Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
 
Tunamtetea kwakuwa ni binadamu kama wewe na cha msingi zaidi ni mwana ccm
 
Shujaa Hamza alale mahali pema peponi

Shujaa kwa vipi?

Mtu ambaye pamoja na kusoma kwake dini lakini ameshindwa kuwa na nguvu ya kustahamili mambo!

Bora kuwa Pagan!

Shujaa kwa vipi?

Mtu ambae amejifupisha maisha yake na kuacha historia mbaya itakayokuwa inakumbukwa kwa vizazi na vizazi!

Shujaa kwa vipi ambaye badala ya kufanyika baraka kwenye jamii amekuwa kinyume chake ?

Ameacha history mbaya au nzuri?
 
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Acheni polisi wachunguze mnazidi kujenga fitna tu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Naona kama wewe ni chizi!
 
Mbona leo nimesikia sound anasema tumwambie kamanda flani kwamba anafanya mauaji ya vijana ya dini flani

Yeye yupo tayari kufa kwaajili ya dini hiyo

Ametaka tumfikishie ujumbe huo, sidhani kama dhuluma.
 
Shujaa kwa vipi?

Mtu ambaye pamoja na kusoma kwake dini lakini ameshindwa kuwa na nguvu ya kustahamili mambo!

Bora kuwa Pagan!

Shujaa kwa vipi?

Mtu ambae amejifupisha maisha yake na kuacha historia mbaya itakayokuwa inakumbukwa kwa vizazi na vizazi!

Shujaa kwa vipi ambaye badala ya kufanyika baraka kwenye jamii amekuwa kinyume chake ?

Shujaa kwa vipi?
Mimi namwongezea jina aitwe mwana mapinduzi
 
Back
Top Bottom