Watanzania tunapaswa kuambiwa na kujua ukweli kwamba Gesi inayochimbwa Mtwara si yetu

Kuweka kumbukumbu sawa hapa JF.
1. Mikataba yote ya wizi wa gesi ya Mtwara ilifanywa na serikali ya awamu ya Tano chini ya CCM huku Magufuli akiwa mjumbe wa vikao vyote vya juu vya CCM, mbunge na waziri mwandamizi katika baraza la mawaziri katika serikali. Magufuli hakuwahi kukosoa wala kupinga popote kuhusu suala la gesi la Mtwara.

2. Kwa kipindi chote cha miaka mitano ya Magufuli hakuwahi hata mara moja kugusia kuhusu wizi huu wa gesi ya Mtwara uliofanywa na CCM. Alikaa kimya kama jambo lisilomhusu na kuibuka na mradi wake wa bwawa la Nyerere kutoka mfukoni mwake, bwawa ambalo ujenzi wake unasemwa kuwa na athari mbaya sana za kimazingira kwa vizazi vyote vitakavyofuata.
 
Ndio maana kila mara nakwambia sheria zilizopita na hati ya dharura zilitengeneza hizo PSA frameworks of negotiations based on reserves amount.

Ata kama kuna frameworks you would still need to negotiate kwa sababu kuna economic benefit ambazo variables change mfano kuna kipindi production ya gas inashuka na kuna kipindi inapanda based on demand during those periods mapato pia yanakuwa affected.

So kiasi gani kinalipwa kwenye investment kwanza in those periods, mwekezaji anachukua nini kama faida na wewe unapata nini, similarly bei inapanda na kushuka so similar arrangements are needed.

Biodiversity ya nchi moja sio sawa na nyingine tumeshaingia mikataba mibovu kwenye madini mara watu wakachafua maji na kuwapa madhara wenyeji tungekuwa na sheria makini au tume negotiate vizuri aspects za mazingira fines zake huwa in $1 billion+ ukiaribu biodiversity.

Mwekezaji anataka better deal so quality of negotiation team ya host country matters, akikutana na wajinga wajinga anapiga, kwa upande wa serikali inataka kujua source ya hizo hela ijue ni kiasi gani cha interest inabidi walipe kama interest nikubwa mwekezaji inabidi apate share ndogo kwenye profit.

Ni hivi even with a framework inayotumika dunia nzima hakuna mkataba unaofanana matter of fact kuna aina ya mikataba kama hiyo PSA, Services contract etc; zote hizo ni frameworks which sets out areas of negotiations in a contract, sio kwamba watu wakienda kwenye majadiliano awajui kabisa wanaenda discuss vitu gani.
 
Wakati mwingine huwa natamani jeshi lichukue nchi na kuwanyonga wote walituibia kiasi hiki na bado wako mitaani wanatamba
 
Ukweli mchungu , ukweli inasikitisha ila chakushangaza tukiambiwa ooh gesi italeta ajira kwa watu takribani kiasi Fulani hapo ndio tunapodata kwamba gesi inafaida kumbe wizi mtupuuu
 
Toka alivyokufa Nyerere alituachia majanga kwenye nchi hii
 
Umejaribu kuwadadavulia vizuri sema tu dhahabu na Almasi havizalishi umeme akina Ngosha wa kanda ya ziwa wangeelewa zaidi kwanini bei ya dhahabu haishuki ukinunilia huko na wangeelewa Zaidi ya kule ukanda wa Oklo Gabon na Uranium ambayo ilijenga umeme wa Ufaransa na Ulaya na Oklo ikabaki giza na mashimo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sio tuu hatua hayana hata solution ila domo Domo tuu ndio maana huwa natukana mengine na kuyapuuza.
We kahaba tulia, wenye akili wanajadili mambo mazito ya taifa.

Hii waachie wenye ujuzi kama akina Pasco Mayala. Wewe endelea kucheza na watoto wenzio.
 
Kenyatta wa kwanza alimwambia Nyerere anaongoza maiti.

Niliipata hii kutoka kwa mzee mmoja.

Ila CCM ni janga kiukweli. Kana kwamba sisi siyo binadamu kabisa. Ama sisi siyo raia wenzao kabisa.
 
Kenyatta wa kwanza alimwambia Nyerere anaongoza maiti.

Niliipata hii kutoka kwa mzee mmoja.

Ila CCM ni janga kiukweli. Kana kwamba sisi siyo binadamu kabisa. Ama sisi siyo raia wenzao kabisa.
ila kuna ukweli hapa
 
Nilitaka kusema kwa nini hizo sheria zisibadilishwe kumbe tuna Bunge CCM.
 
Na wavimbe wapasuke ndii ndiiii
kwahiyo 16% ndiyo umiliki wa kampuni ,Leo hii Rasimali za nchi hii tungemiliki wenyewe tungefika mbali mno , tunafeli wapi>hiyo sawa na ngombe wako mzima kuliwa na mgeni halafu anakutupia utumbo ule halafu unajisifu .....
 

Tuwekewe wazi hayo makubaliano au mikataba.

Katiba mpya itasaidia kuweka makubaliano yote muhimu wazi, hata kupigiwa kura.
 
Nilitaka kusema kwa nini hizo sheria zisibadilishwe kumbe tuna Bunge CCM.


Unaweza pitia hiyo report ya TPDC inaelezea mchakato wote wa kutoa leseni na frameworks za mikataba kama ulivyotaka at the walikuwa wanafikiria aina tatu; PSA, Concessional na Service contacts

Sheria pia azikuwa na shida zililenga kwenye PSA frameworks. Sema sizioni mtandaoni nikipata nitaweka extracts ni upotoshaji tu uliofanywa watu wazione mbovu: you know what the say ‘if you want kill a cat give it a bad name’.

Contrary sheria za mafuta na Gas zilizopita kwa hati ya dharura lengo ilikuwa ni safeguarding on parameters of negotiations on what percentage Tanzania should get depending on the reserve amount. Kibao akageuziwa JK ameshauza mafuta.
 
Mi nikisikia msoga huwa nashikwa na tumbo la kuhara hawa ni FUTUNGO wa uhakika. Ni clear laana ya watanzania itawatafuna hadi kizazi chake choke . Magu alikuwa hafichi kuwa hii has makampuni yamegawana. Approach yake ilikuwa kupambana kumkomboa mtanzania sasa Mama kashika approach ya msoga kukumbatia mabeberu. Mbaya zaidi tumepiga mayowe na bahari anataka kugawa bure. Ccm ikae mguu sawa maana 2015 ilikuwa cha mtoto. Short term memory mboga mboga nadhani wamesahau.
 
Ok, hao wageni walitupa nini hadi tukawapa hiyo gesi wachimbe? Bila shaka kuna makubaliano na sisi tumefaidika.
Nakumbuka sana wakati msoga anpeleka mswaada kwa njia ya dharura .mikataba iliingiwa mbele ya kamera. Kwamba makampuni yachimbe na kuchukua gharama zao then baada ya gharama tuanze kugawana faida ,sasa mtoto wa msoga ,makamba anatakiwa aje atutoe wasiwasi .ikibidi na mkataba awoke kweupe
 
This is not true ‘mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni’.

Ata mimi inanikera kuona uongozi wa ‘bi tozo’ kama vile unamkono wa mzee wa msoga mahala fulani fulani.

Lakini zile sheria zilikuwa na nia njema, makuwadi wa mabeberu ndio walipotosha; kama ilivyokuwa Kwa Rugemalila na sakata la IPTL.
 
Mkuu mayalla nasikia jina lako kule linamaanisha something amazing .naomba tusifike huko. Nikuelimishe sheria ikitungwa mpya haiathiri mikataba ambayo ilishaingiwa kabla ya sheria kutungwa naamini kwa kazi yako unakumbukumbu mkwere kabla ya kumaliza muda wake hili jambo alikifanya faster tena wakati wa hafla aliwatania wa kariba yako kuwa baada ya shughuli man tabia ya kumfata na kuuliza kuwa hivi pale ulikuwa umesemaje Kwan sababu alikuwa anaongea lugha ya kibeberu kwa faida ya mabeberu. RIP JPM Mzee baba tutakukumbuka daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…