Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

Kosa lao ni kutokuiba mali za umma kama wafanyavyo CCM!
 
Sema wewe c waTZ
 
Hawa wanaopanga kwenye jengo hawajawahi kudai mali iliyozalishwa na wananchi wote wa nchi hii kuwa mali yao kama wanavyofanya CCM.

Utaeleweka kama ukishauri mali za wananchi zirudishwe kwa wananchi au zigawanywe kati ya vyama vyote vya siasa vilivyopo.
 
Watanzania wa lumumba
 
CHADEMA maridhiano ni kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 ili mpewe RUZUKU?
Watanzania sio wajinga, hili tamko hatujasahau.
 
Nenda pale Bukoba uangalie gofu la ccm lililoshindikana kujengwa kwa zaidi ya miaka 35 alafu utuambie pesa ya chama wanaipeleka wapi?
Majengo waliyonayo ni urithi wa Watanzania uliopokwa.
 
Huwezi kuziona Lumumba. Endeleeni kuibia watz
 
Mkuu Pep hii imekaaje?[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Halafu eti ACT ndo inajilinganisha na CHADEMA hahahaha!

Sio mbaya kwa sasa mnakula tende na Pilau ya bure kwenu ni kitu kikubwa sana.
Mlipoenda Ikulu mlieleza watanzania ajenda/maoni mliyowasilisha kwa Rais Samia na CCM?

- kwa mujibu wa viongozi wa CCM wanasema mlienda kwa Rais Samia kuomba mpewe RUZUKU hali mbaya.

Pia mmekubali hakuna Katiba Mpya hadi Uchaguzi Mkuu 2025 uishe.
 
- Mwenyekiti wa CCM- Taifa huwa anagombea na nani?
-
 

Lini ulikuwa na imani na CHADEMA!.CCM yenyewe haukuwa na imani nayo hadi alipoingia Mama na tunajua sababu ni nini ?.
 
Uvccm bana
Your browser is not able to display this video.
 
Watu mna roho ngumu, mpaka sasa ulikuwa bado una imani na chadema tu? Wengine tulikosa hiyo imani tangu wakati wa sakata la lowassa!
 
Una minyoo kwenye ubongo. Sema wewe Ritz huna Imani na Chadema . Stop Rubbish sweeping statements
 
Una minyoo kwenye ubongo. Sema wewe Ritz huna Imani na Chadema . Stop Rubbish sweeping statements
Matusi ndiyo si silaha kubwa ya Bavicha Mfalme wenu Mbowe kaishawakataza kutukana Au unapingana na kauli ya Mfalme?
 
Nenda pale Bukoba uangalie gofu la ccm lililoshindikana kujengwa kwa zaidi ya miaka 35 alafu utuambie pesa ya chama wanaipeleka wapi?
Majengo waliyonayo ni urithi wa Watanzania uliopokwa.
Kuna mhindi mmoja alilalamika CCM kumnyang'anya nyumba ya urithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…