Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

Chadema hawataki mwenyekiti wao asamehewe(kuachiwa) . Huenda hata wao wamechoka kua na mwenyekiti wa milele labda wanaona ni muda wa kufanya mabadiliko kwa kipindi hiki akiwa lupango.

Mm naona tufuate matakwa yao, huyo mtu sheria ifuate mkondo wake.
 
Tukiweka ushabiki pembeni,hii kesi inazungumzwa Sana huko mitaani.Inazungumzwa na wanachadema,wanaccm na wasio na chama chochote.Vyovyote itakavyoisha,itaacha majeraha ya kisiasa nchini.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwangu Mimi maridhiano ya kisiasa ni mhimu Sana katika kujenga umoja wa kitaifa .Lakini kwa upande wangu Mama Samia siku hizi anaonekana Ukuu umemkaa kisawasawa kiasi kwamba kaanza kuwa na kibri Cha madaraka Siwezi mlaumu maana ni hulka ya sisi binadamu tulivo.
Ushauri wangu kwa madhira ambayo serikali wamemfanyia Mbowe awamu ya Tano na hii ya sita ni makubwa na ni ya kinyama hayavumili zaidi ya hapo wanatafuta tu laana .Huwezi kimtendea unyama wote huo mtu mzalendo kama Mbowe ukabaki bila laana
Wenye mamlaka wakubali maridhiano iloli Taifa liende mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna mtu mnafiki km ww p
 


Mbowe hatatolewa kwasababu ya msamaha wowote. Mbowe atatolewa kwasababu ameshikwa kimakosa bila Polisi kujua nguvu yake, mahakama iko tahabani, kesi yake inaonekana na michongo. Lakini kikubwa ni kusema kesi ya ugaidi! Hapa ndiyo wamechemsha sana. Kama nilivyosema walimshika ili kukwamisha maongezi ya Raisi Samia na Lissu na vyombo hivi vya ulinzi vimetumiwa na mafisadi wa vyama na waziri mkuu ni mihusika mkubwa wa siri. Hata Sabaya alikuwa anatumwa na waziri mkuu lakini machoni mwa watu anajifanya mpole lakini ni katili sana.
 
Usinilishe maneno soma vizuri, unajua maana ya neno kilikukuwa? Siyo huu upuuzi wenu wa wanaharakati.
 
Kwamba pascal wewe.. .unasimama upalnde gani ??? Unahamini kwamba katiba imekeukwa, au keshi yenye ni ya mchongo kwa na itaisha kimchongo .. .
 
Ivi kwanza tunaelewa maana ya "GAIDI"
Mtu mwenye tuhuma za ugaidi anaambiwa eti asamehewe????.

Sio kweli, kunakitukisicho eleweka hapa.

Alafu sijasikia mahala popote mama aliposema anamsamehe.

Tuiache mahakama ifanye kaziyake,huu mchezo wa kuombaomba msamaha kwa baadhi ya watuhumiwa ni double standard.
Tuache kesi iendelee ilitujue mbichi na mbivu.
Tuwe makini sana.
 
Kiongozi, umeandika vizuri. Kwa upande wangu na kwa vile na mimi ni mdau wa sheria, naungana na wale wanaotaka 'haki ionekane kitendeka'. Kama Mbowe ni gaidi, ionekane hivyo na hapo akitaka aombe msamaha na je wengine ambao wamefungwa ambao nao wanaomba msamaha au wangetaka kuomba msamaha utakuwaje? Kwa upande mwingine, kama Mbowe siyo gaidi napo ushahidi uonekane hivyo. Hapa ndipo tutakapokuwa tukutenda haki. Hivyo basi, kesi iendelee hadi mwisho na hukumu iwe ya haki.
 
Sasa anataka unyumba,maana teuzi ilishabuma toka enzi za mwendazake.
Ila nilitetesika kuwa jamaa ni alcoholism

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwel ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Watanzania wengi walikuwa wanakitazama CHADEMA kama chama mbadala kinachoweza kupambana na CCM lakini CDM kushirikiana na wanaharakati kupandikiza CHUKI na kugawa watanzania kimepoteza ushawishi. Wananchi wanataka mabadiliko sio visasi na Chuki.
 
CCM wao wanataka kuombwa msamaha tu Ila wenyewe kuomba msamaha hapana wakati wao ndiyo chanzo kikuu cha chokochoko zote za kisiasa zilizoko nchini.
Yaani upigwe wewe afu urudi kumpigia magoti aliyekuchapa kisa tu ana madaraka !! hata wakoloni wa Kijerumani na Kiingeleza enzi hizo hawakuwa hivi, hii ni zaidi ya utumwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…