Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kama mfurahivyo kuoneaMkuu usiseme watanzania, sema wanachadema. Makamanda wanaamini chama chao ni bora kuliko Tanzania. Baya lolote likitokea kwa nchi yetu wao wanadurahi na kushangilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mfurahivyo kuoneaMkuu usiseme watanzania, sema wanachadema. Makamanda wanaamini chama chao ni bora kuliko Tanzania. Baya lolote likitokea kwa nchi yetu wao wanadurahi na kushangilia.
Hivi hawa polisi walipomuua Aquilina Aquiline ilikuwaje eti...?Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
mkuu kwa kauli hii ya igp.nchi yetu inashida ya elimu kuanzia juu...Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
we unafikili alikua hajui nn kingemtokea.....Hamza alikuwa na ma stress yake, hasira hasara, ndio hii.
Hii issue ya Uanaccm sio mashiko. Kwa kuwa anajezi za kijani na kuwa kada kwa michango na kampeni? Big NOTunamtetea kwakuwa ni binadamu kama wewe na cha msingi zaidi ni mwana ccm
Huyo mpaka anzikwa alikuwa ni kada wachama yaani mwana ccm.Hii issue ya Uanaccm sio mashiko. Kwa kuwa anajezi za kijani na kuwa kada kwa michango na kampeni? Big NO
1. Silinde alikuwa anavaa kikamanda kumbe ccm kwa ndani
2. Nyarandu alivaa kijani na kampeni ,tena kada na waziri lkn cdm kwa ndani
Huyu nani anajua kwa ndani ni cfm , cdm au cuf? Anajua mwenyewe
Tuache ushabiki wa ajabu sometime ukimya ni busara
Upinzani mnatuchanganya sana mnataka UTAWALA WA SHERIA huku mnaita wanachukya sheria mkononi ni MASHUJAA
Halafu kifo cha Hamza kisiwe kick ya kisiasa. Hakuna anayefurahia kifo cha huyo kijana wala kufurahia vifo vya askari au raia kwa tukio.
Nilifurahi kuona barua ya chama cha cdm kwa POLE hiyo ndio Utz.
Lkn member wengine wa chama tena viongozi wako n furaha kwa kufa Hamza eti kishujaa na kubeza polisi wanaowalipa kwa kodi zao tena waTz wenzao
Natumia ubongo kifikiri.lakini wewe sijui unatumiaga nini.swali: aliyowapiga lisasi ndiyo walikuwa wamemdhulumu? Kukosa elimu nayo ni umaskini mbaya sana.Hivi wewe mtoa bandiko unafikiria kwa kutumia kiungo gani[emoji34][emoji34]
Umedhulumiwa na polisi halafu unaenda shitaki polisi,unadhani utapata msaaada[emoji15]
Wao kwa nini hawakumpekeka huko police kama ana makosa??Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Mshenzi wewe, hapo wapinzani wanahusika nini wakati hamza alikuwa mwanaccm kindakindaJapo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Hamza tunamtambua kama shujaa wa taifa, na tukisema tumesema na hatufutiiiiiiBavicha wamevurugwa!
kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere?Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Naamini hakuna polisi anaeweza kumletea fyoko mwana ccmMwana ccm kindakindaki
Mkuu umesahau Mkapa kuna kuna watu aliwafananisha na nyumbu?Shujaa kwa vipi?
Mtu ambaye pamoja na kusoma kwake dini lakini ameshindwa kuwa na nguvu ya kustahamili mambo!
Bora kuwa Pagan!
Shujaa kwa vipi?
Mtu ambae amejifupisha maisha yake na kuacha historia mbaya itakayokuwa inakumbukwa kwa vizazi na vizazi!
Shujaa kwa vipi ambaye badala ya kufanyika baraka kwenye jamii amekuwa kinyume chake ?
Shujaa kwa vipi?
Polis wenyewe ni makadaNaamini hakuna polisi anaeweza kumletea fyoko mwana ccm