Hamna lolote zaidi ya chuki na udini!
Wewe unajua walokuwa wanakaa nae maelezo ya awali walotoa?!
Kila mwenye ku-support na kufurahia uovu naye ni muovu vilevile!
Eti kuua makafiri hao makafiri wameumbwa na nani?
Makafiri wamejileta wenyewe Duniani?!
Kama wameumbwa na kuletwa na Mungu Kwanini msimuheshimu huyo Mungu alowaumba hata kama hamtaki kumwamini ?!
Acheni chuki na mafundisho yenu ya visasi !
Eti mtu anasoma dini halafu anakuwa Muovu na mharibifu wa maisha ya watu kwa kuua watu si bora ya pagani tu ambaye yeye hana madhara yoyote ya kuua na kuangamiza?!