Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

Tanzania ndo inchi isiyokua na direction,nchi haina malengo haina mipango. Kila kitu kinaendeshwa kisiasa siasa tu.

Kubwa zaidi watawala washawaona Watanzania ni hamnazo so wanajifanyia watakavyo wakijua hamna watu wa kuhoji na kushikia bango mambo ya muhimu kama ukosefu wa umeme. Watanzania wako bize na misomisondo na hivyo ndivyo CCM wanavyopenda.
 
[emoji22][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…