Mkuu unazungumza maneno mazito yenye maana sana.Kaka Quinine sisi hatuimbi Viwanda, bali tunajenga viwanda, lengo letu na Kenya ni tofauti sana, Sisi mbiu yetu kuwa vyerahani vinne ni viwanda tofauti na wenzetu wanaowaza big factory
Kupata uwekezaji mkubwa kama huo ni lazima Lobbying ya nguvu ifanyike, na hao Big company kama Peugeot, Iveco, Ashok Leyland nk kuwapata mabosi wake ni level ya Marais, sio Mwijege akanegotiate na Iveco, JK alijishusha kwa Dangote na matokeo tukayaona,
Kama raisi hataki kutoka nje kuongea na hao Big companies unategemea Big project kutoka wapi?
😀😀😀😀 hahahahahaaaaaaaaaaaa "FDI" imeleta mambo yote haya...jibu masuali yangu kwanza halafu nitakuruhusu unipotezeWatu kamanyie ndotunatafuta kupoteza. Ngoja tujetukuonyeshe wewe pimbi
Nimekueleza hujui hata maana ya FDI. Kisha nikakueleza fanya utafiti. Kiwanda kilichojengwa siyo kimoja tu.Viwanda gani??kama unazunguzia Dangote,hicho kiwanda hakina sifa za "FDI",kiwanda cha saruji cha kichina ni "Proposal".,Bakharesa hayumo katika sifa za "FDI"
nimekuuliza nini maana ya FDI ni hasara na faida zake,umeshindwa kuja na jibu,badala yake umekuja na matusi na siasa,nimekwambia mimi sio mtumwa wa saisa,siasa yangu ni kutafuta pesa!!
Sasa unakuja na vitisho,hivyo vitisho mimi ndio havinitishi kabisa,tusubiriane 26/4..,kama umekuja hapa kwasababu ya propaganda za serikali,hizo propaganda hazinisadii chochote..
Toa mfano wa wa viwanda vya "FDI" vilivyopo Tanzania,alionzisha uzi ameweka mifano ya kampuni tano ambazo zinafanya au zitafanya kazi Kenya,wewe umekuja na mfano wa Dangote na Bakharesa😱
Rafiki mihemko yako ya kisiasa peleka kwenye jukwaa la siasa. .
Sisi tunajua siasa sana. Huwa ninawaangalia vijana kama wewe naishia kuwacheka tu. Yaani ni wafinyu wa mawazo kabisa. .
Ndani ya vichwa vyenu mmejaza mihemko na ujinga tu..
Siasa siyo kutukana watu, Siasa siyo kulialia ili upate huruma. Siasa process na vision..
Sitaki kukuambia uende ukasome bali ninakuacha tu ukae na ujinga wako. Tafuta kuijua Tanzania imepitia katika misukosuko ipi ya kiuchumi. Tafuta kujua Tanzania imewahi kuwekewa embargo mara ngapi kutoka na sera zake za kijamaa..
Nataka nikushauri tu kwamba kama hujui kitu usikurupuke, huku ukitumia mihemko ya kitoto iliyojaa chuki na dhuruma..
Tanzania ni kati ya nchi duniani zilizo na sera nzuri za matumizi ya ardhi..
Halafu nakushangaa sana unaongelea CCM ipo na miaka 56+ nani unamdanganya hivyo? CCM imeanzishwa mwaka 1977. Hii ni kudhihirisha namna ulivyo empty kichwani unarukia rukia tu mambo..
Halafu mwenzetu hujui kuwa Tanzania miaka ya 1978 iliingia vitani?.
Mwenzetu hujui miaka ya 80s nchi yetu iliwekewa vikwanzo vya kiuchumu na IMF? .
Nakuona mwenzetu huijui hata Tanzania halafu unajifanya kuwa eti wewe ni TZ!? Stupidy boy. Leta vitu vyenye facts..
Halafu sisi watanzania huwa hatutumii kingereza. Nakushangaa kijana unanieleza kwa kingereza, hii inamanisha kuwa huwezi kujieleza kwa kiswahili so wewe siyo Mtanzania.
Sina cha kukwambia hasa isipokuwa kukwambia Asante, Mungu aliyeumba mbingu na nchi azidi kukupa akili nzuri wewe na familia yako na uzao wako.View attachment 738151 View attachment 738150 View attachment 738149 View attachment 738148 View attachment 738147 Embu fanyeni kuswipe muone matusi ya wakenya. Huku kwetu tunapigiwa kelele za viwanda usiku na mchana alafu viwanda vinafunguliwa Kenya. Kenya na mavurugu yao yoooote ya uchaguzi Ila wawekezaji wanaona bora wakafungue maviwanda Kenya kuliko TZ tunapojifanya tuna amani. Kama amani ndio kila kitu Kenya na Tz Wapi kuna amani? Mbona wawekezaje wanachagua huko kusikokuwa na amani wanatuacha sisi mabingwa wa amani?? Tatizo ni moja tu Nani akawekeze kwenye nchi yenye rais kichaa aisie eleweka kesho ataamkaje na kuamua kukamata makontena yao bandarini na kuwadai matrilioni ya kodi?? Nani aje kuwekeza kwenye nchi ambayo hawachelewi kuitwa majizi?? Tatizo ni tuna Rais kichaa.
.
.
.
Nimewaza hivi siku kiwanda kimoja tu kikubwa kama hivi vinavyofunguliwa Kenya kingefunguliwa TZ, uwiiiiiiiiiiiii mama yangu nahisi nchi ingesimama mwezi mzima. Uwiiiiiii tungetangaziwaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka tukome.Mpaka watoto waliondani ya matumbo ya mama zao wangesikia matangazo ya Rais kuleta kiwanda cha Nissan Tanzania.... Siku ya ufunguzi ndo angechamba mpaka. Maana sasa hivi anaenda kuzindua UKUTA ila tunaonyeshwa live na mineno inamtoka utasema kalewa sasa imagine siku alete moja tu ya viwanda hivi vilivyoko Kenya si ataharisha??
Inawezekana hii list ikawa ni ya wawekezaji wa kigeni,lakini katika hii list hamna hata kiwanda kimoja chenye sifa ya "FDI",Mr pimbi,hivi kweli unajua nini maana ya "FDI"...Nimekueleza hujui hata maana ya FDI. Kisha nikakueleza fanya utafiti. Kiwanda kilichojengwa siyo kimoja tu.
Rejea #90
Umepewa list ya viwanda vitano:-
1. Kiwanda cha Goodwill cha ceramic cha vigae. Largest ceramia factory in East Africa.
2. Kiwanda cha TwyFord cha ceramic cha vigae Chalinze
3. Kiwila steel cha chuma and largest in East Africa.
4. Kiwanda cha kleesoft cha detergents Chalinze
5. Kiwanda cha Vegea. Viwanda ni vingi sana
Nikakupatia viwanda vilivyoko mkoa wa pwani:- Comment #99
1. Maweni Limestone Ltd-Kisemvule
2. Unifly Corporation Ltd-Dundani
3. Blanket&Textile Manufacturing Co.Ltd-Kiguza
4. Knauf Gypsum Ltd-Kisemvule
5. China Goldrich -Shungubweni
6. Mass Plastic Ltd - Mwanambaya
7. East Star Co.Ltd - Dundani
8. Goodwili Tanzania Ceramics Co.Ltd
9. Kilua Steel Co. Ltd
10. Kisarawe Cement Company
11. Prayosha Industries Company
12. Yuko’s Enterprises East Africa Limited.
Vyote hivyo ni foreign investors
Sasa tukikuita wewe ni mwehu tutakuwa tumekosea?
Kwanza kabisa, sina urafiki na mtu anayeshabikia CCM.
Pili, hili ni jukwaa la siasa, linaitwa "Kenyan News and Politics"
Na tatu, huna mamlaka ya kunipangia wapi nichangie humu JF.
Kwenye 1-on-1 conversation, mtu ambaye anaanza kutumia nafsi ya uwingi kwenye kujibu mtu mwingine, hiyo ni dalili ya kutojiamini 'inferiority complex'. Don't be scared old man. I'm just a nobody. So, next time, please be confident in what you say and write.
"Ufinyu wa mawazo" ni very relative and contextual. Of course, kwa mtu wa CCM, ambaye kama walivyo maCCM wengine, sifa yao kuu ni kuwa slow learners. Hivyo, sishangai wewe kuona nilichokisema ni ufinyu wa mawazo.
Again, this is typical CCMish. And you can write this again without crying, old man.
Great. Now go and teach that maniac president of yours. Naamini huu ujumbe unamfaa sana yeye. Maana kila siku ni kulialia tu, as if he ain't a president. Na kutukana watu: aliwaambia wazee wastaafu wanawashwawashwa, kuwaita mawaziri wake wapumbavu, na kuwaita baadhi ya vijana wa kitanzania vilaza.
Ati siasa ni process na vision!! Kwa hiyo post-Nyerere CCM, vision yake ni nini? Na huyu cuckoo wa sasa, vision yake ni nini?
Lipi ni lipi sasa? Maana unajikanyagakanyaga. Unasema hutaki kuniambia niende kusoma ili nibaki na ujinga wangu, halafu hapo hapo unasema nitafute kuijua Tanzania na historia yake. Yaani kama huwezi ku-make up your mind in two sentences, ndiyo wewe unayetaka ku-son watu humu?!?
Ati chuki na dhuluma (siyo dhuruma): nahisi low-key unamsema Magufuli na posse yake wakiongoza na madakomlome Bashite alias Makonda. Badala ya kupoteza nguvu zako kunishauri mimi, mshauri Magufuli juu ya kukurupuka kwake kulikolitia taifa hasara mara kadhaa sasa (refer: Furahisha petrol station, 'samaki wa Magufuli, na kesi ya Sterling na ununuaji wa pangaboiz).
Oh really? Do you know that less than 30% of the country (ukitoa maeneo ya hifadhi) is planned? Sasa utakuwaje na sera nzuri za matumizi ya ardhi ilhali ardhi karibu asilimia 70 haijapimwa. Ati sera nzuri, kungekuwa na sera nzuri za matumizi ya ardhi, kungekuwepo na kuchinjana kwa mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji? Maeneo ya hifadhi yangekuwa na migogoro na jamii zinazoishi kandokando?
Wewe ndiyo una-bluff kuijua Tanzania. What a joke!!
Kumbe! What a revelation! Kwa hiyo Mkapa alivyojigamba pale Jangwani na kuwaita watu wapumbavu, kwa kusema wanadai Uhuru, alikuwa anajiongelesha tu? Maana alitamba kwamba CCM imeshaleta Uhuru wa nchi hii toka mwaka 1961.
Kama CCM imeanza mwaka 1977, then why does it take credits for Independence, and what happened before 1977?
CCM ilikuwepo, kwa jina lingine TANU na ASP. Kama wewe unasema tofauti, basi CCM haiche kuchukua credits za Uhuru na masuala yaliyotokea kabla ya 1977.
So what? Is Tanzania the only country to ever fight a war? Utasemaje sasa kwa nchi kama Ujerumani, ambayo ilikuwa completely surfaced baada ya vita vya dunia? Ama South Korea iliyopigana na North Korea kwa miaka 3 (1950-53)? Lakini leo inatoa misaada ya maendeleo kwa Tanzania, ilhali wakati wa vita hiyo hadi 1970s, South Korea was poor as Tanzania!!
Unaweza weka hapa reference inayoonyesha kwamba Tanzania iliwekewa vikwazo vya kiuchumi na IMF in the 1980s? Hili sijawahi kulisikia. Ninachojua ni Tanzania kupewa conditions za access WB/IMF loans, ndipo SAPs zikaanza hiyo 1980s. Hivyo, itapendeza kama ukiweka reference hapa.
Mana economic sanctions na loan conditions are two different animals.
Sawa ewe old man unayeijua Tanzania. Unataka vitu vyenye facts, while you have none in your gibberish post.
How dumb is this? Kiingereza ni moja ya official languages za Tanzania. Nyaraka za serikali zinaandikwa kwa aidha Kiingereza ama Kiswahili. In fact, hukumu za Mahakamani uandikwa kwa Kiingereza.

Inawezekana hii list ikawa ni ya wawekezaji wa kigeni,lakini katika hii list hamna hata kiwanda kimoja chenye sifa ya "FDI",Mr pimbi,hivi kweli unajua nini maana ya "FDI"...
Matatizo yako uko zaidi katika propaganda kuliko kuona uhalisia wa jambo,hisia zako zinakupotezea muelekeo...
Heri iwe hivo lkn inaboost national income, Zimbabwe walichukua hizo land wameshindwa MBONA zimegeuka maporiThese companies have been in Kenya but have never uplifted poor kenyans.
Look at the many coffee and tea estates that occupy most fertile kenya land owned by Britain which repatriate profits leaving kenyans poor
Nimekueleza nenda kwanza kajifunze khusu Nchi ya Tanzania. Unaropoka ropoka tu kuhusu CCM? Unaijua CCM wewe?
Si ndio hao hao akina Maalim Seif Sharif Hamad walikuwa wanaihujumu wakafukuzwa na sasa wapo CUF?
Hao hao akina Lowassa walikuwa wakikihujumu chama sasa hivi ndiyo wamilk wa CHADEMA.
Halafu wewe mwenzetu unaongelea CCM ipi? CCM imeanzishwa mwaka 1977 kabla ya hapo kulikuwa na ASP na TANU.
Hivi wewe tangu mfumo wa vyama vya siasa vianze niambie hvyo vyama vya siasa vimefanya nini ndani?
Aaidi ya kuturudisha nyuma tu.
Tangu 1992 vijana wa BAVICHA mmefanya nini? Zaidi ya kuzalisha wapiga matusi kwenye mitandao kama wewe. Hamko na information mnachukua chukua tu vitu vichache?
Hapo ulipo huenda unatumiwa na adui wa nchi yetu kwa kujua au kutokujua.
Jipange dogo uje vizuri. Zaidi sana utaonekana hopeless kwa watu wenye akili.
Siasa ndugu tunazijua sana ndiyo maana nchi hii ipo na amani mpaka leo.
Zaidi mtaendelea kubweka bweka tu bila hata impact maana we know you more than the way you think.
Tunatofautiana nao mitazamo wao wanapambana na maendeleo sisi tunapambana na watu.MTU anawaza awalaxe watu ndani ili wasile pasaka nje ili nafsi yake ifurahi,watu wenye fikra za stone age primitive wasio na exposure wenye chuki na matajiri watatoa wapi idea za kujenga.Sisi tunataka kuua upinzani kwanza na kufungua viwanda vya cherehani hayo mengine baadaye sana
Still bado price itakuwa juu wenye uwezo wa kununua ni wachache maana hizo Assembly plant sio manufacturer plant.Sawa na kununua box za pikipiki na kuja kuzifunga bongo.Watuambie na taxi holiday incentIves walizotoa! All of them hawatalipa kodi kwa miaka kati yards 15 mpaka 30. Magufuli asiruhusu magari haya yauzwe Tanzania maana kuna makampuni yamekubali kuwekeza na yatalipa kodi.
Ndiyo, CCM naijua. Si ndicho chama pekee kilichotawala taifa hili toka Uhuru? Ndicho chama ambacho kimeshindwa hata kukamilisha jambo kwa mafanikio ya asilimia 100. Chama kinacholinda na kulea mafisadi na majizi. Chama ambacho kilimchagua fisadi na mtu aliyetia taifa hasara mara kadhaa, mtu huyo sasa yupo Ikulu.
Oh! Kwa hiyo kumbe tatizo la CCM lilikuwa uwepo wa Hamad na Lowassa tu? Hawa watu kwanini hawajafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu nchi? Si Magufuli alifungua Mahakama maalum ya ufisadi? Sasa Mahakama inakula vumbi tu, huku wapiga vigelegele wake mkibaki na singo iliyochuja ya mapambano ya ufisadi.
Wahujumu wa nchi hii kwanini wanatokea CCM tu? Ina maana CCM ni zalisho la wahujumu uchumi? Leo Magufuli anatuambia tuwaache wahujumu wastaafu wapumzike. Huku mhujumu mmoja akipewa uenyekiti wa Bunge! Wengine wakipewa promotions.
Nimeuliza, kama ndivyo unavyoamini, sasa why does CCM take credits for Uhuru and everything tha happened before 1977?
Pengine, hufahamu majukumu ya vyama vya siasa, haswa vya upinzani. Hivyo, kama huelewi, of course utakuwa na matarajio ambayo yapo unfounded.
Mtatiro juzi kasema, CCM mnaelewa polepole mno. Wapinzani walikuwa mstari wa mbele kupinga namna ubinafsishaji ulivyofanyika. Wapinzani waliishauri serikali ya CCM namna sheria, kanuni na mikataba ya madini ilivyo ya hovyo. Walii-question serikali ya CCM kwa mawaziri kusaini mikataba nje ya nchi. Leo Magufuli analialia juu ya nchi kuchezewa na kuibiwa sijui, wapiga vigelegele mna-go maniac. MNAELEWA POLEPOLE MNO.
Sentensi ya kwanza kwenye jibu langu hapo juu, inahusika pia na hapa. Na kama ilivyo kwa harebrained wa CCM, yeyote anayesema kinyume na wanachotaka kukisikia, basi anakuwa categorised kama BAVICHA!! Typical CCMish.
Nikikuuliza adui wa nchi yetu ni nani utakuwa na jibu?
Kama wewe huoni jinsi unavyotumika na adui wa nchi yetu, nakuonea huruma.
Oh yes, hili ni moja ya jambo ambalo CCM imefanikiwa kwa asilimia 100: kuzalisha ma-hopeless na wajinga.
Jiamini ndugu. Huwezi ku-own hicho unachonijibu mpaka ujifanye una mtu au watu nyuma yako?
Way to go, naona kuna amani kweli: mpaka rais wa nchi analindwa na watu walioshika silaha za kivita popote anapokuwa kwenye hadhara.
Of course, I can see you know more than the way I think. That's why I know why Tanzania is still extremely poor. As CCM and its fanatics know more on how to ripp off this country than the way I think. Well done old man.
Huyu aliyeko ikulu wala HANA shida yoyote acheni kumuonea.
Ngoja nikurudishe kwenye historia. Unajuwa baada ya uhuru Tanzania ilikuwa na misingi IMARA SANA ya UONGOZI iliyojengeka juu ya katiba ya CCM na AZIMIO LAZIMA ARUSHA. AZIMIO la ARUSHA lilikuwa na misingi ya UTU, MIIKO YA UONGOZI na mengine mengi mazuri. Ilitoa muongozo wa kuiendeleza NCHI. Lkn baadaye tukavurugwa, AZIMIO la ARUSHA likatupiliwa mbali na kuanzisha AZIMIO la ZANZIBAR ambalo kimsingi wala hatujui nini kiliandikwa humo. Huo ndiyo uliokuwa mwanzo wa kukosa muelekeo ambao mpaka SASA unatusumbua. Hivyo JPM HANA kosa lolote. Msingi wa NCHI ulivurugwa zamani kabla pengine ya wewe kuzaliwa.
I thought so. You are nothing but a phony, as your cuckoo at Ikulu.Kwanza hasira zako peleka kwenye familia yako.
Pili tafuta mada ya kuongelea maswala ya CCM uniite.
Tatu hapa tunaongelea jambo tofauti kabisa usituondoe kwenye mada kutokana na stress zako baada ya kuzuiliwa kuuza madawa ya kulevya, ufisadi nk.
So tafuta thread inayoendana na mambo yako kisha uniite.
Chadema wanasema sababu vya kusema vipo vimejaa,wangeacha kupambana na watu,wangepambana na maendeleo hadi chadema wakose cha kusema,Labda Kenya hamna snitches kama chadema wanaokesha kuombea nchi yetu matatizo, who knows?
Can you please enlighten me how opposition's faults (whatever you mean) have made Tanzania poor? And why should I blame parties that aren't running the government?You're just a negative government hater. Your choice of words leaves you naked.
You blaming ccm, but you do not see Tz opposition faults. You'll forever blame them till death does you apart and ccm will forever be there, if you do not clean your dirty political party you think are perfect, they're worse, and we know.
Kizungu yako ni mbaya sana tafadhali jikite kwenye kiswahili. Hahaha umenichekesha. Eti Tanzanian have tremendously English. You can't make this stuff up.U idiot Tanzanian they have better and tremendously English than you ass hole