angeniuliza siku ya leo ningemjibu hivi: Tunavyosherehekea kuzaliwa Yesu hatusherehekei kama sherehe inamaana tuanze kufanya mema kama tulikuwa tunaiba tuwazinzi tuwalevi tuwaongo tuwanafki hatuheshimiani n.k basi tubadilike tutende wema zaidi, mambo yetu yabadilike yawe kwa uzuri zaidi. Undugulization ktk nafasi za teuzi na nafasi za kazi mbalimbali serikalini inatakiwa zikome kabisa...kama viongozi wengi ni wezi, waongo, wanafki n.k alafu wakitaka watoke madarakani wanawarithisha watoto wao maana yake tunalea dhambi katika taifa..dhambi hiyo haiwezi kuisha, uizi hauwezi kuisha, uongo hautaisha, uzinzi n.k havitakwisha kwa maana wanarithishana yaani damu ni ile ile..damu ya uizi uongo ni ile ile....ANGEKUWA ANATEUA DAMU MPYA KABISA KATIKA TEUZI ZAKE..ZISIWE NA UNDUGU IWE KAMA LIMEZALIWA TAIFA JIPYA KABISA..BWANA YESU AANZE NALO..kwenye watanzania milioni 60 huwezi kukosa watu elfu 10 wa kukusaidia kufanya kazi kwa uadilifu uaminifu na ukamilifu. Kwasasa serikali yetu haijazaliwa upya kama tunavyosherehekea hivi leo...walioko serikalini wengi wamekalili maandiko tu ya kusema "tunawatakieni heri na sikukuu njema watanzania wote" ila moyoni kwao kumejaa UBINAFSI, UONGO, UNAFKI, UIZI, UZINZI, KUTOHESHIMU, UBAGUZI, ULEVI N.K
Heri ya siku ya leo na Mungu awatengeneze ninyi na vizazi vyenu muwe wenye kufaa kila mahali na kila mulitendalo ameen!