Ccm kuna wakati akili zinawarudia mkipatwa na dhahama, hivi wale magaidi waliotumwa na jpm na selikali ya ccm kumunua lisu wako wapi?Shujaa kwa vipi?
Mtu ambaye pamoja na kusoma kwake dini lakini ameshindwa kuwa na nguvu ya kustahamili mambo!
Bora kuwa Pagan!
Shujaa kwa vipi?
Mtu ambae amejifupisha maisha yake na kuacha historia mbaya itakayokuwa inakumbukwa kwa vizazi na vizazi!
Shujaa kwa vipi ambaye badala ya kufanyika baraka kwenye jamii amekuwa kinyume chake ?
Shujaa kwa vipi?