa kumfananisha Tanzania hii
👆Kibu Denis
John Boko
Mzamiru
hawa wote wanampaka Bimkubwa mafuta kwa mgongo wa chupa, wanakwamisha mipango ya ujenzi wa miundombinu, wanamdharau Bimkubwa sababu ni Rais mwanamke kutoka visiwani kusiko na elimu, wanamng'ong'a sana, ni wanafki , ni wazandiki wanamuona hatoshi wanautaka urais wake , wanatamani hata leo ajiuzulu wakalie kiti, wanaanzisha mambo ya kumgombanisha bimkubwa na wapiga kura wake, wanakata umeme makusudi ili kuudhi raia wamchukie Bimkubwa na kuiba pesa za matengenezo ambazo zinawekwa benki za kampeni ya urais, wanazunguka mikoani na mitungi na kuelezea tozo kumbe lengo ni kujijenga kisiasa, hawa ndo ile kikulacho kinguoni mwako mvunja nchi mwananchi, hawa ni nyoka wanaofugwa ikulu@@@Naunga mkono hoja ya Emmanuel Misalaba kwa 100%
1. J. Makamba.
2. Madilu system.
3. Ridh Moko.
4. Nape
Hawa wote Mama fyeka kabisa, hawatakusaidia kwa lolote.
Eti Madilu System [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naunga mkono hoja ya Emmanuel Misalaba kwa 100%
1. J. Makamba.
2. Madilu system.
3. Ridh Moko.
4. Nape
Hawa wote Mama fyeka kabisa, hawatakusaidia kwa lolote.
Mkuu Pascal kwani sisi tunahitaji Mawaziri waongeaji maneno matupu?You are very wrong about this lady!, hebu msikilize hapa
P
Utashangaa kama wengine ila ndio hivyoAondoe wote, tunataka majina mapya kabisa, hivi kwani nchi hii imeishiwa watu?
Januari Makamba kosa lake ni issue ya umeme, anawaweka kwenye wakati mgumu sana wafanyabishara wa kawaida hasa watu wenye kuendesha maisha kwa kutegemea saloon za kike na kiume, watu wa welding, watu wa juice mbalimbali, watu wenye kufyatua tofali, wazalishaji wa barafu nk nk.Hawa makosa yao ni yepi ili tuyajue wote
Hawa makosa yao ni yepi ili tuyajue wote
Hao wengine ni watoto wa kuzaa mwenyewe
Kwa jinsi sirikali ilivyoshindwa kutatua changamoto za wananchi,
Nashauri akae pembeni Ili aje mwingine kuisuka Serikali mpya.
Mwaka mpya na mambo mapya.
Ni ushauri tu lakini!!!
Hawana makosa ila wafutwe tu, tuone sura mpya. Kwani wao akina Nani wawepo awamu tatuHawa makosa yao ni yepi ili tuyajue wote