Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

Dah... Imeniuma sana.
Miaka 70 ya uhuru hata kuweza kuwa na umeme Jiji la Daresalam Bado hatujaweza.

Sisi Ngozi mchanganyiko tulitakiwa kutawaliwa na Ngozi nyeupe japo miaka 500 ndio kidogo tungestarabika.

Sasa watu wanalilia Madaraka ili kufanya nini tena?
Ikiwezekana tuwakodi watu weupe waje kutuweka sawa kwanza.

Kuna mihimili ya Madaraka inatakiwa ikodishwe kwanza ili tujifunze kwao.
 
Mkiambiwa WANAWAKE hawawezi hamuelewi.Ipo siku Mungu ataamua huu ugomvi wa Wananchi na huyo aliyeweka pamba masikioni asisikie kelele za umeme.
Huyu mama hakuchaguliwa na mtu bsli Mkwere kwa maslahi yake tu
 
Dah... Imeniuma sana.
Miaka 70 ya uhuru hata kuweza kuwa na umeme Jiji la Daresalam Bado hatujaweza.

Sisi Ngozi mchanganyiko tulitakiwa kutawaliwa na Ngozi nyeupe japo miaka 500 ndio kidogo tungestarabika.

Sasa watu wanalilia Madaraka ili kufanya nini tena?
Ikiwezekana tuwakodi watu weupe waje kutuweka sawa kwanza.

Kuna mihimili ya Madaraka inatakiwa ikodishwe kwanza ili tujifunze kwao.
Yaani hawa wanaotuongoza walifaa kuwa watendaji wa mtaa
 
Hilo la kuchukulia hili JANGA la Umeme kama VITA na kusitisha miradi mingine nilishawahi shauri..

Mama,
Sitisha SGR,hasa kule ambapo bado ujenzi kuanza,hela peleka kwenye UMEME
Sitishe ununuzi wa MaV8 ,peleka kwenye UMEME

Tafuta majenereta ya kukodi,ila MIKATABA iwe wazi na kuzuia upigaji

Umeme ni MAISHA
Umeme ni UHAI
Umeme ni KODI
 
😂😂😂🫀
 
Back
Top Bottom