Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Kilatha , unaposema hakuna sheria inayosema Tanzania itapata 16%, uwe umejiridhisha kuwa wewe mwenyewe umeisoma hiyo sheria, na ukakuta hakuna sheria hiyo, ikitokea sheria hiyo ipo, wewe tukuiteje?. Sasa kabla sijaendelea na hili, naomba nikuulize swali dogo tuu na naomba unijibu kwa ukweli tuu, jee wewe Mkuu Kilatha , umeisoma sheria mpya ya madini, ukakuta hakuna sheria inayosema Tanzania itapata 16 % ?.Mkuu hakuna sheria inayosema Tanzania itapata 16% na ecomic benefit; that was just exclusively for the specific contract (ata kama tulipigwa kutokana quality ya team yetu ya majadiliano given the duration to which ACCACIA and other previous have earned on those investments).
Hapa naomba nikupe ushauri wa bure, kwenye kujadili maslahi ya taifa, usilete personalities, leta hoja tuu, hakuna ubishi huyo uliyemtaja ni mbobezi mwenye Ph.D, ila amini nakuambia, mtu kuwa na Ph.D ya kwenye makaratasi ni tofauti kabisa na wenye experience, kwenye baadhi ya issues, darasa la saba anaweza kuwa mzuri kuliko Ph.D holder. Tembelea uzi huu, Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! . usome hoja zangu, kuhusu huyu Ph.D holder wako, kisha ujiulize hoja hizo zimewahi kujibiwa kipindi chake chote akiwa eneo hilo?.Mikataba ya natural resources inataratibu zake kibongo najua wapo wengi wanaoelewa hayo mambo mainly wizarani. Ila mtu ambae kutokana na ufafanuzi wake kwenye hayo maswala ambae unaweza sema uelewa wake auna mashaka ni Dr Mpango, timu yoyote ya majadiliano bila ya kumshirikisha ni kujipa disadvantage.
P.