The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Siyo sisi tumefaidika bali wachache CCM ndio maana wako radhi kumsweka ndani Braza Mbowe kuua ili mradi walinde madaraka wasije baadaye wauwawe Ndo maana wanaogopa katiba mpya.Ok, hao wageni walitupa nini hadi tukawapa hiyo gesi wachimbe? Bila shaka kuna makubaliano na sisi tumefaidika.
Na kazi inaendelea au ni maneno tu!
Swali ni kwa nini raia wanchi hii ni kama hayawahusu kabisa yanayofanywa na chama hiki? Ni kama wameridhika kabisa na yote yanayotokea!Sisiyemu ni adui wa taifa hili. Ata tuhesabu miaka 30 mingine bado mateso kwa wananchi yatabaki pale pale.
Kwa hiyo, kwa maoni yako, kuwekeza huku ndiko kunawapa umiliki wa chochote watakachokikuta huko chini, na wenye nchi hawana lao hapo?Sasa unataka mabilioni yao waliyowekeza kwenye kutafuta na hatimaye kuchimba warudishe vipi? Kama vipi si serikali ingefanya yenyewe!
Mkuu 'Hakimu Mfawidhi', nimejikuta nikichangia mfululizo kwenye mada yako hii, kwa sababu ni mada inayogusa roho na kutia uchungu mkubwa sana juu ya mambo yanayofanyika ndani ya nchi yetu hii.Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema.
Gesi inayochimbwa mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania.
Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu.
Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na petroli la Taifa ama TPDC wao ni watu wa kati kati ama middle man wa gesi inayozalisha umeme Tanzania.
TPDC wao wananunua gesi kutoka kwa makampuni ya kigeni yanayochimba gesi na kisha kuiuzia TANESCO, yaani makampuni yanachimba, yanapiga gharama za uchimbaji na faida yake, yanaiuzia TPDC, kisha TPDC anaweka cha juu na yeye anaiuzia TANESCO halafu TANESCO anazalisha umeme anauzia wananchi.
Kwa kiswahili chepesi ni kwamba, kwenye gesi ya mtwara TPDC ni dalali ama machinga wa gesi, yeye mwenyewe hana gesi ila kutokana na sheria za nchi, ana umiliki kidogo wa hisa kwenye hayo makampuni yanayochimba gesi. Serikali ama TPDC hawana kisima hata kimoja cha gesi, wao pia wananunua.
Hivyo basi ifahamike kwamba umeme wa gesi hautakuja kua bei Rahisi Tanzania kwa sababu gesi ina madalali ama inapitia mikono mingi na kila wakala ama dalali anaweka cha juu hadi kumfikia TANESCO na tanesco kuwafikishia walaji ambao ni wanachi.
Hivyo ifahamike kwamba gesi iliyoko kusini 90% ilishauzwa na wamakonde wakae wakijua hawana gesi pale, sio yao ni ya makampuni ya kigeni.
Habari ndio hiyo.
Hii ges tunavyoosemwa nayo na Kina zito utafikiri ni ya kwetu kumbe inawenyeweKwan ata bandari inayo taka kujengwa bagamoyo kwani itakuwa ya kwetu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema.
Gesi inayochimbwa mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania.
Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu.
Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na petroli la Taifa ama TPDC wao ni watu wa kati kati ama middle man wa gesi inayozalisha umeme Tanzania.
TPDC wao wananunua gesi kutoka kwa makampuni ya kigeni yanayochimba gesi na kisha kuiuzia TANESCO, yaani makampuni yanachimba, yanapiga gharama za uchimbaji na faida yake, yanaiuzia TPDC, kisha TPDC anaweka cha juu na yeye anaiuzia TANESCO halafu TANESCO anazalisha umeme anauzia wananchi.
Kwa kiswahili chepesi ni kwamba, kwenye gesi ya mtwara TPDC ni dalali ama machinga wa gesi, yeye mwenyewe hana gesi ila kutokana na sheria za nchi, ana umiliki kidogo wa hisa kwenye hayo makampuni yanayochimba gesi. Serikali ama TPDC hawana kisima hata kimoja cha gesi, wao pia wananunua.
Hivyo basi ifahamike kwamba umeme wa gesi hautakuja kua bei Rahisi Tanzania kwa sababu gesi ina madalali ama inapitia mikono mingi na kila wakala ama dalali anaweka cha juu hadi kumfikia TANESCO na tanesco kuwafikishia walaji ambao ni wanachi.
IHivyo ifahamike kwamba gesi iliyoko kusini 90% ilishauzwa na wamakonde wakae wakijua hawana gesi pale, sio yao ni ya makampuni ya kigeni.
Habari ndio hiyo.
Unaweza ukatoa machozi kwa kwelii
Mkuu nakumbuka hii imetokana na sheria mpya ya madini kama ulivyosema ingawa sina hakika kama tulifikia majadiliano na makampuni ya gesi, naona nguvu nyingi zilielekezwa kwenye madini mengine kama dhahabu na Almasi.Mkuu Hakimu Mfawidhi , hili la gesi wewe ndio umelijua leo?.
Hali hiyo ilikuwa zamani, lakini sasa tuna sheria mpya ya madini na extractive industry yoyote, kila kinachopatikana, asilimia 16% ni mali ya Watanzania. Yaani serikali yetu ina own 16% ya migodi yote, hivyo japo ni kweli kila kinachovunwa ni mali ya mmiliki, hivyo Watanzania ni wamiliki wa hiyo 16% ya free carried shares kwenue rasilimali zote za extractive industry.Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
P
You have a point! Mfano mzuri ni ulioutoa wa viwanda vya sukari! Mwekezaji lazima arudishe investment ya hela aliyoifanya. How do you monitor how much cash one has invested? Kwangu huwa naiona ni ngumu! Suppose akikwambia bei ya juu na hali hes invested a bit low?Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema.
Gesi inayochimbwa mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania.
Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu.
Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na petroli la Taifa ama TPDC wao ni watu wa kati kati ama middle man wa gesi inayozalisha umeme Tanzania.
TPDC wao wananunua gesi kutoka kwa makampuni ya kigeni yanayochimba gesi na kisha kuiuzia TANESCO, yaani makampuni yanachimba, yanapiga gharama za uchimbaji na faida yake, yanaiuzia TPDC, kisha TPDC anaweka cha juu na yeye anaiuzia TANESCO halafu TANESCO anazalisha umeme anauzia wananchi.
Kwa kiswahili chepesi ni kwamba, kwenye gesi ya mtwara TPDC ni dalali ama machinga wa gesi, yeye mwenyewe hana gesi ila kutokana na sheria za nchi, ana umiliki kidogo wa hisa kwenye hayo makampuni yanayochimba gesi. Serikali ama TPDC hawana kisima hata kimoja cha gesi, wao pia wananunua.
Hivyo basi ifahamike kwamba umeme wa gesi hautakuja kua bei Rahisi Tanzania kwa sababu gesi ina madalali ama inapitia mikono mingi na kila wakala ama dalali anaweka cha juu hadi kumfikia TANESCO na tanesco kuwafikishia walaji ambao ni wanachi.
Hivyo ifahamike kwamba gesi iliyoko kusini 90% ilishauzwa na wamakonde wakae wakijua hawana gesi pale, sio yao ni ya makampuni ya kigeni.
Na hao unaosikia wanasema uanzishwaji wa kiwanda cha kuchakata gesi utabadili maisha ya watanzania ama wanaita game changer huo ni uongo wa wazi kwani kiwanda hicho faida pekee ambayo tutaipata kwa Tanzania ni ajira, kodi na vitu vidogo vidogo lakini sio hasa keki ama nyama yenyewe ya gesi kwani gesi sio yetu.
Ukitaka kujua kitakachotokea kwenye gesi kwa kujenga mtambo wa LNG ni kuangalia faida tunayopata kwenye viwanda vya sukari, je tunafaidi uwepo wa bei ndogo ya sukari ama tunafaidi vitu vidogo vidogo kama ajira ya watu wachache, kodi na vitu vingine vidogo vidogo ila bei ya sukari iko juu.
Tunapeana matumaini ila ukweli ni kwamba we are fucked up.
Habari ndio hiyo.
Mchezo mchafu ulichezwa na hangaya wa kiume enzi zake kwa kupeleka hati ya dharura bungeniHivyo ifahamike kwamba gesi iliyoko kusini 90% ilishauzwa na wamakonde wakae wakijua hawana gesi pale, sio yao ni ya makampuni ya kigeni.
Na hao unaosikia wanasema uanzishwaji wa kiwanda cha kuchakata gesi utabadili maisha ya watanzania ama wanaita game changer huo ni uongo wa wazi kwani kiwanda hicho faida pekee ambayo tutaipata kwa Tanzania ni ajira, kodi na vitu vidogo vidogo lakini sio hasa keki ama nyama yenyewe ya gesi kwani gesi sio yetu.
Kikwete hili linamuhusu. Aliyekabidhiwa nchi, ameiuza.Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema.
Gesi inayochimbwa mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania.
Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu.
Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na petroli la Taifa ama TPDC wao ni watu wa kati kati ama middle man wa gesi inayozalisha umeme Tanzania.
TPDC wao wananunua gesi kutoka kwa makampuni ya kigeni yanayochimba gesi na kisha kuiuzia TANESCO, yaani makampuni yanachimba, yanapiga gharama za uchimbaji na faida yake, yanaiuzia TPDC, kisha TPDC anaweka cha juu na yeye anaiuzia TANESCO halafu TANESCO anazalisha umeme anauzia wananchi.
Kwa kiswahili chepesi ni kwamba, kwenye gesi ya mtwara TPDC ni dalali ama machinga wa gesi, yeye mwenyewe hana gesi ila kutokana na sheria za nchi, ana umiliki kidogo wa hisa kwenye hayo makampuni yanayochimba gesi. Serikali ama TPDC hawana kisima hata kimoja cha gesi, wao pia wananunua.
Hivyo basi ifahamike kwamba umeme wa gesi hautakuja kua bei Rahisi Tanzania kwa sababu gesi ina madalali ama inapitia mikono mingi na kila wakala ama dalali anaweka cha juu hadi kumfikia TANESCO na tanesco kuwafikishia walaji ambao ni wanachi.
Hivyo ifahamike kwamba gesi iliyoko kusini 90% ilishauzwa na wamakonde wakae wakijua hawana gesi pale, sio yao ni ya makampuni ya kigeni.
Na hao unaosikia wanasema uanzishwaji wa kiwanda cha kuchakata gesi utabadili maisha ya watanzania ama wanaita game changer huo ni uongo wa wazi kwani kiwanda hicho faida pekee ambayo tutaipata kwa Tanzania ni ajira, kodi na vitu vidogo vidogo lakini sio hasa keki ama nyama yenyewe ya gesi kwani gesi sio yetu.
Ukitaka kujua kitakachotokea kwenye gesi kwa kujenga mtambo wa LNG ni kuangalia faida tunayopata kwenye viwanda vya sukari, je tunafaidi uwepo wa bei ndogo ya sukari ama tunafaidi vitu vidogo vidogo kama ajira ya watu wachache, kodi na vitu vingine vidogo vidogo ila bei ya sukari iko juu.
Tunapeana matumaini ila ukweli ni kwamba we are fucked up.
Habari ndio hiyo.
kuna mdau mmoja alishawahi sema watanganyika wamelala kama mazombie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....DaaahSwali ni kwa nini raia wanchi hii ni kama hayawahusu kabisa yanayofanywa na chama hiki? Ni kama wameridhika kabisa na yote yanayotokea!
Kuna kitu gani hasa kinachowalaza akili wananchi wa nchi hii hadi wasione ubaya wa chama hiki?
hapanaKwa hiyo, kwa maoni yako, kuwekeza huku ndiko kunawapa umiliki wa chochote watakachokikuta huko chini, na wenye nchi hawana lao hapo?
Hili ni jambo muhimu kwetu sote, tusiparurane bure, nieleze nielewe vizuri maoni yako haya.
Yaani mwekezaji akija hapa kutafuta madini, akayapata madini hayo yapo, inakuwa ni mali yake moja kwa moja, kwa vile kaingia gharama ya kuyatafuta? Ndivyo ilivyo hivi katika nchi zote duniani?
Kama itakupendeza mheshimiwa,. Naomba nikupongeze kwa kututoa tongotongo kwenye macho yetuKuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema.
Gesi inayochimbwa mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania.
Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu.
Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na petroli la Taifa ama TPDC wao ni watu wa kati kati ama middle man wa gesi inayozalisha umeme Tanzania.
TPDC wao wananunua gesi kutoka kwa makampuni ya kigeni yanayochimba gesi na kisha kuiuzia TANESCO, yaani makampuni yanachimba, yanapiga gharama za uchimbaji na faida yake, yanaiuzia TPDC, kisha TPDC anaweka cha juu na yeye anaiuzia TANESCO halafu TANESCO anazalisha umeme anauzia wananchi.
Kwa kiswahili chepesi ni kwamba, kwenye gesi ya mtwara TPDC ni dalali ama machinga wa gesi, yeye mwenyewe hana gesi ila kutokana na sheria za nchi, ana umiliki kidogo wa hisa kwenye hayo makampuni yanayochimba gesi. Serikali ama TPDC hawana kisima hata kimoja cha gesi, wao pia wananunua.
Hivyo basi ifahamike kwamba umeme wa gesi hautakuja kua bei Rahisi Tanzania kwa sababu gesi ina madalali ama inapitia mikono mingi na kila wakala ama dalali anaweka cha juu hadi kumfikia TANESCO na tanesco kuwafikishia walaji ambao ni wanachi.
Hivyo ifahamike kwamba gesi iliyoko kusini 90% ilishauzwa na wamakonde wakae wakijua hawana gesi pale, sio yao ni ya makampuni ya kigeni.
Na hao unaosikia wanasema uanzishwaji wa kiwanda cha kuchakata gesi utabadili maisha ya watanzania ama wanaita game changer huo ni uongo wa wazi kwani kiwanda hicho faida pekee ambayo tutaipata kwa Tanzania ni ajira, kodi na vitu vidogo vidogo lakini sio hasa keki ama nyama yenyewe ya gesi kwani gesi sio yetu.
Ukitaka kujua kitakachotok....
Siyo sisi tumefaidika bali wachache CCM ndio maana wako radhi kumsweka ndani Braza Mbowe kuua ili mradi walinde madaraka wasije baadaye wauwawe Ndo maana wanaogopa katiba mpya.
Sasa unataka mabilioni yao waliyowekeza kwenye kutafuta na hatimaye kuchimba warudishe vipi? Kama vipi si serikali ingefanya yenyewe!
Mkuu 'Hakimu Mfawidhi', nimejikuta nikichangia mfululizo kwenye mada yako hii, kwa sababu ni mada inayogusa roho na kutia uchungu mkubwa sana juu ya mambo yanayofanyika ndani ya nchi yetu hii.
Na hadi hapa, bado sijaona jibu la kusaidia kujibu baadhi ya maswali uliyouliza hapa.