Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

Amtoe Jenista Mhagama haraka sana ni mdudi fulani asiefaa ni hovyo sana, Simbachawene aondoke akavimbiwe na Mtoto wake
 
msukaji tu hafai
basi vile hatuna uwezo wa kumwondoa

ondoa mwigulu, simbachawene, mhagama, na yule mama mweupe muhaya waliosema kaazaa na mwenda zake
Kama tumejuana vile kwa Jenista na Simbachawene
 
Mimi naona anajikwamisha mwenyewe
 
Huwa najiuliza sana, sisi watanzania ni wapi ambapo angalau tumefanikiwa hata kwa 70% tuuu
Je ni afya? elimu?, kupambana na ufisadi na rushwa? umeme? maji? ni wapi haswa sijawahi kupata majibu
 
Huwa najiuliza sana, sisi watanzania ni wapi ambapo angalau tumefanikiwa hata kwa 70% tuuu
Je ni afya? elimu?, kupambana na ufisadi na rushwa? umeme? maji? ni wapi haswa sijawahi kupata majibu
ujinga tuko 90%
 
Mh.. labda yeye mwenyewe mdo aafanyiwe mabadiliko
 
Baraza lake la mawaziri wote ni chenga tu. Bora kuwa na watu wapya ambao atawamudu kuliko kubeba magunia ya chawa ambayo hawezi kuyawajibisha
 
Mchengerwa angerudi Utumishi, yaani Mh. Rais fanya kila hali Mh. Mchengerwa awasaidie watumishi wa umma, Jenista hapana hapana hapana kabisa
 
Reactions: Ame
Baraza lake la mawaziri wote ni chenga tu. Bora kuwa na watu wapya ambao atawamudu kuliko kubeba magunia ya chawa ambayo hawezi kuyawajibisha
Ukute hayo magunia ya chawa ndio yamemsaidia kufika hapo[emoji848]
 
M. Mchengerwa arudi Wizara ya Utumishi anafaa sana pale kwa kuzifahamu na kuzitekeleza sheria za utumishi wa umma.

Waziri na taaluma kuwe na relationship, tuache siasa kwenye kazi.
Hata mimi namwomba Mungu sana huyu jamaa arudi utumishi. Kwanza anahaiba ya utumishi wa umma, yupo humble na hata kama hatatulipa angalau analugha nzuri ya kueleweka na watumishi
 
Kama jamaa wa Lushoto asipoondolewa pamoja na fundi wa kukopa Madilu mabadiliko hayo hayatakua na maana.
 
Mlishapata kuonywa kuwa kushinikiza ni kuharibu zaidi; yule msiyemtaka ndiye anayeteuliwa! Raia gani alipenyeza Afande Kingai apate uteuzi? Kelele zilizoigwa alipoteuliwa zilifika wapi?waache wafu wazike wafu wafu wao!
 
Yeye rais mwenyewe anafaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…