Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

1.Nchi haiongozwi kwa huruma na hisani bali inaongozwa kwa mujibu wa Sheria/katiba na taratibu zilizopo.
Rais wetu ameaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Nchi.

2.Kesi ya Mbowe itakuwa mfano mzuri wa kuheshimu utawala wa sheria endapo tu itahitimishwa na kutolewa maamuzi na Mahakama na sio vinginevyo.

3.kwa wakati huu msamiati wa "Msamaha" au "Nolle" ni mtego hatari ambao unaweza kuchafua utaratibu wa upatikanaji wa Haki ktk vyombo vyetu.

4.itajengeka tabia na dhana potofu kuwa; inapotokea mwana siasa kavunja sheria za nchi basi asamehewe eti kwa kuwa ni kiongozi!, anawafuasi!!, mataifa mengine yatatuelewaje!! n.k n.k. tukisukumwa na mambo hayo basi hatuna haja ya kuwa na Sheria wala vyombo vinavyo simamia Sheria,
watakuwa wamesigina utawala wa Sheria.
Lazima ifike mahala viongozi wetu wote wajiamini kwa kile wanacho kitenda.
 
Umemsikia Salumu Mwalimu? Kasema anamaliza kufanya ziara yake nchi nzima hamna hata polisi aliyemuuliza.
na unajua hata mikutano ya ndani wenzie wanakamatwa?

-na ulinzi mmempa
- gari mmetoa plate namb za stj mmeweka t000dxy


why only him as individual?
 
Watanzania wengi walikuwa wanakitazama CHADEMA kama chama mbadala kinachoweza kupambana na CCM lakini CDM kushirikiana na wanaharakati kupandikiza CHUKI na kugawa watanzania kimepoteza ushawishi. Wananchi wanataka mabadiliko sio visasi na Chuki.
Visasi chuki viko CCM ,huoni ubaguzi na uonevu uliopo?
Mikutano ya nje na ndani wanafanya CCM, ila wakitaka kufanya CDM hawaruhusiwi na wanapigwa virungu na police,
Kwa nini msiachane na huo ushetani?
 
Watanzania wengi walikuwa wanakitazama CHADEMA kama chama mbadala kinachoweza kupambana na CCM lakini CDM kushirikiana na wanaharakati kupandikiza CHUKI na kugawa watanzania kimepoteza ushawishi. Wananchi wanataka mabadiliko sio visasi na Chuki.
Endelea kuomba hivyo hivyo maaana kikiwaka nyie ndiyo wa kwanza kuhama.
 
Ila wewe jamaa kwa kweli unazeeka vibaya.
Nakumbuka miaka ya 2013/2014 nilikuwa nasoma mabandiko yako. Aisee ulikuwa JINIAZ
Ila sasa hivi nadiriki kusema umekuwa SHETANI
Anaongozwa na njaa na ikichangiwa na kutupwa na umri.
 
Wewe unaishi dunia gani, hujui kuwa mikutano ya vyama vya siasa imepigwa marufuku na ni CCM tu ndiyo wanaruhusiwa kufanya mikutano.

Kama hutaki mikutano ya Space na Club House, uliwakaribisha sebuleni kwako na walikataa?
Mkuu nakuona huna kazi kwa kujibizana na huyo dogo
 
Unasshida sehemu katibiwe
 
Ogopa kiongozi ambaye nafsi au utu wake wa ndani umekufa, umeoza. Watu wa aina hii kufurahia mateso ya wengine, furaha yao ni kuona watu wakiteseka hata bila hatia. Huyo ndiye rais tuliyenaye mwenye matatizo ya kisaikolojia
 
Mayalla kama msamaha wako hauutoi bila kuombwa bora ukae nao.
Mafundisho yalinifundisha nitoe msamaha bila kuombwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…