Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
6,468
Reaction score
6,022
Wadau
Ninaomba tujadiliane hapa!
Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili!
Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea!
Tulianza kuona taa nyekundu wakati alipodai awamu aliyoendelea nayo ni ya sita na siyo ya tano.
Isdori Mpango makamu wake amejitoa
Kasimu Majaliwa Waziri mkuu amejitoa

Kwa nini SAMIA anang'ang'ania?
Kwenu wadau!!
 
Ccm inatakiwa kubadilisha oil filter. Hydraulic. Gear box oil na engine oil. Yaani full.service
 
Back
Top Bottom