Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kuweka kumbukumbu sawa hapa JF.Huu ndio ukweli mchungu watanzania wanapaswa kuufahamu,bahati mbaya wengi hawaujui na wanashabkia kwelikweli,
Hili hayati Magufuli aliliona ndio maana akataka iwekwe mipango thabiti kuhakikisha gesi hii inanufaisha taifa kwa kiasi flani
Na kuchagua umeme wa maji alikuwa anakwepa dhahama hii
1. Mikataba yote ya wizi wa gesi ya Mtwara ilifanywa na serikali ya awamu ya Tano chini ya CCM huku Magufuli akiwa mjumbe wa vikao vyote vya juu vya CCM, mbunge na waziri mwandamizi katika baraza la mawaziri katika serikali. Magufuli hakuwahi kukosoa wala kupinga popote kuhusu suala la gesi la Mtwara.
2. Kwa kipindi chote cha miaka mitano ya Magufuli hakuwahi hata mara moja kugusia kuhusu wizi huu wa gesi ya Mtwara uliofanywa na CCM. Alikaa kimya kama jambo lisilomhusu na kuibuka na mradi wake wa bwawa la Nyerere kutoka mfukoni mwake, bwawa ambalo ujenzi wake unasemwa kuwa na athari mbaya sana za kimazingira kwa vizazi vyote vitakavyofuata.