Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

halafu umeme wa awamu ya 6 unaogopa mvua, ikinyesha tena wakati mwingine upepo tu; umeme unakimbia, unakula kona kama luca anavyokula kona sa hv mimacho kimya kimya
Luca nimeona anapita kimya kimya fara yule
 
afu we bwana hiyi too much na haya ni matatizo ya akili haiwezekan post nzima ucoment mwenyewe shd nin? Unauchungu sana au?
kwan ww unanunua sukar kilo kwa tsh ngap ? tuambiane nije huko nipunguze uchungu huu wa Tanesco
 
Mkiambiwa WANAWAKE hawawezi hamuelewi.Ipo siku Mungu ataamua huu ugomvi wa Wananchi na huyo aliyeweka pamba masikioni asisikie kelele za umeme.
 
Back
Top Bottom