Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Tatizo kwann aue polisi na si raia!?
 
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Waliomuua nao wamejichukulia sheria mkononi. Kisheria, mhalifu anakamatwa na kufikishwa mahakamani. Mahakama pekee ndiyo ingesema kama Hamza aliwaua polisi kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, kama ni yeye kweli au ni mwingine au walijiua wenyewe au walipitiwa tu na vitu vyenye ncha kali. Sasa ameuawa kinyama na sidhani kana aliyemuua atapandishwa kizimbani kwa kumuua jada wa CCM, mchana kweupe, sehemu ya wazi kabisa.
 
IMG_7609.jpg
 
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Kuua polisi si jambo jema hata kidogo, kwasababu yoyote ile. Vilevile polisi kuua raia si sawa, kwasababu yoyote ile. Kama walihitimu mafunzo, wamefundwa namna ya kukamata watuhumiwa kama Hamza. Sasa mtuhumiwa ameuawa, nani wa kuthibitosha kosa lake kisheria? Waliojichukulia sheria mkononi na kumpa hukumu ya kifo Hamza je hawastahili kushitakiwa kwa mauaji ya raia na kada wa ccm?
 
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.

Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?

Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Ukashitaki waliokukosea kwa hao hao waliokukosea!
Hunajifanya huijui TZ nini
 
Siwezi kuhukumu wakati sijui chanzo cha ugomvi wao. Polisi ndio wanajua chanzo cha ugomvi wao.
 
Hamza siyo shujaa alikuruupuka naomba. Kuwasilisha ushujaa hautafutwi kwa kuua watu wasio na hatia au kwa kumwaga dam ushujaa unatakiwa ulete mabadiliko tunayoyataka siyo kupunguza raia
 
Back
Top Bottom