Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

Mnatumia nguvu nyingi lakini hakuna ushahidi wowote wa hizo tuhuma
 
Wewe hofu au shida yako ni nini "maliyemu" akisimangwa? Huwezi jua. Labda wakimsimanga wanapata afua ya maisha na kuongeza siku za kuishi. Kwani marehemu amelalamika? Kwa nini umsemee?
taaratibu mtaelewa
 
Asiposemwa ndio tutakuwa tumemaliza hayo matatizo?
 
Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.
Na w ewe pia unachangia kumsema kama ulivyoandika hapa. Kwa hivyo usiwaseme wenzako
 
ustushawishi ujinga! Wacha tumseme huyo mtu wenu ili isitokee kichaa mwingine kupenya had ikulu yetu
 
Umejiunga Mach 27 kazi maalumu unahangaika mzee magufuli alishafariki kubaliana na matokeo mzee.ni Bora kupoteza hirizi lakini sio kufiwa na mganga aisee
 
Uchunguzi muhimu hata ikipita miaka mia ya uongozi isiwe sisi tunachagua aliye bora wao wanatuhujumu kwa kutuletea wa sub.
 
Kwa namna alivyoumiza watu hatuwezi kuacha kumkumbuka kwa unyama ule.
 
Ni wajinga tu, na tumeuchoka huo ujinga wao.
Tuna matatizo mengi sana katika nchi hii, haiwezekani watu mpande majukwaani kumuongelea mtu ambaye hawezi kusema wa kujibu. Ni upumbavu.
wapumbavu ni wale mnaomtetea tena tutamfukua tuchome mifupa yake yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…