Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kuficha maovu, harakaharaka wakavishana nishani!Hakika lkn tuliambiwa gaidi kapigwa risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuficha maovu, harakaharaka wakavishana nishani!Hakika lkn tuliambiwa gaidi kapigwa risasi
Makala zako hazina maana yoyote.View attachment 2050551
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas.
Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali.
"Watanzania tumshukuru sana Mungu kumpata kiongozi Mkuu mwenye moyo wa kusamehe, na roho ya samaha!. Jee tumuombe asamehe tuu hata bila ya kuombwa msamaha, au au tumwache shujaa wetu aendelee kukomaa nao kwa kusota gerezani hadi kieleweke?
Kuna wahusika wakuu watatu katika issue hii.
My Take.
- Kuna Serikali imesema ina ushahidi wa uhusika wa mtuhumiwa fulani kupanga kutenda jinai ya ugaidi, ikaamua kutumia sheria kufuata mkondo wake, kuuthibitisha huo ugaidi, na ndicho kitu kinachoendelea mahakamani.
- Wakati kesi ikiendelea, kukajitokeza 'Askofu Makarios' wetu (Zitto Kabwe), akaomba nafuu za kisheria zitumike kumwachia mwenzao ili kuendelea na harakati za kisiasa na kidemokrasia kwa mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu. Jibu lililopatikana ni "Kusamehe Kupo". Hili ni neno kubwa sana lenye maana kubwa, na thamani kubwa sana, na kitu kikubwa zaidi kuhusu neno hilo sio kutamkwa kwa matamshi ya neno hilo, bali ni moyo wa kusamehe alionao mtamkaji. Hili ni jambo la kushukuru sana, na kiukweli Watanzania, tumshukuru sana Mungu, kumpata mtu mwenye moyo wa kusamehe.
- Kuna Mtuhumiwa ni mtu mkubwa sana na mwenye heshima sana katika jamii, ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, alikamatwa baada ya kuanza harakati za kudai Katiba mpya, hivyo wanachama wake, wafuasi wake, washabiki wake, wanaamini kabisa kuwa kiongozi wao sio gaidi, hiyo ya kesi ya kubambikiwa hivyo wanamchagiza asikubali suluhu yoyote au msamaha wa aina yoyote, kesi iendelee kusikilizwa hadi mwisho, ili mahakama ndio ithibitishe kuwa kiongozi wao ni gaidi au sii gaidi.
- Sote tunafahamu sisi binadamu ni viumbe dhaifu, hakuna mkamilifu, na kuna wakati, umdhanie ndie siye, na usiye mdhania kabisa, ukakuta ndie. Jee tumuombe tuu Mama asamehe tuu, hata kama mtuhumiwa hajaitambua jinai yake, na kuomba kusamehewa?. Kwa mujibu wa katiba yetu, sheria zetu, taratibu na kanuni, nchi yetu inaendeshwa kwa mihimili mitatu ya serikali, Bunge na Mahakama ambayo haipaswi kuingiliwa. Hivyo hapo kesi ilipofikia, hata kama Mama ana moyo wa kusamehe na yuko tayari kusamehe, akisamehe tuu kama ule msamaha wa Mwalimu Nyerere kumsamehe yule mshenzi aliyesema serikali yote ya Tanzania iko mfukoni kwangu, baada ya kuombwa na Askofu Makarios wa Cyprus, Mama atakuwa ameingilia uhuru wa mahakama.
- Mtu pekee mwenye nguvu hizo, uwezo huo na mamlaka hiyo kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu, taratibu na kanuni ni DPP, ila nae anatakiwa kufanya kazi independently bila kuingiliwa na yeyote, ila Mama akiamua, DPP atafanya kinachopaswa kufanyika!.
- Mwalimu Nyerere alikuwa ni mtu mwenye moyo wa msamaha, ila alikuwa ni mtu mkali sana kwenye mambo ya kijinga jinga. Katika utawala wake wa miaka 22, alisweka watu wengi tuu kizuizini, ila katika utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa, Mwalimu Nyerere alisaini death warrant mbili tuu, ile ya Mwamwindi, na yule mhindi aliyeua mke na kuteketeza familia ili alipwe bima!.
- Kwenye hili la moyo wa kusamehe, naomba nisilizungumze kipindi cha Mwinyi, wale waliojiriwa kwa kazi kunyonga mpaka kufa, hawakukaa bure, angalau angalau walitimiza wajibu wao.
- Kipindi cha Mkapa kiukweli sijui.
- Kipindi cha JK, pia alikuwa ni mtu mwenye huruma na moyo mkubwa sana wa kusamehe, aliyasamehe hadi yale majizi ya EPA!.
- Naomba nisiizungumzie awamu ya JPM for obvious reasons, yaliyopita sii ndwele, tugange haya yaliyopo ya Mama mwenye roho ya kusamehe na yajayo ya kujenga Tanzania njema ya kuameheana.
Wanabodi, mnalionaje hili?. DPP afute kesi kwa Nolle, Mbowe aachiwe bila masharti yoyote, Asamehewa tuu bila kuomba msamaha, aachiwe kwa dhamana kesi iendelee, au aendelee kukomaa kama Mandela, no retreat no surrender, akamae nao mpaka kieleweke?
- Kunamsemo wa kizungu, usemao, "you can't eat your cake and have it", you either eat your cake na iishe, its gone, au usiile, uingalie tuu iendelee kuwepo, ila hapa natoa ushauri, unaweza kuila keki yako na ikaendelea kuwepo kwa kuimega kidogo kido na sio kuibugia. Maadam sheria ni zetu na tumezitunga wenyewe, ili kuziridhisha pande zote.
- Japo kwa baadhi ya makosa hayana dhamana, ili mtuhumiwa asitutoroke, tuambiane ukweli, hivi Mbowe anaweza kweli kutoroka nchi na kukimbilia uhamishoni aende kuwa mkimbizi wa kisiasa kama wale waoga wawili?. Kama kwenye kesi za mauaji hakuna dhamana, lakini kesi ya Ditopile aliyekuwa anatetewa na wakili Nimrodi Mkono, Wakili Mkono, alijenga hoja maridhawa, Ditopile akaachiwa kwa dhamana hadi pale Mungu alipoamua kumalizana nae. Hivyo Mbowe anaweza kuachiwa kwa dhamana hata bila dhamana hiyo kuombwa, akawa anakuja kuhudhuria kesi akitokea nyumbani kwake.
- Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…View attachment 2050632
- Kwa kufanya hivi, tutakuwa tumejibu ombi la 'Askofu Makarios' wetu na wale wote wenye nia njema na mapenzi mema kwa Mbowe kuwa jela ni mbaya, hivyo atakuwa huru uraiani kuungana na familia yake, ndugu jamaa na marafiki, na hata kusafiri kwenda kuhiji Moshi kwenye ile hija maarufu ya Wachagga ya Mwezi Desemba, na hata akiamua kusafiri kidogo hadi Arusha, kupitia Kisongo, kumsalimu yule 'jamaa yetu'.
- Huku kesi ikiendelea ili ama mahakama ithibitishe huyu ni malaika alikuwa anasingiziwa tuu, na akikutwa na hatia, hapo ndipo sheria ichukue mkondo wake kwa kula mvua kadhaa, na hapa sasa ndipo mahali Mama Samia mwenye uwezo napo kwa kutoa msamaha kwa wafungwa.
Nawatakia Krismasi Njema.
Paskali.
CWPedro ziara ni sehemu ndogo sana ya uwanja wa vyama vya siasa kufanya kazi zake.Umemsikia Salumu Mwalimu? Kasema anamaliza kufanya ziara yake nchi nzima hamna hata polisi aliyemuuliza.
Mbona makala nzuri, na ameiandika kwa mtindo maridhawa? Huwa mnasoma lkn?Pascali anazeeka vibaya sana tena hana aibu
Mbumbumbu ni waliokuzaa kwa bahati mbayaMbona makala nzuri, na ameiandika kwa mtindo maridhawa? Huwa mnasoma lkn?
Mbumbumbu
Wewe ni zwazwa, popoma, pimbi, mbumbumbu, pungu1 waheedMbumbumbu ni waliokuzaa kwa bahati mbaya
Haya nenda kanawe miguu ulale maana ushatimiza ulichotimwa.Wewe ni zwazwa, popoma, pimbi, mbumbumbu, pungu1 waheed
Mmawia kutoka Ntwala, haya nawe kale panya sasa.Haya nenda kanawe miguu ulale maana ushatimiza ulichotimwa.
StupidMmawia kutoka Ntwala, haya nawe kale panya sasa.
Kuna wimbo wa Ambassadors of Christ wanasema "Dunia umebadilika, aliyekosewa hubadilishwa mwenye makosa". Aliyekosewa kwa kuharibiwa mashamba yake, kuvunjiwa Billicanas yake, kuvunjwa mguu, kufungiwa accounts zake, kudhulumiwa uchaguzi wa ubunge, kubambikwa kesi kubwa....halafu huyo ndo aombe radhi! ALIYEKOSEWA HUBADILISHWA MWENYE MAKOSA(Ambassadors of Christ).View attachment 2050551
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas.
Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali.
"Watanzania tumshukuru sana Mungu kumpata kiongozi Mkuu mwenye moyo wa kusamehe, na roho ya samaha!. Jee tumuombe asamehe tuu hata bila ya kuombwa msamaha, au au tumwache shujaa wetu aendelee kukomaa nao kwa kusota gerezani hadi kieleweke?
Kuna wahusika wakuu watatu katika issue hii.
My Take.
- Kuna Serikali imesema ina ushahidi wa uhusika wa mtuhumiwa fulani kupanga kutenda jinai ya ugaidi, ikaamua kutumia sheria kufuata mkondo wake, kuuthibitisha huo ugaidi, na ndicho kitu kinachoendelea mahakamani.
- Wakati kesi ikiendelea, kukajitokeza 'Askofu Makarios' wetu (Zitto Kabwe), akaomba nafuu za kisheria zitumike kumwachia mwenzao ili kuendelea na harakati za kisiasa na kidemokrasia kwa mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu. Jibu lililopatikana ni "Kusamehe Kupo". Hili ni neno kubwa sana lenye maana kubwa, na thamani kubwa sana, na kitu kikubwa zaidi kuhusu neno hilo sio kutamkwa kwa matamshi ya neno hilo, bali ni moyo wa kusamehe alionao mtamkaji. Hili ni jambo la kushukuru sana, na kiukweli Watanzania, tumshukuru sana Mungu, kumpata mtu mwenye moyo wa kusamehe.
- Kuna Mtuhumiwa ni mtu mkubwa sana na mwenye heshima sana katika jamii, ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, alikamatwa baada ya kuanza harakati za kudai Katiba mpya, hivyo wanachama wake, wafuasi wake, washabiki wake, wanaamini kabisa kuwa kiongozi wao sio gaidi, hiyo ya kesi ya kubambikiwa hivyo wanamchagiza asikubali suluhu yoyote au msamaha wa aina yoyote, kesi iendelee kusikilizwa hadi mwisho, ili mahakama ndio ithibitishe kuwa kiongozi wao ni gaidi au sii gaidi.
- Sote tunafahamu sisi binadamu ni viumbe dhaifu, hakuna mkamilifu, na kuna wakati, umdhanie ndie siye, na usiye mdhania kabisa, ukakuta ndie. Jee tumuombe tuu Mama asamehe tuu, hata kama mtuhumiwa hajaitambua jinai yake, na kuomba kusamehewa?. Kwa mujibu wa katiba yetu, sheria zetu, taratibu na kanuni, nchi yetu inaendeshwa kwa mihimili mitatu ya serikali, Bunge na Mahakama ambayo haipaswi kuingiliwa. Hivyo hapo kesi ilipofikia, hata kama Mama ana moyo wa kusamehe na yuko tayari kusamehe, akisamehe tuu kama ule msamaha wa Mwalimu Nyerere kumsamehe yule mshenzi aliyesema serikali yote ya Tanzania iko mfukoni kwangu, baada ya kuombwa na Askofu Makarios wa Cyprus, Mama atakuwa ameingilia uhuru wa mahakama.
- Mtu pekee mwenye nguvu hizo, uwezo huo na mamlaka hiyo kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu, taratibu na kanuni ni DPP, ila nae anatakiwa kufanya kazi independently bila kuingiliwa na yeyote, ila Mama akiamua, DPP atafanya kinachopaswa kufanyika!.
- Mwalimu Nyerere alikuwa ni mtu mwenye moyo wa msamaha, ila alikuwa ni mtu mkali sana kwenye mambo ya kijinga jinga. Katika utawala wake wa miaka 22, alisweka watu wengi tuu kizuizini, ila katika utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa, Mwalimu Nyerere alisaini death warrant mbili tuu, ile ya Mwamwindi, na yule mhindi aliyeua mke na kuteketeza familia ili alipwe bima!.
- Kwenye hili la moyo wa kusamehe, naomba nisilizungumze kipindi cha Mwinyi, wale waliojiriwa kwa kazi kunyonga mpaka kufa, hawakukaa bure, angalau angalau walitimiza wajibu wao.
- Kipindi cha Mkapa kiukweli sijui.
- Kipindi cha JK, pia alikuwa ni mtu mwenye huruma na moyo mkubwa sana wa kusamehe, aliyasamehe hadi yale majizi ya EPA!.
- Naomba nisiizungumzie awamu ya JPM for obvious reasons, yaliyopita sii ndwele, tugange haya yaliyopo ya Mama mwenye roho ya kusamehe na yajayo ya kujenga Tanzania njema ya kuameheana.
Wanabodi, mnalionaje hili?. DPP afute kesi kwa Nolle, Mbowe aachiwe bila masharti yoyote, Asamehewa tuu bila kuomba msamaha, aachiwe kwa dhamana kesi iendelee, au aendelee kukomaa kama Mandela, no retreat no surrender, akamae nao mpaka kieleweke?
- Kunamsemo wa kizungu, usemao, "you can't eat your cake and have it", you either eat your cake na iishe, its gone, au usiile, uingalie tuu iendelee kuwepo, ila hapa natoa ushauri, unaweza kuila keki yako na ikaendelea kuwepo kwa kuimega kidogo kido na sio kuibugia. Maadam sheria ni zetu na tumezitunga wenyewe, ili kuziridhisha pande zote.
- Japo kwa baadhi ya makosa hayana dhamana, ili mtuhumiwa asitutoroke, tuambiane ukweli, hivi Mbowe anaweza kweli kutoroka nchi na kukimbilia uhamishoni aende kuwa mkimbizi wa kisiasa kama wale waoga wawili?. Kama kwenye kesi za mauaji hakuna dhamana, lakini kesi ya Ditopile aliyekuwa anatetewa na wakili Nimrodi Mkono, Wakili Mkono, alijenga hoja maridhawa, Ditopile akaachiwa kwa dhamana hadi pale Mungu alipoamua kumalizana nae. Hivyo Mbowe anaweza kuachiwa kwa dhamana hata bila dhamana hiyo kuombwa, akawa anakuja kuhudhuria kesi akitokea nyumbani kwake.
- Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…View attachment 2050632
- Kwa kufanya hivi, tutakuwa tumejibu ombi la 'Askofu Makarios' wetu na wale wote wenye nia njema na mapenzi mema kwa Mbowe kuwa jela ni mbaya, hivyo atakuwa huru uraiani kuungana na familia yake, ndugu jamaa na marafiki, na hata kusafiri kwenda kuhiji Moshi kwenye ile hija maarufu ya Wachagga ya Mwezi Desemba, na hata akiamua kusafiri kidogo hadi Arusha, kupitia Kisongo, kumsalimu yule 'jamaa yetu'.
- Huku kesi ikiendelea ili ama mahakama ithibitishe huyu ni malaika alikuwa anasingiziwa tuu, na akikutwa na hatia, hapo ndipo sheria ichukue mkondo wake kwa kula mvua kadhaa, na hapa sasa ndipo mahali Mama Samia mwenye uwezo napo kwa kutoa msamaha kwa wafungwa.
Nawatakia Krismasi Njema.
Paskali.
Ukizuia mikutano ya hadhara, mbinu zingine zinaibuliwa. Hata hiyo Space nayo ikazimiwa internet, ikaibuliwa VPN. Kuhangaika kwa serikali kutazidi kuibua mbinu hadi ukombozi kamili.CHADEMA Original kipindi cha kina Dr. Slaa wakiwa mwiba kwa serikali kwa kuibua ubadhirifu wa mali za umma, wizi, ufisadi kila Mtanzania aliona ni chama cha UKOMBOZI.
Tunasikitika CDM sasa inaendeshwa SPACE na CLUB HOUSE na wanaharakati kila kukicha porojo TU. Huwa nashangaa huko SPACE Lema, ndiyo msemaji mkuu hamna cha maana.
"Mbogamboga wanaruka na kupoteana"
Alisikika jamaa mmoja anaitwa Pep
Kwa mara ya kwanza umekiri kwa kinywa chako kama CHADEMA ni chama kinachotazamwa na watanzania wengi kama chama mbadala, HONGERA KWA KUJITAMBUA.Watanzania wengi walikuwa wanakitazama CHADEMA kama chama mbadala kinachoweza kupambana na CCM lakini CDM kushirikiana na wanaharakati kupandikiza CHUKI na kugawa watanzania kimepoteza ushawishi. Wananchi wanataka mabadiliko sio visasi na Chuki.
Aombwe msamaha na kijani kibichi wamlipe fidia.Freeman Mbowe aombwe msamaha
1. Mbowe, mashamba yake yaliwahi kuteketezwa kwa uonevu.
2. Mbowe, club yake ya Bilcanas iliwahi kunyang'anywa kwa uonevu.
3. Mbowe amewahi kuwekwa mahabusu mara nyingi kwa uonevu.
4. Mbowe amewahi kuhukumiwa kulipa mamilioni ya pesa kwa uonevu.
5. Mbowe amewahi kubambikiziwa kesi zisizo na vichwa mala miguu kwa nia tu ya kumkomoa.
6. Mbowe akaunti zake za benki ziliwahi kufungiwa kwa uonevu.
7. Mbowe, hoteli yake ya familia imewahi kubambikiziwa kodi zinazozidi mapato maradufu.
Haya maoni yaliyojaa busara nyingi yametolewa na one of the most respected JF-Expert Members, Bams
Kwani vile vyeo bado vipo au vilienda nae?View attachment 2050551
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas.
Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali.
"Watanzania tumshukuru sana Mungu kumpata kiongozi Mkuu mwenye moyo wa kusamehe, na roho ya samaha!. Jee tumuombe asamehe tuu hata bila ya kuombwa msamaha, au au tumwache shujaa wetu aendelee kukomaa nao kwa kusota gerezani hadi kieleweke?
Kuna wahusika wakuu watatu katika issue hii.
My Take.
- Kuna Serikali imesema ina ushahidi wa uhusika wa mtuhumiwa fulani kupanga kutenda jinai ya ugaidi, ikaamua kutumia sheria kufuata mkondo wake, kuuthibitisha huo ugaidi, na ndicho kitu kinachoendelea mahakamani.
- Wakati kesi ikiendelea, kukajitokeza 'Askofu Makarios' wetu (Zitto Kabwe), akaomba nafuu za kisheria zitumike kumwachia mwenzao ili kuendelea na harakati za kisiasa na kidemokrasia kwa mustakabali mwema wa siasa za nchi yetu. Jibu lililopatikana ni "Kusamehe Kupo". Hili ni neno kubwa sana lenye maana kubwa, na thamani kubwa sana, na kitu kikubwa zaidi kuhusu neno hilo sio kutamkwa kwa matamshi ya neno hilo, bali ni moyo wa kusamehe alionao mtamkaji. Hili ni jambo la kushukuru sana, na kiukweli Watanzania, tumshukuru sana Mungu, kumpata mtu mwenye moyo wa kusamehe.
- Kuna Mtuhumiwa ni mtu mkubwa sana na mwenye heshima sana katika jamii, ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, alikamatwa baada ya kuanza harakati za kudai Katiba mpya, hivyo wanachama wake, wafuasi wake, washabiki wake, wanaamini kabisa kuwa kiongozi wao sio gaidi, hiyo ya kesi ya kubambikiwa hivyo wanamchagiza asikubali suluhu yoyote au msamaha wa aina yoyote, kesi iendelee kusikilizwa hadi mwisho, ili mahakama ndio ithibitishe kuwa kiongozi wao ni gaidi au sii gaidi.
- Sote tunafahamu sisi binadamu ni viumbe dhaifu, hakuna mkamilifu, na kuna wakati, umdhanie ndie siye, na usiye mdhania kabisa, ukakuta ndie. Jee tumuombe tuu Mama asamehe tuu, hata kama mtuhumiwa hajaitambua jinai yake, na kuomba kusamehewa?. Kwa mujibu wa katiba yetu, sheria zetu, taratibu na kanuni, nchi yetu inaendeshwa kwa mihimili mitatu ya serikali, Bunge na Mahakama ambayo haipaswi kuingiliwa. Hivyo hapo kesi ilipofikia, hata kama Mama ana moyo wa kusamehe na yuko tayari kusamehe, akisamehe tuu kama ule msamaha wa Mwalimu Nyerere kumsamehe yule mshenzi aliyesema serikali yote ya Tanzania iko mfukoni kwangu, baada ya kuombwa na Askofu Makarios wa Cyprus, Mama atakuwa ameingilia uhuru wa mahakama.
- Mtu pekee mwenye nguvu hizo, uwezo huo na mamlaka hiyo kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu, taratibu na kanuni ni DPP, ila nae anatakiwa kufanya kazi independently bila kuingiliwa na yeyote, ila Mama akiamua, DPP atafanya kinachopaswa kufanyika!.
- Mwalimu Nyerere alikuwa ni mtu mwenye moyo wa msamaha, ila alikuwa ni mtu mkali sana kwenye mambo ya kijinga jinga. Katika utawala wake wa miaka 22, alisweka watu wengi tuu kizuizini, ila katika utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa, Mwalimu Nyerere alisaini death warrant mbili tuu, ile ya Mwamwindi, na yule mhindi aliyeua mke na kuteketeza familia ili alipwe bima!.
- Kwenye hili la moyo wa kusamehe, naomba nisilizungumze kipindi cha Mwinyi, wale waliojiriwa kwa kazi kunyonga mpaka kufa, hawakukaa bure, angalau angalau walitimiza wajibu wao.
- Kipindi cha Mkapa kiukweli sijui.
- Kipindi cha JK, pia alikuwa ni mtu mwenye huruma na moyo mkubwa sana wa kusamehe, aliyasamehe hadi yale majizi ya EPA!.
- Naomba nisiizungumzie awamu ya JPM for obvious reasons, yaliyopita sii ndwele, tugange haya yaliyopo ya Mama mwenye roho ya kusamehe na yajayo ya kujenga Tanzania njema ya kuameheana.
Wanabodi, mnalionaje hili?. DPP afute kesi kwa Nolle, Mbowe aachiwe bila masharti yoyote, Asamehewa tuu bila kuomba msamaha, aachiwe kwa dhamana kesi iendelee, au aendelee kukomaa kama Mandela, no retreat no surrender, akamae nao mpaka kieleweke?
- Kunamsemo wa kizungu, usemao, "you can't eat your cake and have it", you either eat your cake na iishe, its gone, au usiile, uingalie tuu iendelee kuwepo, ila hapa natoa ushauri, unaweza kuila keki yako na ikaendelea kuwepo kwa kuimega kidogo kido na sio kuibugia. Maadam sheria ni zetu na tumezitunga wenyewe, ili kuziridhisha pande zote.
- Japo kwa baadhi ya makosa hayana dhamana, ili mtuhumiwa asitutoroke, tuambiane ukweli, hivi Mbowe anaweza kweli kutoroka nchi na kukimbilia uhamishoni aende kuwa mkimbizi wa kisiasa kama wale waoga wawili?. Kama kwenye kesi za mauaji hakuna dhamana, lakini kesi ya Ditopile aliyekuwa anatetewa na wakili Nimrodi Mkono, Wakili Mkono, alijenga hoja maridhawa, Ditopile akaachiwa kwa dhamana hadi pale Mungu alipoamua kumalizana nae. Hivyo Mbowe anaweza kuachiwa kwa dhamana hata bila dhamana hiyo kuombwa, akawa anakuja kuhudhuria kesi akitokea nyumbani kwake.
- Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…View attachment 2050632
- Kwa kufanya hivi, tutakuwa tumejibu ombi la 'Askofu Makarios' wetu na wale wote wenye nia njema na mapenzi mema kwa Mbowe kuwa jela ni mbaya, hivyo atakuwa huru uraiani kuungana na familia yake, ndugu jamaa na marafiki, na hata kusafiri kwenda kuhiji Moshi kwenye ile hija maarufu ya Wachagga ya Mwezi Desemba, na hata akiamua kusafiri kidogo hadi Arusha, kupitia Kisongo, kumsalimu yule 'jamaa yetu'.
- Huku kesi ikiendelea ili ama mahakama ithibitishe huyu ni malaika alikuwa anasingiziwa tuu, na akikutwa na hatia, hapo ndipo sheria ichukue mkondo wake kwa kula mvua kadhaa, na hapa sasa ndipo mahali Mama Samia mwenye uwezo napo kwa kutoa msamaha kwa wafungwa.
Nawatakia Krismasi Njema.
Paskali.
Ukifuatilia mwenendo wa kesi ya Mbowe,namna ushahidi unavyotolewa,namna utetezi wanavyowasilisha hoja zao,na namna upande wa mashitaka wanavyotumia nguvu nyingi kuhalalisha hoja zao,lazima upate mashaka juu ya hili jambo la Mbowe.Wanaohusika watakuwa wamepata somo namna bora ya kushughulika na mambo kama haya yanayovuta hisia za watu wengi.Siasa ni Imani na siku zote kucheza na imani za watu, ni Sawa na kuiingiza nchi katika majaribu yasiyo ya lazima kabisa.View attachment 2050551