Rafiki mihemko yako ya kisiasa peleka kwenye jukwaa la siasa. .
Kwanza kabisa, sina urafiki na mtu anayeshabikia CCM.
Pili, hili ni jukwaa la siasa, linaitwa "Kenyan News and Politics"
Na tatu, huna mamlaka ya kunipangia wapi nichangie humu JF.
Sisi tunajua siasa sana. Huwa ninawaangalia vijana kama wewe naishia kuwacheka tu. Yaani ni wafinyu wa mawazo kabisa. .
Kwenye 1-on-1 conversation, mtu ambaye anaanza kutumia nafsi ya uwingi kwenye kujibu mtu mwingine, hiyo ni dalili ya kutojiamini 'inferiority complex'. Don't be scared old man. I'm just a nobody. So, next time, please be confident in what you say and write.
"Ufinyu wa mawazo" ni very relative and contextual. Of course, kwa mtu wa CCM, ambaye kama walivyo maCCM wengine, sifa yao kuu ni kuwa slow learners. Hivyo, sishangai wewe kuona nilichokisema ni ufinyu wa mawazo.
Ndani ya vichwa vyenu mmejaza mihemko na ujinga tu..
Again, this is typical CCMish. And you can write this again without crying, old man.
Siasa siyo kutukana watu, Siasa siyo kulialia ili upate huruma. Siasa process na vision..
Great. Now go and teach that maniac president of yours. Naamini huu ujumbe unamfaa sana yeye. Maana kila siku ni kulialia tu, as if he ain't a president. Na kutukana watu: aliwaambia wazee wastaafu wanawashwawashwa, kuwaita mawaziri wake wapumbavu, na kuwaita baadhi ya vijana wa kitanzania vilaza.
Ati siasa ni process na vision!! Kwa hiyo post-Nyerere CCM, vision yake ni nini? Na huyu cuckoo wa sasa, vision yake ni nini?
Sitaki kukuambia uende ukasome bali ninakuacha tu ukae na ujinga wako. Tafuta kuijua Tanzania imepitia katika misukosuko ipi ya kiuchumi. Tafuta kujua Tanzania imewahi kuwekewa embargo mara ngapi kutoka na sera zake za kijamaa..
Lipi ni lipi sasa? Maana unajikanyagakanyaga. Unasema hutaki kuniambia niende kusoma ili nibaki na ujinga wangu, halafu hapo hapo unasema nitafute kuijua Tanzania na historia yake. Yaani kama huwezi ku-make up your mind in two sentences, ndiyo wewe unayetaka ku-son watu humu?!?
Nataka nikushauri tu kwamba kama hujui kitu usikurupuke, huku ukitumia mihemko ya kitoto iliyojaa chuki na dhuruma..
Ati chuki na dhuluma (siyo dhuruma): nahisi low-key unamsema Magufuli na posse yake wakiongoza na madakomlome Bashite alias Makonda. Badala ya kupoteza nguvu zako kunishauri mimi, mshauri Magufuli juu ya kukurupuka kwake kulikolitia taifa hasara mara kadhaa sasa (refer: Furahisha petrol station, 'samaki wa Magufuli, na kesi ya Sterling na ununuaji wa pangaboiz).
Tanzania ni kati ya nchi duniani zilizo na sera nzuri za matumizi ya ardhi..
Oh really? Do you know that less than 30% of the country (ukitoa maeneo ya hifadhi) is planned? Sasa utakuwaje na sera nzuri za matumizi ya ardhi ilhali ardhi karibu asilimia 70 haijapimwa. Ati sera nzuri, kungekuwa na sera nzuri za matumizi ya ardhi, kungekuwepo na kuchinjana kwa mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji? Maeneo ya hifadhi yangekuwa na migogoro na jamii zinazoishi kandokando?
Wewe ndiyo una-bluff kuijua Tanzania. What a joke!!
Halafu nakushangaa sana unaongelea CCM ipo na miaka 56+ nani unamdanganya hivyo? CCM imeanzishwa mwaka 1977. Hii ni kudhihirisha namna ulivyo empty kichwani unarukia rukia tu mambo..
Kumbe! What a revelation! Kwa hiyo Mkapa alivyojigamba pale Jangwani na kuwaita watu wapumbavu, kwa kusema wanadai Uhuru, alikuwa anajiongelesha tu? Maana alitamba kwamba CCM imeshaleta Uhuru wa nchi hii toka mwaka 1961.
Kama CCM imeanza mwaka 1977, then why does it take credits for Independence, and what happened before 1977?
CCM ilikuwepo, kwa jina lingine TANU na ASP. Kama wewe unasema tofauti, basi CCM haiche kuchukua credits za Uhuru na masuala yaliyotokea kabla ya 1977.
Halafu mwenzetu hujui kuwa Tanzania miaka ya 1978 iliingia vitani?.
So what? Is Tanzania the only country to ever fight a war? Utasemaje sasa kwa nchi kama Ujerumani, ambayo ilikuwa completely surfaced baada ya vita vya dunia? Ama South Korea iliyopigana na North Korea kwa miaka 3 (1950-53)? Lakini leo inatoa misaada ya maendeleo kwa Tanzania, ilhali wakati wa vita hiyo hadi 1970s, South Korea was poor as Tanzania!!
Mwenzetu hujui miaka ya 80s nchi yetu iliwekewa vikwanzo vya kiuchumu na IMF? .
Unaweza weka hapa reference inayoonyesha kwamba Tanzania iliwekewa vikwazo vya kiuchumi na IMF in the 1980s? Hili sijawahi kulisikia. Ninachojua ni Tanzania kupewa conditions za access WB/IMF loans, ndipo SAPs zikaanza hiyo 1980s. Hivyo, itapendeza kama ukiweka reference hapa.
Mana economic sanctions na loan conditions are two different animals.
Nakuona mwenzetu huijui hata Tanzania halafu unajifanya kuwa eti wewe ni TZ!? Stupidy boy. Leta vitu vyenye facts..
Sawa ewe old man unayeijua Tanzania. Unataka vitu vyenye facts, while you have none in your gibberish post.
Halafu sisi watanzania huwa hatutumii kingereza. Nakushangaa kijana unanieleza kwa kingereza, hii inamanisha kuwa huwezi kujieleza kwa kiswahili so wewe siyo Mtanzania.
How dumb is this? Kiingereza ni moja ya official languages za Tanzania. Nyaraka za serikali zinaandikwa kwa aidha Kiingereza ama Kiswahili. In fact, hukumu za Mahakamani uandikwa kwa Kiingereza.